Wakati sakata la gesi mtwara halijatulia, leo Ameibuka na kauli kwamba Uranium lazima ichimbwe. Hivi ameshajua hathari za Uranium katika mazingira na afya za watu. Mbona hata wananchi wasiusishwe? Tassisi ya kimataifa yaani IAEA haijaridhia kuhusu uchimbaji wa Uranium nchini Tanzania. Hii ni maini hatari na serikali isipokuwa makini tutaingia katika matatizo makubwa ya kiafya. Hivi hizi haraka ni za nini tujiulize watanzania
Ingawa anajidai kuwa Mwana sayansi bora duniani, mimi nachelea kusema kwamba Muhongo ana matatizo ya akili. Hakufaa kabisa kupewa uwaziri. Zaidi ya yote huyu mtu ana tuhuma nzito sana. Alimfungulia mkewe mbwa walimngata sana karibia kufa huku anacheka.
Haikuishia hapo. Kumkomoa huyo huyo mwanamke kumuonyesha mapenzi yake naye yalikwisha, alimsukuma barabarani hadi kagongwa na gari na kufa papo hapo. Huyu mtu ni muuwaji hatari. Walimu wenzie chuo kikuu wanasema Muhongo ana matatizo ya akili kutokana na kauli zake tata. Afrika kusini (Pretoria) alikokuwa anafanya kazi, tabia ni zile zile
Nashindwa kuelewa kwa nini usalama hakufuatilia haya matukio !
Waziri muhongo analalamikiwa sana kwenye taasisi zote chini ya wizara ya nishani na madini. Ni mropokaji, mkorofi na anayejifanya kujua kila kitu. Bora abadilishiwe wizara pengine ya elimu. Muongo ni janga la taifa ni. Mtwara tunamsubiria sana. Aje na JWTZ ikiwa inamlinda kwa sababu alitutukana kutuita chura. Sasa asubiri aone kazi za chura.