Serikali: Uchimbanji wa Uranium uko pale pale

Inaudhi sana waziri au watawala wetu wanaposemea maneno kama hayo wakiwa hotelini na wazungu,badala ya kusema hayo akiwa na wananchi wa eneo husika
 
CCM ni musflisi.Hili joka ambalo iwe hisiwe lazima litoke 2015.kila mtu atoe elimu ya kuing'oa ccm angala text msg 10 kwa mwezi.atume huko kijijini kwake.Tutawang'oa hawa wezi wa mali ya umma
 
Unajua mimi nahangaa sana huyu waziri anaachwa kuendeleza dharau zake....Hivi Mh. Pinda wanayajua kweli anayoyafanya huyu Mungo? Alipataje uwaziri?
 
Wakati sakata la gesi mtwara halijatulia, leo Ameibuka na kauli kwamba Uranium lazima ichimbwe. Hivi ameshajua hathari za Uranium katika mazingira na afya za watu. Mbona hata wananchi wasiusishwe? Tassisi ya kimataifa yaani IAEA haijaridhia kuhusu uchimbaji wa Uranium nchini Tanzania. Hii ni maini hatari na serikali isipokuwa makini tutaingia katika matatizo makubwa ya kiafya. Hivi hizi haraka ni za nini tujiulize watanzania

Ingawa anajidai kuwa Mwana sayansi bora duniani, mimi nachelea kusema kwamba Muhongo ana matatizo ya akili. Hakufaa kabisa kupewa uwaziri. Zaidi ya yote huyu mtu ana tuhuma nzito sana. Alimfungulia mkewe mbwa walimng’ata sana karibia kufa huku anacheka.

Haikuishia hapo. Kumkomoa huyo huyo mwanamke kumuonyesha mapenzi yake naye yalikwisha, alimsukuma barabarani hadi kagongwa na gari na kufa papo hapo. Huyu mtu ni muuwaji hatari. Walimu wenzie chuo kikuu wanasema Muhongo ana matatizo ya akili kutokana na kauli zake tata. Afrika kusini (Pretoria) alikokuwa anafanya kazi, tabia ni zile zile…Nashindwa kuelewa kwa nini usalama hakufuatilia haya matukio !

Waziri muhongo analalamikiwa sana kwenye taasisi zote chini ya wizara ya nishani na madini. Ni mropokaji, mkorofi na anayejifanya kujua kila kitu. Bora abadilishiwe wizara pengine ya elimu. Muongo ni janga la taifa ni. Mtwara tunamsubiria sana. Aje na JWTZ ikiwa inamlinda kwa sababu alitutukana kutuita chura. Sasa asubiri aone kazi za chura.
 
Under serikali yetu mzuri ni anaeweza kupambana na wananchi na kufagilia maslahi ya wawekezaji bila kusahau kuwalinda mafisadi kwa gharama zozote.
Mwenyekiti wa Uranium Network Organization kutoka nchini Ujerumani, Gunter Wippel alitushauri link hii Suala la uchimbaji wa Urani lavaa sura mpya - Habari - mwananchi.co.tz ila watanzania hatuelewi. Angalia athari zilizoanza kuonekana huko Bahi katika hatua ya uchunguzi tu na sio uchimbaji.
 
Hawezi kulazimisha kuchimba, anatakiqa alazimishe maandalizi sahihi ya ucjimbaji
 
Moab uranium mill tailings (ore waste) in Colorado. Despite its immense wealth, the Obama administration is battling to clean up uranium waste ponds in the US. Will Tanzania's fragile ecosystem survive Uranium mining? Can the nation afford it?
 
Ndio waziri wa madini atilia mkazo na kasema ni lazima uranium ichimbwe

Hii inankumbusha serikali ilivyong'ang'ania uamuzi wake wa kuteua kampuni ya Rites kama mwekezaji wakati wa ubinafsishaji wa shirika la reli, na kudharau maoni ya wananchi wengi kuhusu uwezo mdogo wa Rites.

Matokeo yake Serikali ililazimika kusitisha mkataba wa Rites baada ya kulivuruga shirika la reli kwa kiasi kikubwa.

Hii ndiyo serikali inayojidai ni sikivu!
 
Wakuu maendeleo yaja kwa kasi kubwa kwa aina ya viongozi kama muhongo.
 
wakati Japan inakimbia haya mambo sisi ndio tunajiingiza,

Hatariya Uranium ni kwamba ikibuma ni mji mzima unaweza kuhamwa forever,

Swala la Uranium si swala la kuchimba mhogo au viazi kama wanavyofanya kwa gold nakuacha mashimo,

Jamaa wanapoacha hayo mashimo, hela inayoweza kutumika kuclean up ni sawa na hela ya kodi tuliyopata kwa kuwapa,

Hili inabidi liangaliwe kwa makini.
 
Ndiyo ni lazima ichimbwe.
Lakini imeweka utaratibu gani kuratibu na kusimamia uchimbaji huo kwa manufaa ya Taifa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom