Serikali tusimamie wananchi makampuni ya simu yanatuibia kwenye Internet

Serikali tusimamie wananchi makampuni ya simu yanatuibia kwenye Internet

Carlos Valderrama

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2014
Posts
664
Reaction score
240
Wa JF.

Watanzania kila kukicha wanazidi kukamaliwa na hawa wawekezaje huku serikali ikiwa upande wa wawekezaji.

Mabenki yanajipangia riba kubwa wanavyotaka wao lakini serikali wala haina tatizo kwenye hilo.

Sasa hivi haya makampuni ya simu yanafanya wizi mkubwa kwa wateja wake kwenye kuuza vifurushi vya Internet sasa hivi Airtel na Vodacom wanafanya wizi wa wazi 1GB unanunua Sh 5000 ya wiki lakini ndani ya siku 3 unaambiwa zimeisha.

Vodacom wao 1GB Sh 8000 ndani ya siku 3 hamna kitu.

Zamani walikuwa wanauza 1GB Sh2500 ikapanda mpaka Sh 3000 kwa wiki.

Serikali tusimamieni Watanzania tunaibiwa na haya makampuni ya simu.

Na hizo MB wanazouza hamna maelekezo ya kodi wanalipa kiasi gani TRA.
 
Yaani jamaa wana Uhuru sana wa kujipangia bei.. kila siku wanaweka viwango vipya, mtetezi wetu ni nani kwa hili.!?
 
Hii mitandao imeunda Cartel, ninaiomba serikali iregulate hii biashara kwa maana data sasa hivi ni necessity kwa taifa la kisasa
 
Hivi ukinunua 2GB TRA wanapata kodi kiasi gani?
 
Wa JF.

Watanzania kila kukicha wanazidi kukamaliwa na hawa wawekezaje huku serikali ikiwa upande wa wawekezaji.

Mabenki yanajipangia riba kubwa wanavyotaka wao lakini serikali wala haina tatizo kwenye hilo.

Sasa hivi haya makampuni ya simu yanafanya wizi mkubwa kwa wateja wake kwenye kuuza vifurushi vya Internet sasa hivi Airtel na Vodacom wanafanya wizi wa wazi 1GB unanunua Sh 5000 ya wiki lakini ndani ya siku 3 unaambiwa zimeisha.

Vodacom wao 1GB Sh 8000 ndani ya siku 3 hamna kitu.

Zamani walikuwa wanauza 1GB Sh2500 ikapanda mpaka Sh 3000 kwa wiki.

Serikali tusimamieni Watanzania tunaibiwa na haya makampuni ya simu.

Na hizo MB wanazouza hamna maelekezo ya kodi wanalipa kiasi gani TRA.

Mkuu pole sana. Ila unachofanya ni kupeleka kesi ya nyani kwa ngedere. Tunahitaji pesa ya kujenga viwanda!
 
Bila kufukuzwa wale maboss wote Wa enzi ya kikwete pale tume ya mawasiliano,hatutakuwa salama .bado ataa baada ya yule boss aliyechelewesha kutumika kikokoteo cha muda Wa maongezi,bado kuna mchezo mchafu wameuamishia kwenye internet.kwakuwa aitupiwi jicho sana kwa ajili ya uliokua udogo wake
 
Kila siku nawaambia hamieni halotel muone ilivyo nafuu na huduma bora hamtaki mnaidharau,sh 3999 MB 1536 wiki,sh 5000 MB 2560 wiki,sh 7000 MB 3580 wiki na wala huibiwi kwakua kila unapotumia wanakuletea msg umetumia MB ngapi na zimebaki ngapi,so make changes guys
 
Back
Top Bottom