Serikali: Tumeshagawa milioni 50 kila kijiji kama tulivyoahidi kwenye Kampeni 2015

safi sana SIZONJE!!!! sasa nikirudi kijijini kwetu nitakuta fly over:D:D:D:D:D

[HASHTAG]#kutumia[/HASHTAG] cheti cha aliyefaulu hakukuondolei ujinga wako.
 
Hii serikali Mungu aisaidie asee inapumulia mashine bila kujijua .. Hawana mada za mcngi kila cku wanatupaka paka mafta kwa mgongo wa chupa hawajielewi... Ndio maana mnadhalilisha
 
Serikali kupitia msemaji wake, Hassan Abbas imesema imeshagawa milioni 50 kila kijiji kama ilivyoahidi kwenye kampeni za mwaka 2015

Milioni hizo 50 kila kijiji zimetolewa kupitia elimu bure na ujenzi wa fly over


Kuna mazuzu yatakubali na kushangilia
 
Huyu naye hana jipya,sijawahi kumuelewa anachofanya.Sasa hapo kaongea mini au katuona watanzania mafala.Ana website take anaaita ya wananchi wanadai eti ukitoa malalamiko yako yatashughulikiwa ndani ya siku tano lakini mimi tangu 8 January mpaka Leo nikifuatilia online naambiwa suala lako linashughulikiwa.Dr Habas acha porojo!
 
Back
Top Bottom