Serikali: Taarifa ya umri wa kudahiliwa kidato cha 5 ilikosewa. Ni kuanzia miaka 25 badala ya miaka 20

Huyo dogo ni wa kawaida, nimefanya mambo makubwa zaidi yake nikiwa na miaka 6.

Sema guts za kumpeleka mzazi wake polisi ndio amenishinda tu hapo. Kwa miaka yangu kwenye 10 niwe mkweli nisingeweza kuwaza kumpeleka mzazi wangu polisi.

Yote kwa yote dogo kaonyesha ujasiri mkubwa sana. Ila sio wa tofauti kivile.
 
Hiyo miaka 17 atakua anamaliza darasa la saba. Form four atamaliza akiwa na umri wa miaka 21.
By the way, serikali imesema ambao hawatahusika na form five ni wale wenye umri wa kuanzia 25
Miaka hii si wamesema watakuwa wanaishia darasa la 6?
Hivyo atamaliza msingi akiwa na 11 + 5
 
Huyo dogo ni wa kawaida, nimefanya mambo makubwa zaidi yake nikiwa na miaka 6.

Sema guts za kumpeleka mzazi wake polisi ndio amenishinda tu hapo. Kwa miaka yangu kwenye 10 niwe mkweli nisingeweza kuwaza kumpeleka mzazi wangu polisi.

Yote kwa yote dogo kaonyesha ujasiri mkubwa sana. Ila sio wa tofauti kivile.
Acha Wivu we miaka hiyo Si Ulikua Busy kucheza Ile tayari badooo na Kimama mama?
 
Wabongo bhana,hiyo IQ kubwa mmeipimaje?.. Acheni kukuza mambo
 
Mkuu kwani Elimu ya msingi tz miaka mingapi ..? Mbona unatuchanganya Asubui yote hii
 
Hiyo miaka 17 atakua anamaliza darasa la saba. Form four atamaliza akiwa na umri wa miaka 21.
By the way, serikali imesema ambao hawatahusika na form five ni wale wenye umri wa kuanzia 25
Elimu ina mwisho
 
ccm walituletea babu wa loliondo
this time hatudanganyiki na maswali anayoandaliwa huyo mtoto😀
 
miaka 11 hapo cha ajabu nini?
Hapo maswali anayoulizwa yako vizuri na kwa umri wake na matendo anayoyafanya lazima tuanze kujaji IQ yake.

Ingekuwa watoto wetu wa mjin kiwanja kingeshauzwa teyar hiko.

Wew kama mtoto yuko form four na IQ test iko low usishangae

Na pia kama huelewi maswali ndio IQ test ya kwanza kabisa baadae hufuata nyingne
 
IQ inapimwaje kwani mkuu, kwanza ana miaka 11 mbona anavyojieleza na umri wake ni sawa tu
Usiliganishe mazuzu yenu yanayoshinda kwenye tv na cartoon likijua kushika remote control tu unajiadai" mwanangu ana akili".

Dogo yule akipata fursa ya kulelewa vizuri akatengenezwa anakuwa Future Tundu Lissu.
 
Hapo maswali anayoulizwa yako vizuri na kwa umri wake na matendo anayoyafanya lazima tuanze kujaji IQ yake.

Ingekuwa watoto wetu wa mjin kiwanja kingeshauzwa teyar hiko.

Wew kama mtoto yuko form four na IQ test iko low usishangae

Na pia kama huelewi maswali ndio IQ test ya kwanza kabisa baadae hufuata nyingne
Your very correct IQ haipimwimkwa.uwezo wa kukokotoa mahesabu, ni ability to reason, intergrate and associate.

Dogo ana miaka 11( sina uhakika) lakini anaelewa umuhimu wa kutunza ardhi kwa matumizi ya badae na kwa ajili ya haki za wadogo zake.
Kwa sisi wenye IQ kubwa tunamuelewa dogo lakini wale bongo lala utaona tu wanaponda hawamkubali.
 
Acha kulin

ganisha mazuzu yenu yanayoshinda kwenye tv na cartoon likijua kushika remote tu unajiada" mwanangu ana akili".

Dogo yule akipata fursa ya kulelewa vizuri akatengenezwa anakuwa Future Tundu Lissu.
Yule dogo anaulizwa kati ya baba na mama unampenda ona anavyojibu kama anachukua PhD ya micro biology

Sasa tywaulize watoto wetu washika remote na cartoon.com ona majibu yake sasa
 
11 years kuna watoto wanashuka Integral na Differential equations wewe unamsema huyu?
 
Watu wenye IQ ndogo tu ndio wanaweza kum underrate huyu dogo. Dogo ana reasoning na intergrity kubwa.

Mimi na IQ yangu ya hali ya juu siwezi kupuuza uwezo wa dogo tena ambaye ana hali hiyo ya maisha.
 
Kweli kabisa watu wanadhani kuwa na IQ kubwa lazima uwe mkali wa math na physics
 
Huyo dogo ni wa kawaida, nimefanya mambo makubwa zaidi yake nikiwa na miaka 6.

Sema guts za kumpeleka mzazi wake polisi ndio amenishinda tu hapo. Kwa miaka yangu kwenye 10 niwe mkweli nisingeweza kuwaza kumpeleka mzazi wangu polisi.

Yote kwa yote dogo kaonyesha ujasiri mkubwa sana. Ila sio wa tofauti kivile.
Hata wewe mzazi wako angekuwa anakengeuka halafu iwe ni kipindi hicho majirani na wanaokuzunguka wanatambua haki zako wangekushauri uende polisi, kwahiyo si ajabu dogo kakutana na mtu ambaye amemshauri aende polisi,
Mimi nilianza darasa la kwanza na miaka 11 na tayari wakati naanza la kwanza najua kusoma na kuandika, ingekuwa miaka ya huu utandawazi ningekuwa nafahamu mengi zaidi kwa umri huo, leo mtoto wa miaka minne anajua kuperuzi smart phone, anaenda kwenye sehemu ya picha na video fresh kabisa au kwenye game, miaka ile niliyokulia mimi miaka minne hata gari ningekimbia na kulia
 
11 years kuna watoto wanashuka Integral na Differential equations wewe unamsema huyu?
Haaaaaa ndio uwezo wetu wa kufikiri ulipoishia hapo kujaji IQ ya mtu

Hv ushawah kufanyiwa interview hata moja na whites people ukutane na technical question alafu ndio utajua IQ inapimwa KWA EQUATION au what u think about future.
 
Back
Top Bottom