Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,727
Mimi hata nikishutumiwa kimakosa kuwa nimeua, nitaomba na kukataa kabisa serikali hii ya CCM kunisaidia kukanusha hayo mashitaka sababu hakuna anayeweza amini!! Mimi mwenyewe tu hata kama sikuua naweza anza kuhisi labda niliua nikasahau!!
Yani jitu kaama 6 ni lichakachuzi la kila kitu! Mimi nafikiri kweli huyo Shy land, sorry shy rose kweli alimpiga huyo dada, lasi hivyo CCM wasingekanusha.
Yani jitu kaama 6 ni lichakachuzi la kila kitu! Mimi nafikiri kweli huyo Shy land, sorry shy rose kweli alimpiga huyo dada, lasi hivyo CCM wasingekanusha.