Serikali semeni kama biashara ya madadapoa imehalalishwa

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,591
Reaction score
31,133
Nipo hapa Riverside napiga moja Moto moja baridi, ninachokiona Kwa hawa Dada zetu ni uchafu mtupu yani ni wengi kama mitumba ya karume. Mbaya zaidi wamegeuka ombaomba ukikaa au kusimama anakuja kuomba bia au ukamnyuke

Sasa haya yote yanayofanyika Inamana serikali haioni? Mbona difenda imepita kama imefumba macho. Zuieni hii biashara maana Hawa Malaya ni wezi bhana wametuibia sana

N. B. semeni kama umalaya ni ruksa namm niwaambie dada zangu wa kijijini waje wacheze na fursa maana itakuwa ni kazi halali kibaya ni kufanya harama iliyokatazwa na serikali tu
 
Kuna mtu duniani aliyewahi kuizua biashara ya umalaya akaweza?Akijitokeza mtu uniambie.Nipo paleee navuta kiko yangu yenye tumbaku mbichi.
 
Back
Top Bottom