Serikali semeni kama biashara ya madadapoa imehalalishwa

Stand on your sociatel morals! Ukahaba ulikuapo Toka Enzi za Musa na Manabii! Ole wake aangukaye katika mikono ya Kahaba! We unashangaa hao wa riverside? Kashangae Kwenye mitandao ya kijamii! Jiepushe tu budaa
Hata kwa wale wanafunzi 12 wa bwana Emmanueli nina imani kabisa Yuda atakuwa mmoja wa wadau ambao washa nunua hii biashara ya kitambo sana
 
Mkuu unafanya makusudi unataka tu viongozi wasome waende wakafunge machimbo ya mabaharia

Ila naamini viongozi wanaochochea yafungwe ni wanawake au wale wazee ambao hawana nguvu za kiume

Ila hawa vijana lazima watakuwa wanapiga route kwa wahaya , hata kwenye nude partys za tabata wapo .

Tabata ni kama Gomorrah tu ingekuwa ni enzi za zamani ningekuwa nakaa huko ningeshahama kukimbia mvua ya moto
 
Mkuu walete tu siku hizi nahis imehalalishwa bado kuingizwa kwenye mswada tu na watu wakatiwe lesseni waanze kulipia kodi maana wamejaa kila sehemu 🤣
 
Nipo hapa Riverside napiga moja Moto moja baridi, ninachokiona Kwa hawa Dada zetu ni uchafu mtupu yani ni wengi kama mitumba ya karume. Mbaya zaidi wamegeuka ombaomba ukikaa au kusimama anakuja kuomba bia au ukamnyuke

Sasa haya yote yanayofanyika Inamana serikali haioni? Mbona difenda imepita kama imefumba macho. Zuieni hii biashara maana Hawa Malaya ni wezi bhana wametuibia sana

N. B. semeni kama umalaya ni ruksa namm niwaambie dada zangu wa kijijini waje wacheze na fursa maana itakuwa ni kazi halali kibaya ni kufanya harama iliyokatazwa na serikali t
Malaya na omba omba ni vitu ambavyo vipo tangu binadamu alipoumbwa...... hakuna serikali inayoweza kuvizuia.
Kama wanakukera, rudi mpwayungu
 
Nipo hapa Riverside napiga moja Moto moja baridi, ninachokiona Kwa hawa Dada zetu ni uchafu mtupu yani ni wengi kama mitumba ya karume. Mbaya zaidi wamegeuka ombaomba ukikaa au kusimama anakuja kuomba bia au ukamnyuke

Sasa haya yote yanayofanyika Inamana serikali haioni? Mbona difenda imepita kama imefumba macho. Zuieni hii biashara maana Hawa Malaya ni wezi bhana wametuibia sana

N. B. semeni kama umalaya ni ruksa namm niwaambie dada zangu wa kijijini waje wacheze na fursa maana itakuwa ni kazi halali kibaya ni kufanya harama iliyokatazwa na serikali tu
Achana nao bana
 
Kuna ambao wapo mbele ya msikiti wa gadafi pale dodoma huwaga hawaogopi hadi mchana wapo Tena kibaya zaidi wapo kibla kabisa na wengine niwaislamu kabisa yani mjini fata kilichokutoa kijijini kukupeleka mjini hayo mengine tuangalie na kupita
 
Nipo hapa Riverside napiga moja Moto moja baridi, ninachokiona Kwa hawa Dada zetu ni uchafu mtupu yani ni wengi kama mitumba ya karume. Mbaya zaidi wamegeuka ombaomba ukikaa au kusimama anakuja kuomba bia au ukamnyuke

Sasa haya yote yanayofanyika Inamana serikali haioni? Mbona difenda imepita kama imefumba macho. Zuieni hii biashara maana Hawa Malaya ni wezi bhana wametuibia sana

N. B. semeni kama umalaya ni ruksa namm niwaambie dada zangu wa kijijini waje wacheze na fursa maana itakuwa ni kazi halali kibaya ni kufanya harama iliyokatazwa na serikali tu

Nipo hapa Riverside napiga moja Moto moja baridi, ninachokiona Kwa hawa Dada zetu ni uchafu mtupu yani ni wengi kama mitumba ya karume. Mbaya zaidi wamegeuka ombaomba ukikaa au kusimama anakuja kuomba bia au ukamnyuke

Sasa haya yote yanayofanyika Inamana serikali haioni? Mbona difenda imepita kama imefumba macho. Zuieni hii biashara maana Hawa Malaya ni wezi bhana wametuibia sana

N. B. semeni kama umalaya ni ruksa namm niwaambie dada zangu wa kijijini waje wacheze na fursa maana itakuwa ni kazi halali kibaya ni kufanya harama iliyokatazwa na serikali tu
Ni vigumu ku criminalize 100 % prostitution.

Prostitution ni immoral behaviour ijapokuwa Kuna ka sheria Cha kufanya criminal lakini ni partial na ni vigumu Sana kumkuta na hatia maana kitendo hicho ni social behaviour ambayo ni ya kawaida na hakuna sheria inayozuia kutongozana.Hivyo ni vigumu kutofautisha mtongizano wa kawaida ambao nao baada ya kula hilo ember mawazo Nako Kuna kupeana fedha ya sabunu na umalaya.

Hili suala mkilitupia serikali pekee , mtawaonea kwa sababu hata wakikamatwa hilo ni kosa dogo ambalo Lina dhamana na hata wakifungwa ( ijapokuwa ni ngumu kupatikana na hatia ) adhabu ni ndogo.

Ni jukumu la jamii kuanzia kwenye familia ufuatilie nyendo za mabinti zenu, Mila na desturi hatarishi ambazo zinawafundisha maadili mabaya muepuke, watu wa pwani ,unakuta wazazi hasa wa kike wanaongea maneno machafu mbele ya mabinti zao, nyimbo hasa za bongo flavour ,taarabu na michezo ya tv ,wanawake kuweka vikundi vya kujadili wanaume na mabinti wapo, ngoma za kienyeji kama midundiko, singeli, baikoko nk hizi zote ni hatarishi.

Baadhi ya nyumba za ibada zisizokuwa na ibada rasmi za watoto kutoa hotuba za ndoa na mahusiano wakati wa Sala na kuongea maneno mazito huku na watoto wakiwemo.

Mzazi, binti anatoka nyumbani anaosema anakwenda mjini kufanya kazi, hufuatilii anafanya kazi gani ila akikutumia fedha unashukuru kumbe unaokula fedha za uasherati au za wizi.

Hivyo, hili tatizo ni la kijamii zaidi ya kiserikali au kisheria.
 
Usijiropokee tu, kasome vizuri penal code
 
Serious, ukitaka watu waanze kubakwa hovyo zuia hii BIASHARA
Nadhani kinachotakiwa basi kuwe na utaratibu na ustaarabu wa kufanya hivyo ndio maana huwezi kuona Mamlaka zinaingilia club za usiku n.k.

Sasa kujianika hovyo barabarani hata mimi sioni kama ni sawa...unapita na Mwanao mnaona Wasichana wamejianika tu hovyo haileti picha nzuri hata kidogo.
 
Back
Top Bottom