Serikali punguzeni vifungo kwa wahalifu wanaume Hali mbaya mitaani

bushland

JF-Expert Member
Mar 6, 2015
7,016
4,961
Samahani nimeona Hili mambo nililete huku kutokana Na hali halisi mitaani hususani kwa upande WA wanawake maana wanapata shida.

Ukizingazitia kuwa idadi ya wanawake Ni wengi hii imeleta frustration kubwa Sana kwao kutokana Na wengi kuishi bila wanaume.

Hali hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa Na wanaume wengi kuwa magerezani wakitumikia kifungo, Kama 30%hivi wapo vifungoni. Naidadi ya wanaokufa inaonekana wanaume Ni wengi kuliko wanawake.
Sasa basi kutokana na hali hiyo wanawake wamekuwa wakichukua vifaa maaulumu vyenye umbo la uume kwa kwa ajili ya kujifurahisha kimwili,

Vifaa hivi vimekuwa vikipatikana katika maduka nchini na baadhi ya wanawake wamekuwa wakiagiza nje. Naa Hilo nalo linakuja kutokana na wanaume waliopo kutowatosheleza kingono wanawake kutokana na idadi kubwa ya wanaume walio mitaani kukosa au kutokuwa na nguvu za kiume.

Asilimia.kubwa Sana ya wanawake wamekuwa wapweke kutokana na kukosa wenza WA maisha Yao .


Serikali ijaribu kuangalia hali halisi ya maisha ya sasa ikiwezekana ipitishe sheria kabisa mwanaume.aruhusiwe kuoa mwanamke zaidi ya mmoja.
Wanawake wanapata shida,
WAnaume tunasumbuliwa Sana na hao wanawake.
 
Mwenywe nilikuwa nimefikiri hii muda mrefu....

Hawa watu watembelewe na wake zao wapate Huduma...
Sex is the psychocological treatment.....
 
Back
Top Bottom