Trimmer
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 2,794
- 4,893
Yaani badala ya kupiga marufuku ndio kwanza watachochea ulaji wa ugali ili waendelee kuwatumia,,Serikali mtaji wake ni nyie wenyewe mliodumaa akili ujue?
Yaani badala ya kupiga marufuku ndio kwanza watachochea ulaji wa ugali ili waendelee kuwatumia,,Serikali mtaji wake ni nyie wenyewe mliodumaa akili ujue?
Dona ndiyo chakula changu.katika kufanya utafiti wangu mdogo katika maswala ya udumavu wa akili hasa waafrika nmegundua hichi chakula kinadumaza kweli akili zetu hasa nchi za afrika ambapo ndo hukila kama chakula mama haipiti siku bila kukila katika huu utafi wangu nmegundua hichi chakula kinachotokana na mahindi kinaweza kusababisha udumavu wa akili hasa kikitumika kwa wingi hasa kwa mwanadamu ndo maana ukila ugali au uji lazima ulale na uchoke wenzetu ulaya wanatumia maindi kulisha ngombe ona matokeo yke ngombe huwa kama mazuzu ndo maana marekani asilimia 99 ya maindi ni chakula cha ngombe asilimia 1 ni kwa ajili ya popcon na waafrika oneni matokeo yke wazungu wanakuwa na akili zilizo active kuliko sisi hii ni sababu mojawapo ugali tunakuwa na nguvu nying lakini akili ndogo ndo nn sasa jaman dada zetu tuwe wabunifu wa vyakula dah hatuna options ni ugali tu jaman
Upo sahihi sanakatika kufanya utafiti wangu mdogo katika maswala ya udumavu wa akili hasa waafrika nmegundua hichi chakula kinadumaza kweli akili zetu hasa nchi za afrika ambapo ndo hukila kama chakula mama haipiti siku bila kukila katika huu utafi wangu nmegundua hichi chakula kinachotokana na mahindi kinaweza kusababisha udumavu wa akili hasa kikitumika kwa wingi hasa kwa mwanadamu ndo maana ukila ugali au uji lazima ulale na uchoke wenzetu ulaya wanatumia maindi kulisha ngombe ona matokeo yke ngombe huwa kama mazuzu ndo maana marekani asilimia 99 ya maindi ni chakula cha ngombe asilimia 1 ni kwa ajili ya popcon na waafrika oneni matokeo yke wazungu wanakuwa na akili zilizo active kuliko sisi hii ni sababu mojawapo ugali tunakuwa na nguvu nying lakini akili ndogo ndo nn sasa jaman dada zetu tuwe wabunifu wa vyakula dah hatuna options ni ugali tu jaman
Unaufahamu wowote na kitu kinaitwa Thiamine? Jinga wewe!!Nenda popote ugali hauna msaada wowote katika afya ya akili, hiyo unayosema dona usaidia mengine katka mwili lakn sio afya ya akili.
Mahindi eti linasema "Maindi"Akiki yako imedumaa mpaka hata huwezi kusema HIKI bali unatamka HICHI!
ukatika kufanya utafiti wangu mdogo katika maswala ya udumavu wa akili hasa waafrika nmegundua hichi chakula kinadumaza kweli akili zetu hasa nchi za afrika ambapo ndo hukila kama chakula mama haipiti siku bila kukila katika huu utafi wangu nmegundua hichi chakula kinachotokana na mahindi kinaweza kusababisha udumavu wa akili hasa kikitumika kwa wingi hasa kwa mwanadamu ndo maana ukila ugali au uji lazima ulale na uchoke wenzetu ulaya wanatumia maindi kulisha ngombe ona matokeo yke ngombe huwa kama mazuzu ndo maana marekani asilimia 99 ya maindi ni chakula cha ngombe asilimia 1 ni kwa ajili ya popcon na waafrika oneni matokeo yke wazungu wanakuwa na akili zilizo active kuliko sisi hii ni sababu mojawapo ugali tunakuwa na nguvu nying lakini akili ndogo ndo nn sasa jaman dada zetu tuwe wabunifu wa vyakula dah hatuna options ni ugali tu jaman
Hili kwelu zuzu, ng'ombe linasema ngombeMahindi eti linasema "Maindi"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Sasa kama akili zimeshadumaa watakupa majibu kutoka akili ipi?
Kadumaa kweli kama alivyoleta mada yake hapa elezea chakula m badala basi na upatikanaji wake ili uwe umesaidia na kuonyesha wewe hujadumaa akili kama ulivyosema hapo juu.Serikali mtaji wake ni nyie wenyewe mliodumaa akili ujue?