Salahan
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,961
- 3,699
kitakacho amua sio tamaa na maneno yako bali bajet yako....umesema hawali ugal ila hujatuambia wanakula nini kisha nikupe madhara yake.......utafiti wako niwazi nawe unastahik barua ya serikali mana hicho ndio CHAKULA CHA ASILI unatakiwa ukile tena ukikipamba ukiwa attention.....KIKUBWA unashauriwa kula mlo KAMILI balance diet so ugali una wanga hivyo unashauriwa ule kias mana nafaka inajulika kwa utengenezaji wa kileo(pombe) kula kiasi ukiambatanisha na lishe nyingine toka ktk mboga uliyoandaa