Serikali pigeni marufuku mlo wa ugali wa mahindi

Nenda popote ugali hauna msaada wowote katika afya ya akili, hiyo unayosema dona usaidia mengine katka mwili lakn sio afya ya akili.
sijajua huu ujinga huwa mnajifunzia wapi...
1:Mahindi yana Thiamin na niacin. Kazi yake namba moja ni kuboresha mfumo mzima wa akili na ufahamu.
2:Unakusadia magonjwa mengi ikiwemo kansa ya utumbo na magonjwa ya constipation..
3:Mahindi yana carolies nyingi kuliko nafaka yoyote. 342 carolies kwa kila gram 100.
4:Katafute faida ya phosphorus, magnisium,zinc,manganese,iron na cupper kwenye mwili wa mwanadamu utajua kabisa Ugali sio kitu cha kawaida mkuu.
5:Ina antioxidants za kutosha kuzuia mtu asipate kansa aina nyingi tu.
6:ugali unalinda moyo wako. Mafuta yaliyopo kwenye mahindi ni mwarobaini wa matatizo ya moyo.
7:Huepusha Anaemia, chuma iliyomo kwenye mahindi.
8:Yanapunguza ufyonzwaji wa chorestral mwilini.
9:Mahindi ya njano yana beta-carotene Dawa murua ya Macho na kurutubisha ngozi.

cornbenefits1.jpg

kula ugali mkuu kama wayahudi na waarabu wanavyokula ngano. hizo stori hapo juu ni baseless.
 
Safi sana mkuu kwa ufafanuzi wako wa uhakika tuachane na huyu wa kukurupuka aendelee kula...!!
 
nafaka aina zote,matunda,mboga za majani ndio vyakula vinavyomfanya mwanadamu kukamilika kila nyanja. virutubisho karibu vyote vinavyopatikana katika nyama,maziwa,mayai inaambatana na asilimia flani ya vitu vinavyoleta madhara kiafya siku za usoni.

mfano protini ya nyama ni mbovu kabisa ukilinganisha na innocent protini ipatikanayo kutoka kwa mzao wowote wa ardhi.
 
katika kufanya utafiti wangu mdogo katika maswala ya udumavu wa akili hasa waafrika nmegundua hichi chakula kinadumaza kweli akili zetu hasa nchi za afrika ambapo ndo hukila kama chakula mama haipiti siku bila kukila katika huu utafi wangu nmegundua hichi chakula kinachotokana na mahindi kinaweza kusababisha udumavu wa akili hasa kikitumika kwa wingi hasa kwa mwanadamu ndo maana ukila ugali au uji lazima ulale na uchoke wenzetu ulaya wanatumia maindi kulisha ngombe ona matokeo yke ngombe huwa kama mazuzu ndo maana marekani asilimia 99 ya maindi ni chakula cha ngombe asilimia 1 ni kwa ajili ya popcon na waafrika oneni matokeo yke wazungu wanakuwa na akili zilizo active kuliko sisi hii ni sababu mojawapo ugali tunakuwa na nguvu nying lakini akili ndogo ndo nn sasa jaman dada zetu tuwe wabunifu wa vyakula dah hatuna options ni ugali tu jaman
Huenda in kweli!haiwezekani mkuu Wa nchi anafanya maigizo ya kisiasa shughuli ya kijeshi na wananchi wanashangilia na kucheka
 
katika kufanya utafiti wangu mdogo katika maswala ya udumavu wa akili hasa waafrika nmegundua hichi chakula kinadumaza kweli akili zetu hasa nchi za afrika ambapo ndo hukila kama chakula mama haipiti siku bila kukila katika huu utafi wangu nmegundua hichi chakula kinachotokana na mahindi kinaweza kusababisha udumavu wa akili hasa kikitumika kwa wingi hasa kwa mwanadamu ndo maana ukila ugali au uji lazima ulale na uchoke wenzetu ulaya wanatumia maindi kulisha ngombe ona matokeo yke ngombe huwa kama mazuzu ndo maana marekani asilimia 99 ya maindi ni chakula cha ngombe asilimia 1 ni kwa ajili ya popcon na waafrika oneni matokeo yke wazungu wanakuwa na akili zilizo active kuliko sisi hii ni sababu mojawapo ugali tunakuwa na nguvu nying lakini akili ndogo ndo nn sasa jaman dada zetu tuwe wabunifu wa vyakula dah hatuna options ni ugali tu jaman
Akili yako imeganda kama ugali wa jana.
 
Tupe "abstract au résumé" of your research work.Kama huna please shut up,no research no right to speak.
Mkuu huyo jamaa sijui Kama anajua maana ya research,kila mtazania anafanya research lakini nini maana ya research hawajui. Kweli Jamiiforum ni kokolo.
 
Back
Top Bottom