Deghe Mangae
Senior Member
- Mar 3, 2020
- 171
- 152
Serikali Acheni wizi wa mchana kweupe, Ondoeni hii kitu naitwa kikokotoo itawagharimu amini nawaambia hii
Inauma sana kwa maisha ya mstaafu, Mtumishi amejibana miaka kibao leo, Unamchomekea kitu cha ajabuajabu.
Ina maana Serikali imefeli kabisaaaa Kubuni fund source nyingine ya maendeleo imeona iwakwide hivi vizee
Masikini kwa kuwa vinakaribia kufa!!!!
Ok MUNGU atafuta haya machozi ya wizi Huu