Baada ya Kikokotoo kuwaumiza watumishi, mifuko ya jamii yaanza kulazimisha watumishi wa umma kulipa Makato ya mwajiri yaliyochotwa na mafisadi

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,123
Leo kwenye gambe nimekutana na mwanangu anayefanyakazi kwenye moja ya mfuko wa kijamii. Nilipopiga naye stori moja mbili kuhusu kikototoo mwana kateleza ukweli kwamba wastaafu ambao ni watumishi wa umma wasipojiandaa mapema wakategemea pensheni watakufa kwa presha.

Kwanza anasema mifuko ya kijamii haipo tayari kuweka wazi kwa watumishi formula ya kukokotoa mafao.

Pili mifuko hii haipo tayari kufanya ulinganisho wa pensheni kati ya Kikokotoo cha zamani na kipya.

Tatu, watumishi wenyewe wanaofanya kazi kwenye mifuko baada ya kuona giza kwenye kustaafu wamejiwekea utaratibu wa mishahara na marupurupu mazuri na wanahimizana kukamilisha mambo ya msingi kabla ya umri wa kustaafu. Aidha mikopo yao ni minono ukilonganisha na wakatwaji mfano waalimu na Kada ya Afya ambao ni wengi nchini.

Kilichonishtua, baada ya kuunganisha mifumo wamebaini baadhi ya data za watumishi hazipo sawa. changamoto hii anadai inachangiwa na mambo mawili.

Kwanza, kumbukumbu za makato ya watumishi za miaka ya nyuma zimevurugika na nyingine hazikuhifadhiwa vizuri. Maelekezo waliyopewa, kuanzia mwaka jana akijitokeza mtu anastaafu wakabaini kumbukumbu hazipo sawa wanamtengenezea mstaafu namba wanalazimisha alipe madeni ambayo hayaonekani kwenye mfumo ndipo wamalipe pensheni kama hataki aache.

Pili, wamebaini baadhi ya taasisi za serikali zilikwapua makato ya watumishi na kuyatumia vibaya au wengine kutumia makato hayo kujipongeza (wizi). Kwa kuwa ni vigumu kumwajibisha mwajiri au yule aliyekula makato ya pensheni za watu msalaba unaangushiwa kwa watumishi.

Watumishi wanalazimishwa kulipa makato yao ya miaka ya nyuma na kulipa makato yaliyopaswa kufikishwa kwao na mwajiri ambayo ni serikali.

Kupitia Stori hizi nikasema watumishi wa umma wa Tanzania wana matatizo ya fikra na tukiendelea hivi tusitegemee maendeleo ya sekta zetu. Kama toka mwaka Jana watumishi wanalipishwa madeni yaliyopaswa kulipwa na serikali na wanalipa tuwasaidieje?

Lakini nikaenda mbali zaidi kujua suala hili Lina baraka ya wizara ya fedha? Mwana gambe akasema wizara ya fedha haina taarifa kwamba watu wanatozwa madeni yaliyopaswa kulipwa na serikali. Maana yake wapo watu kwenye mifuko ya kijamii wanataka kumgombanisha mama na watumishi wa umma.

Mwisho, hizi taarifa zinaweza kuwa zina usahihi kwamba watumishi wanajilipia makato yaliyotafunwa na walafi fulani. Lakini pia naamini hizi pesa zinazolipwa na watumishi wanaotaka kupata mafao na kusafisha data zao zitaombwa hazina Kwa mgongo wa nyuma na watu wanazipiga.

Sijawahi kusikia bungeni serikali ukisema watumishi wajilipie cash makato ya pensheni, taarifa za waliopo serikalini zinasema haya makato ufanywa automatic kwenye salary. Mama yangu kastaafu ten years back hakuwa anachangia fedha cash, Waziri mwenye dhamana fuatilia.
 
Mosi, kikokotoo kipo kwenye kanuni za ile sheria mpya, labda kama hao wastaafu hesabu zinawasumbua. Lakini unaweza kupiga mahesabu na kujua exactly utapata shilingi ngapi.

Pili, makato ya mwajiri ni wajibu wa mwajiri kulipa kwa mujibu wa sheria, hata kama akichelewa kupeleka mwisho wa siku anayelipa ni mwajiri.

Tatu, wafanyakazi wanatakiwa kupata statement ya michango yao kila baada ya muda flani. Kwa sasa PSSSF wanayo hadi app ya kwenye simu ya mkononi, hivyo mwanachama anatakiwa kuangalia maendeleo ya michango yake kila baada ya muda fulani. Kama kuna dosari anawasiliana na mfuko pamoja na mwajiri ili kuyatatua kabla ya muda wa kustaafu kufika.

Mtumishi fuatilia mambo yako kabla muda wa kustaafu haujafika. Kama kuna changamoto unaiona mapema kabisa na kupata muda wa kutosha kulifuatilia.
Naona kama unatoka jikoni kabisa, tusaidie kujibu hoja....wapo wastaafu na watumishi wanadaiwa na PSSSF Kwa sasa na hili wapate Haki zao wanashinikizwa kulipa pesa kutoka mifukoni mwao?

Kama wapo unadhani huyo anayepokea hizo fedha Kwa ufafanuzi uliotoa hapa anazipokea Kwa mamlaka gani wakati umetuambia mwajiri analazimishwa kulipa madeni ya waajiriwa?

Usijibu siasa tafuta ukweli huko ndani kama mifumo yenu mipya ina shida msihamishe burden Kwa watumishi waalimu na wengine ambao KIKOKOTOO kimeshawanyonya.

Kuhusu sheria kuwa na KIKOKOTOO tuma hiyo sheria tuone urahisi unaoosema ,
 
Leo kwenye gambe nimekutana na mwanangu anayefanyakazi kwenye moja ya mfuko wa kijamii. Nilipopiga naye Stori moja mbili kuhusu kikototoo mwana kateleza ukweli kwamba wastaafu ambao ni watumishi wa umma wasipojiandaa mapema wakategemea pensheni watakufa Kwa presha.

Kwanza anasema mifuko ya kijamii haipo tayari kuweka wazi Kwa watumishi formula ya kukokotoa mafao.

Pili mifuko hii haipo tayari kufanya ulinganisho wa pensheni Kati ya KIKOKOTOO cha zamani na kipya.

Tatu, watumishi wenyewe wanaofanya kazi kwenye mifuko baada ya kuona Giza kwenye kustaafu wamejiwekea utaratibu wa mishahara na marupurupu mazuri na wanahimizana kukamilisha mambo ya msingi kabla ya umri wa kustaafu. Aidha mikopo Yao NI minono ukilonganisha na wakatwaji mfano waalimu na Kada ya Afya ambao NI wengi nchini.

Kilichonishtua, baada ya kuunganisha mifumo wamebaini baadhi ya data za watumishi hazipo sawa. Changamoto hii anadai inachangiwa na mambo mawili.

Kwanza, kumbukumbu za Makato ya watumishi za miaka ya nyuma zimevurugika na nyingine hazikuhifadhiwa vizuri. Maelekezo waliyopewa, kuanzia mwaka Jana akijitokeza mtu anastaafu wakabaini kumbukumbu hazipo sawa wanamtengenezea mstaafu namba wanalazimisha alipe madeni ambayo hayaonekani kwenye mfumo Ndipo wamalipe pensheni kama hataki aache.

Pili, wamebaini baadhi ya taasisi za serikali zilikwapua makato ya watumishi na kuyatumia vibaya au wengine kutumia Makato hayo kujipongeza (wizi). Kwa kuwa NI vigumu kumwajibisha mwajiri au Yule aliyekula Makato ya pensheni za watu msalaba unaangushiwa Kwa watumishi. Watumishi wanalazimishwa kulipa Makato Yao ya miaka ya nyuma na kulipa Makato yaliyopaswa kufikishwa kwao na mwajiri ambayo ni serikali.

Kupitia Stori hizi nikasema watumishi WA umma WA Tanzania Wana matatizo ya fikra na tukiendelea hivi tusitegemee maendeleo ya sekta zetu. Kama toka mwaka Jana watumishi wanalipishwa madeni yaliyopaswa kulipwa na serikali na wanalipa tuwasaidieje?

Lakini nikaenda mbali zaidi kujua suala hili Lina baraka ya wizara ya fedha? Mwana gambe akasema wizara ya fedha haina taarifa kwamba watu wanatozwa madeni yaliyopaswa kulipwa na serikali. Maana yake wapo watu kwenye mifuko ya kijamii wanataka kumgombanisha mama na watumishi wa umma.

Mwisho, hizi taarifa zinaweza kuwa zina usahihi kwamba watumishi wanajilipia Makato yaliyotafunwa na walafi flani. Lakini pia naamini hizi pesa zinazolipwa na watumishi wanaotaka kupata mafao na kusafisha data zao zitaombwa hazina Kwa mgongo wa nyuma na watu wanazipiga.

Sijawahi kusikia bungeni serikali ukisema watumishi wajilipie cash Makato ya pensheni, taarifa za waliopo serikalini zinasema haya Makato ufanywa automatic kwenye salary....mama yangu kastaaf ten years back hakuwa anachangia fedha cash......waziri mwenye dhamana fuatilia.
Hili la kikokotoo ni kaa la Moto Kwa CCM 2025.
 
Heh! Naomba nifute kauli, inaonekana serikali ya awamu hii inamatatizo yake. Wanatunga kanuni wanakaa nazo ndani, kumbe hata hii ya 33% waziri kajigamba tu kuwa imezinduliwa alafu wameifanya wameikalia

Kuna kanuni mpya za utumishi wa umma nazo zimekaliwa tu. nchi hii pasua kichwa.

Ndugu wadanganyika......
 
Ila mfumo wa maisha ambao kipato chako hakiongezeki wala kupungua regardless umefanya kazi kubwa kiasi gani au umefanya kazi ndogo kiasi gani ni uhuni na utapeli, mnastahili kila mateso mnayopata, maana nyinyi ni mizigo kwa wavuja jasho halisi wa taifa hili..
 
Leo kwenye gambe nimekutana na mwanangu anayefanyakazi kwenye moja ya mfuko wa kijamii. Nilipopiga naye Stori moja mbili kuhusu kikototoo mwana kateleza ukweli kwamba wastaafu ambao ni watumishi wa umma wasipojiandaa mapema wakategemea pensheni watakufa Kwa presha.

Kwanza anasema mifuko ya kijamii haipo tayari kuweka wazi Kwa watumishi formula ya kukokotoa mafao.

Pili mifuko hii haipo tayari kufanya ulinganisho wa pensheni Kati ya KIKOKOTOO cha zamani na kipya.

Tatu, watumishi wenyewe wanaofanya kazi kwenye mifuko baada ya kuona Giza kwenye kustaafu wamejiwekea utaratibu wa mishahara na marupurupu mazuri na wanahimizana kukamilisha mambo ya msingi kabla ya umri wa kustaafu. Aidha mikopo Yao NI minono ukilonganisha na wakatwaji mfano waalimu na Kada ya Afya ambao NI wengi nchini.

Kilichonishtua, baada ya kuunganisha mifumo wamebaini baadhi ya data za watumishi hazipo sawa. Changamoto hii anadai inachangiwa na mambo mawili.

Kwanza, kumbukumbu za Makato ya watumishi za miaka ya nyuma zimevurugika na nyingine hazikuhifadhiwa vizuri. Maelekezo waliyopewa, kuanzia mwaka Jana akijitokeza mtu anastaafu wakabaini kumbukumbu hazipo sawa wanamtengenezea mstaafu namba wanalazimisha alipe madeni ambayo hayaonekani kwenye mfumo Ndipo wamalipe pensheni kama hataki aache.

Pili, wamebaini baadhi ya taasisi za serikali zilikwapua makato ya watumishi na kuyatumia vibaya au wengine kutumia Makato hayo kujipongeza (wizi). Kwa kuwa NI vigumu kumwajibisha mwajiri au Yule aliyekula Makato ya pensheni za watu msalaba unaangushiwa Kwa watumishi. Watumishi wanalazimishwa kulipa Makato Yao ya miaka ya nyuma na kulipa Makato yaliyopaswa kufikishwa kwao na mwajiri ambayo ni serikali.

Kupitia Stori hizi nikasema watumishi WA umma WA Tanzania Wana matatizo ya fikra na tukiendelea hivi tusitegemee maendeleo ya sekta zetu. Kama toka mwaka Jana watumishi wanalipishwa madeni yaliyopaswa kulipwa na serikali na wanalipa tuwasaidieje?

Lakini nikaenda mbali zaidi kujua suala hili Lina baraka ya wizara ya fedha? Mwana gambe akasema wizara ya fedha haina taarifa kwamba watu wanatozwa madeni yaliyopaswa kulipwa na serikali. Maana yake wapo watu kwenye mifuko ya kijamii wanataka kumgombanisha mama na watumishi wa umma.

Mwisho, hizi taarifa zinaweza kuwa zina usahihi kwamba watumishi wanajilipia Makato yaliyotafunwa na walafi flani. Lakini pia naamini hizi pesa zinazolipwa na watumishi wanaotaka kupata mafao na kusafisha data zao zitaombwa hazina Kwa mgongo wa nyuma na watu wanazipiga.

Sijawahi kusikia bungeni serikali ukisema watumishi wajilipie cash Makato ya pensheni, taarifa za waliopo serikalini zinasema haya Makato ufanywa automatic kwenye salary....mama yangu kastaaf ten years back hakuwa anachangia fedha cash......waziri mwenye dhamana fuatilia.
Wala hakuna mtoto alliyekuelleza hizo stori, umeamua kujitengenezea ujinga.
Fomula za mafao ziiko wazi na. wafanyakazi wanafundishwa kwenda kutoa semina.
usichojua ni maana ya neno pension kwa taarifa tu ni kua special lumpsum ndo imepungua na monthly pension kuongezeka.
Hivyo kuna faida kwa mstaafu kupata pension kubwa badala ya lumpsum ambayo wengi wamekua wana mis use au kutapeliwa.
acha kukaa na mkeo na kupewa story na waume zake za uongo
 
Sijawahi kuelewa hii dhana ya kutaka kumpangia mtu hela yake inatoka wapi???? Tunajificha kwenye kivuli cha wana misuse na kutapeliwa , yaani unataka kumfundisha mtu mzima na miaka 60+ matumizi ya hela zake alizosotea kwa muda wote huo?? Wapeni mpunga wao matumizi yao hayawahusu
 
Back
Top Bottom