Serikali na wanafunzi wapya wa vyuo vya kati

kalooo

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
270
154
Je hv Serikali kuchukua vijana waliokosa nafasi kwa kidato cha tano na kuwapeleka vyuo vya kati ni kuwakomoa au kuwasaidia ilhalali laki nane kama tuition fees na miscellaneous kama 250000 total million na ushee mtoto wa maskini ataweza kusoma how come tpsc tabora na joining instruction costs more than.
 
Back
Top Bottom