BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
- Thread starter
- #81
Vipi kuhusu ujanja wa wezi, mafisadi wapoke rushwa!? Au hawa hawastahili kushughulikiwa? Lugumi kachoya 37 billion Serikali kimyaaa, escrow Ruge na wenzi wenzie wamechota 321 billion Serikali kimyaaa! Wabunge wapiga madili wa CCM wamepokea rushwa milioni 10 kila mmoja sawa na 2.7 billion Serikali kimyaaa! KULIKONI hawa wezi, mafisadi na wapokea rushwa Serikali inapata kigugumizi kuwafuatilia!?
Bro, acha mambo ya ujanjaujanja yy inatakiwa kulipa kodi kwani hiyo ndo mantiki mambo ya TANESCO kudai serikali ni jambo jingine kabisa, kwa hoja yako huyo kamanda Mbowe ni vema kudaiwa kwasabu2 TANESCO inadai serikali?