Wewe ni nani? Je wewe kutoa ufafanuzi huu ni waziri wa utumishi wa umma au ni waziri wa fedha?? Waache wao ndiyo wawajibu wafanyakazi na siyo wewe.Kwa kifupi mwezi huu watumishi wote wa umma wataanza kupata mishahara mipya. Kazini kwetu tumeshapewa hilo tangazo kuwa mishahara ni tarehe 4 oktoba. Hiki ni kitu cha kawaida kila mwaka mishahara mipya inapoaanza kulipwa huwa inachelewa , wandungu poleni habari ndiyo hiyo
Wewe unajua sentensi moja tu ya kiingereza ''this is crap''?
Upo wapi serikali za mitaa au serikali kuu? Sisi wa mitaa tumeshamaliza mishahara ya Septemba, au unamaanisha mishahara ya Oktoba?
Mpaka sasa watumishi wa sekta nyingi za serikali hawajalipwa mishahara yao, kitu ambacho si kawaida. Tumezoea kulipwa kati ya tarehe 22 - 25 ya kila mwezi lakini sasa tunaingia siku ya mwisho kabisa ya mwezi na hakuna hata dalili, napenda kujua wadau, AU NDO PESA ZETU ZIMEENDA IGUNGA? maana nasikia CCM wametumia karibu 10bl kwa ajili ya ukaguzi. Naomba majibu kwa atakaye kuwa nayo. Asante
Mpambano wa kiinglishi sasa uanze, lol, ngoja hili jamaa la dom lije na makingereza yake na mm ni MYOBAny fool like you can run towards the light. It takes your master Nape with courage to turn and face the darkness and shine his own light there. Your a just a fool like Your Master Nape. I don't need to lecture you, coz your brain is in your Masaburi and Nape who is one got a key for your Masaburi. I don't need to lecture you, coz your brain is in your Masaburi and Nape who is one got a key for your Masaburi. So Nape will unlock your brain very soon and You will see a light. I feel very sorry for you, because you can't even make your own decision till your Master Nape. I can feel for you dude, it's not your fault, it's your hunger that make you to be used with Nape, so you can get something to feed your stomach, Shame. CCM and your Master Nape, they turn you & others to be a Zombie. We can't wait to liberate from (CCM) Nape to a true Independence, which all Tanzanian were fight for.
Uongo hausomewi kozi, mwita25 hata kama umejiariwa kuwasemea magamba this is too much, mi niko ofisini hapa na walimu kadhaa wanaomba kuvumiliwa malipo yao hadi mishahara itoke kwani hadi sasa hakuna kitu, Kajimbo kamoja tu serikali insomba hadi mishahara ya watumishi, naamini watumishi wa igunga watajifunza kutoikenulia menu kihasara CCM,Upo wapi serikali za mitaa au serikali kuu? Sisi wa mitaa tumeshamaliza mishahara ya Septemba, au unamaanisha mishahara ya Oktoba?
Uongo hausomewi kozi, mwita25 hata kama umejiariwa kuwasemea magamba this is too much, mi niko ofisini hapa na walimu kadhaa wanaomba kuvumiliwa malipo yao hadi mishahara itoke kwani hadi sasa hakuna kitu, Kajimbo kamoja tu serikali insomba hadi mishahara ya watumishi, naamini watumishi wa igunga watajifunza kutoikenulia menu kihasara CCM,
Kwani mawaziri walioenda Igunga ni wa serikali kuu au ya mitaa?
Inategemea mkuu lakini sisi tumeingiziwa mishahara. Inawezekana kukawa na ucheleweshaji kwenye halmashauri nyingine.
Kwa kifupi mwezi huu watumishi wote wa umma wataanza kupata mishahara mipya. Kazini kwetu tumeshapewa hilo tangazo kuwa mishahara ni tarehe 4 oktoba. Hiki ni kitu cha kawaida kila mwaka mishahara mipya inapoaanza kulipwa huwa inachelewa , wandungu poleni habari ndiyo hiyo
kwenye kijani hapo jumangapi hiyo kaka?hakuna mishahara mzee watu kibao wanalia njaaaa!,na tasisi nyingi za serikali hazijalipa mishahara,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,!hali ni tete ngoja nikacheki tena kama wameweka mchana huu,mishahara imeingia toka majuzi na kuisahau tumeshaanza uisahau, wewe unasema mshahara leo pole zako.
nna hacra, mke wangu anadai talaka, kisa salary hamupo"!!!!!@#