Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,058
- 134,392
Naangalia mahakama inavyofanya kazi zake, maamuzi zake, upindishaji wa sheria, uvunjaji wa katika wa wazi kabisa
Naangalia jeshi linalopaswa kuilinda katiba kufa kupona. Naangalia lilivyolinda wananchi wakati wa maandamano. Naangalia linavyolinda haki ya kuishi nyakati za utekaji
Naangalia bunge unabaki kusikitika tu
Angalia wizara na taasisi zinazoongozwa na watu wasio na uwezo
Naangalia ofisi za umma zilivyojaa watu wavivu na wazembe. Hakuna ofisi yeyote na umma yenye afadhali kwenye utendaji. Haipo
Naangalia elimu yetu ya ujanja ujanja. Naangalia jinsi tulivyojaza form four failures kuwa walimu. Au watu wenye ufaulu hafifu kuwa walimu.
Naangalia wazee wetu waasisi wa Tanganyika jinsi walivyosaliti Mtanganyika,
Naangalia kila kona sioni nafuu.
Najiuliza namna gani hii nchi inaweza kunyanyuka. Mkombozi akipatikana, atatoa wapi viongozi weledi katika sekta mbalimbali za umma?! Maana naona kila kona wamejaa wajanja wajanja tu. Sekta ya ardhi wezi wakubwa wale. Mkombozi atatoa wapi watalaamu wa sekta ardhi nje ya haya majizi yaliyopo?
Je, ndio kusema hizi taasisi ni damaged beyond repair?!