Doh kama huo ndio mtazamo wako basi umeenda kombo mzee!Kwani unafikiri Israel na US hawajui matokeo ya wanacho fanya hapo.
Wao wanamtafuta Russia tu aingie vitan kiaina na hao droze Ili wapigane indirect kupitia hao droze.
Irani akijichanganya naepia ndio lengolao.
Wanatengeneza vita wakiwa na plan A,B,C,na kuendelea.
Wanataka kuwaweka bz Russia na Irani.
Russia yupo busy na Ukraine kule sijui ubusy upi tena unazungumzia!?
Huko Iran kunasemekana kuwa huwenda akavamiwa tena na Israel hivi punde.
Tukubali tu kuwa mahesabu ya hao jamaa yamefeli huo ndio ukweli