Hapo sasa! Yani walimu ni shidaaa!! Wako wengi nchi nzima lakini maamuzi hawafanyi! Walimu we need changes amkeni!
Wakishachanga hvyo kodi hawalipi?? Kama wanakatwa hvyo na kodi wanalipa basi huo utakuwa uzezeta
CWT Hawana lolote wanakula pesa za walimu bure nakujilimbikizia mali tena kama ni ufisadi uko CWT. wanaopaswa kwenda mahakani ni CWT na wala siyo mwalimu aliyelia upo hapo ndugu! Walimu amkeni
Wakishachanga hvyo kodi hawalipi?? Kama wanakatwa hvyo na kodi wanalipa basi huo utakuwa uzezeta
Ngugu! Ni hatariii!! Ungeona jana mama mmoja (mwalimu) alipokuwa akipaza sauti akitoa machozi ungelia ndugu! Tuwe na busara katika kufanya maamuzi hii ni nchi yetu sote tusikubali hata kidogo.
Hawa hawa walimu huwa wakipewa viposho vya kijinga wanashiriki katika kukakaa kimya CCM wakiiba kura wakati wa uchaguzi. Acha wakatwe , sio walishaambiwa ni mazoba...
Mkuu nimecheka sana aiseeeAcha wakatwe hata hiyo hela ni kidogo sana, walimu wengi ni wajinga ukubali au ukatae habari ndio hiyo kwani na mimi nilikua mwalimu kwa miaka miwili nilijionea mwenyewe ujunga wa walimu japo wamesomea lakini usomi wao walio wengi ni bure, kwanza hawajiamini hata kidogo hata mfagiaji wa ofisi ya mkurugenzi anawatisha mpaka wanapiga magoti walimu wenye degree zao. Kuwa mwalimu inakubidi uwe mjinga wa kupitiliza vinginevyo kazi itakushinda kama sisi tulivyoamua kuacha kazi tukaja mtaani ku burn CD. Ualimu ndio kazi ya mwisho kabisa ambayo kila mtumishi anajifunzia kutoa makaripio na kupiga biti. Acha walimu wakome kwanza ndio siku moja watajua nini maaana kuikataa CCM
Acha wakatwe, wanafki sana. Walianzisha migomo ya kudahi stahiki zao matokeo yake wengine waligoma wengine waliendelea na kazi.
Kwa nini walimu wasiende mahakamani?
Au ndo uoga wao kama kawaida?