Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 380
- 534
Barabara hii ikitengenezwa itakuwa short cut kufika hospitali ya wilaya iliyopo Inyala. Tutafikisha mazao kwa urahisi sokoni. Mbeya vijijini wametengeneza kipande Chao wewe unashindwa Nini?
Inyala IPO Mbeya vijijini wakati igurusi IPO wilaya ya mbarali. Nazungumzia barabara ya malamba kwenda inyala, Barabara upande wa mbarali ni mbaya sana Toka 1975 wakati wa ujenzi wa Tazara haijawahi kujengwa lakini ndiyo inayopitisha malori ya nafaka kwenda sokoni.Hivi Inyala na Igurusi ni sehemu ya Mbalimbali? Vipi na tajiri wenu Kiswele bado yupo?