Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,863
- 5,694
Kweli hii dunia haiishi vituko Ukistaajabu ya Jecha utayaona ya Zuma huko Afrika Kusini. Kwa mujibu Wa taarifa ya habari jioni hii kupitia shirika la habari la uingereza BBC.
Serikali ya jimbo la KwaZulu Natal limetangaza kugharamia gharama zote za elimu kwa wasichana wote mabikira.
Hii inaweza kuingia ktk maajabu saba ya Dunia. Nikajiuliza je tangazo hili lingetolewa bongo je?
Au bikra huko Afrika kusini hazipo? Ndo mana wanajaribu kuhamasisha zitunzwe?
Huu kweli sio ubaguzi huu? Na wanaume wasiofanya ngono mbona wameachwa?
Nini maoni yako mdau unaona na Tanzania tuige ya huko Afrika kusini?