Mwizukulu wa Buganda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2024
- 638
- 1,771
Vitu vilivyochomwa vilivyoainishwa na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ni pamoja na
1. Ofisi za Serikali 756
2. Vituo vya mwendokasi 26
3. Vituo vya Polisi 159
4. Vituo vya mafuta 672
5. Magari Binafsi 1642
6. Pikipiki binafsi 2268
7. Magari ya Serikali 976
Lakini jambo la kushangaza, serikali mpaka leo haitaji idadi ya wananchi waliouawa na serikali hii dhalimu. Inashangaza kuwa mmepata taarifa za mali za Serikali na Binafsi zilizoharibiwa lakini mmeshindwa kujua idadi ya vifo, mnaficha nini kuhusu vifo?