Serikali kupitia upya Mikataba ya Gesi Asili

Ni wazi hakuna majibu kwa sababu hawaelewi wanafanya nini.
Pili anakiri kwamba walianzia kuwajengea uwezo wa hao wajumbe.ni wazi sio wabobezi Bali ni kama wanafunzi with zero experience na ndio maana hawana maamuzi yenye tija.
Kwanini msikubali kuwa hamjui mfanyalo ?kwanini tunacheza na akili za watu?
Tulishasema huko nyuma tujifunze kutokana na makosa au mafanikio ya nchi zilizoanza biashara ya utafutaji ,uchimbaji,usambazaji,na usimamizi wa nishati hii.
Lakini tunazidi kuvurugana na hizo kauli mbiu utafikiri tunakimbiza mwenge.
Kwaiyo tuache tusipitie, au tutoe tu leseni Bila kujali hayo au tuwape nchi wabobezi wafanye kwa niaba yetu au tujengeane uzoefu wenyewe kwa kuangalia mapungufu na makosa yaliyopita ili tusirudie tena tukihakikisha maslahi ya nchi yanasimamiwa?? Usipelekwe puta na mihemko
 
Do you train old dog new tricks?
Your either ready qualified and competent to be an advisor or not.
If you don't have expert seek them,but if you don't have train them starting down below the floor men,may be in 15 years you might end up with Offshore Installation Manager or Offshore Construction Manager, then you will have genuine competent qualified oilmen to be called advisor PERIOD.
 
Mikataba ya gas ilipitishwa kwa hati ya dharura na wabunge wa ccm tena kwa ''harufu ya rushwa'' wakati wa awamu ya 4.
 
Hebu sheria ya mbunge kujua kusoma na kuandika itolewe. Atleast mbunge awe na degree kidogo mambo ya ndio yatapungua
Tatizo sio elimu yao, tatizo ni chama kwanza nchi baadae.

Waliosaini hiyo mikataba wengi ni elimu zao ni ngazi za juu, ila kwa sababu wanavaa miwani ya chama na kulindana.

Magufuli pale anaona kila kitu na anajua waliosababisha huo udhaifu na yeye mwenyewe akiwemo.

Mhimu ni katiba kwanza unayolinda nchi na rasilimali zake, sio hii ya inayolinda chama cha mapinduzi na matumbo yao.
 
Nakumbuka Mama Makinda na wabunge wa Chama Chetu Ccm walivyo pitisha mswada huu kwa nguvu bungeni na kumshawishi JK kuupitisha kuwa sheria siku chache kabla ya kutoka madarakani.
Hebu wabunge wa Chama chetu oneni aibu. Ni sheria gani mliyo pitisha kibabe ambayo haina tatizo? Tutangulize maslahi ya Taifa mbele. Tuache uchama. Ona sasa mna umbuka... Hongera wapinzani kwa kuona mbali.
Hata Rais wa sasa alikuwa upande wa ma CCM mataahira yaliyogonga meza siku hiyo, huku wapinzani wakisusa!
 
Hebu sheria ya mbunge kujua kusoma na kuandika itolewe. Atleast mbunge awe na degree kidogo mambo ya ndio yatapungua

Ikipitishwa sheria mbunge awe na shahada(Degree) kuna hata mawaziri ambao hawana shahada wakati Tanzania ina vyuo vikuu zaidi ya 40 na miaka 60 tangu tupate Uhuru!!!!!!!
 
Kwaiyo tuache tusipitie, au tutoe tu leseni Bila kujali hayo au tuwape nchi wabobezi wafanye kwa niaba yetu au tujengeane uzoefu wenyewe kwa kuangalia mapungufu na makosa yaliyopita ili tusirudie tena tukihakikisha maslahi ya nchi yanasimamiwa?? Usipelekwe puta na mihemko
Ni lazima kulinda maslahi ya nchi hilo halina ubishi wowote labda ni kichaa pekee anaeweza kupinga hilo.Je una taarifa kuwa TPDC wamesaini mkataba mwingine na kampuni ya Pan Africa hivi majuzi tu ?hawa Pan Africa si ndio hao tuliokuwa tunambiwa ni wezi ?je kwenye huo mkataba mpya watakuwa wameacha kuibia nchi ?
 
Br
Do you train old dog new tricks?
Your either ready qualified and competent to be an advisor or not.
If you don't have expert seek them,but if you don't have train them starting down below the floor men,may be in 15 years you might end up with Offshore Installation Manager or Offshore Construction Manager, then you will have genuine competent qualified oilmen to be called advisor PERIOD.
[/
 
Zile sheria ni nzuri mno kama unauelewa wa maswala ya uwekezaji wa resource na elements za mikataba watanzania ni watu wa kuponda na kutetea kitu wasichoelewa na kama wana akili timamu wamtafute Prof Muhongo popote alipo kwa maswala ya ushauri kama taifa we cant ignore an adept kwenye maswala ya uwekezaji wa resources na experience ya kazi wakati hao watu tunaowapa hiyo kazi ya kupitia changamoto ndio kwanza wametoka kuongezewa uwezo (amateurs).
Prof Muhongo ni kati ya watu waliochangia kudumaza sekta ya uendelezaji na utafuta wa gesi asilia nchini.Kama sikosei alipopewa uwaziri mwaka 2012 ndio ukawa mwanzo wa kelele ambazo mwishowe wakapitisha sheria mpaya ya petrol ya mwaka 2015 .Kimsingi hii sheria ndio umekimbiza wawekezaji hapa nchini na hata kusuasua kwa uendelezaji wa mitambo ya kusindika gesi kule lindi (LNG) kumetokana na hii sheria mbovu kabisa ambayo Prof Muhongo alielezwa kuwa ikipitishwa ndio utakuwa mwisho wa uwekezaji hapa nchini.Nyie wote ni mashahidi tangia 2012 hadi leo hakuna mwekezaji mpya kwenye hii sekta ya utafutaji na uchimbaji gesi asilia.
 
Too late matrillioni ya cubic feet gesi yamevunda.Maelfu ya Tani za korosho yanaozeana ghalani.
 
Hivi hawa wabunge hawaoni aibu? Simba chawene na genge lako mnatakiwa kwenda mahakamani. Lazima mna kesi ya kujibu. Wapinzani Mungu awabariki. History itawakumbuka na kuwaenzi. Nakumbuka mlivyopinga kitendo cha kupitisha miswada hii kwa hati ya dharura...
Upuuzi mtupu, we jamaa kila kitu ni siasa tu, wapinzani ndo waloagiza kufanyiwa review kwa mikataba hiyo? kwani ukimpa credit Rais Magufuri anapofanya vyema unapungukiwa nini? mbona mnapodai kakosea huwa hamuoni taabu kumtukana na kumdhihaki?
 
Iliynishangaza sana, Raslimali kubwa ya Nchi Kama hii Gesi ati nayo inapitishwa kwa Hati ya dharura. Gesi ilishapatikana, huo udharura ulikuwa wa nini! Sintakaa nimsahau Prof Muhongo. Ila Nina Imani JPM Atalala nao mbele safari hii
Kitaeleweka,Gas ni hazina muhimu sana kwa nchi yetu...
 
CCM NI WAHUJUMU UCHUMI.
Screenshot_2019-04-08-08-52-07.jpeg
 
Prof Muhongo ni kati ya watu waliochangia kudumaza sekta ya uendelezaji na utafuta wa gesi asilia nchini.Kama sikosei alipopewa uwaziri mwaka 2012 ndio ukawa mwanzo wa kelele ambazo mwishowe wakapitisha sheria mpaya ya petrol ya mwaka 2015 .Kimsingi hii sheria ndio umekimbiza wawekezaji hapa nchini na hata kusuasua kwa uendelezaji wa mitambo ya kusindika gesi kule lindi (LNG) kumetokana na hii sheria mbovu kabisa ambayo Prof Muhongo alielezwa kuwa ikipitishwa ndio utakuwa mwisho wa uwekezaji hapa nchini.Nyie wote ni mashahidi tangia 2012 hadi leo hakuna mwekezaji mpya kwenye hii sekta ya utafutaji na uchimbaji gesi asilia.
Unajua kwanini watakuwa wanakimbia kama hoja yako inaukweli

Ile sheria imewekwa majedwali wa mgawanyo wa mapato kutokana na ukubwa wa reserve kwenye kisima. Ujazo wa commercial reserves which could be recouped unavyoongezeka unaenda sambamba na percentage za share ya serikari kwenye mgawanyo wa profit after tax, kuna ujazo mpaka serikari inachukua 70%.

Watu wengi misingi ya ile ya sheria awajaelewa ni kupinga tu na kumponda mtu aliekuwa mzalendo, naweza kukubali akufaa nafasi ya uwaziri (ingawa yeye ni bora by far kuliko waliomfuata) kikubwa anapwaya katika aspect za kibiashara especially TANESCO inataka mtu mwenye uelewa wa every day management at strategic level or knowledge.

Lakini kwenye maliasili Prof Muhongo amelisaidia sana Taifa. Dunia ya leo inaitwa age information na ni bure tu kupata habari embu pekua interent kuona gharama ambazo watu wanatumia kama kucheza kamali with probability ndogo za kushinda kwenye hatua za mwanzo kabisa kwenye kufanya seismic studies in Oil and Gas exploration za baharini. Ndio utaelewa aliposema watanzania wanamitaji ya viwanda vya juicy tu na marehemu mzee Mengi kweli hiyo hela ya kufanya offshore exploration zaidi ya udalali hana.
 
Prof Muhongo ni kweli alisema kuwa wawekezaji wetu hawana ubavu wa kuwekeza kutafuta mafuta na gesi na alikuwa sahihi kabisa ila kimsingi ndiye aliharibu industry yote kwa ujumla ,awamu ya tano inalallamimiwa kwa kukumbiza wawekezaji kule lindi na Mtwara ili ukweli sheria ya 2015 ambayo ndio imesababisha madhara yote haya na awamu hii ya tano imekuwa mhanga wa hii sheria mkuu.Naweza kukuthibitishia ya kwamba isipobadlishwa nchi haitkaa ipate mwekezaji mpya kwenye hii sekta.
 
Kaharibu kivipi embu toa sababu sio sweeping statement au elezea basi walau kasoro za sheria na sie tupate mwanga.

Kama utaweza toa na elements za aina ya mikataba ambayo ile sheria ilikuwa inalenga tuone hasara na faida zake.
 
Hivi uliona wapi mwekezaji anaambiwa alipe malipo ya awali hata kabla hajaanza kufanya utafiti. Sheria hii mpya wanaita signature bonus, yaani mwekezaji anaetaka kuwekeza mtaji wa kutafuta mafuta na gesi na hana uhakika wa kupata anachotafuta bado unamwambia alipe hiyo signature bonus, na si hela ndogo ni nyingi tu mkuu.Sgnature bonus kuna maeneo inafanya kazi mfano maeneo kama uarabuni kwa kuwa geologia ya kule inaweza mhakikishia mwekezaji kuwa anaweza pata mafuta ni si hapa Tanzania ambapo hadi leo hakuna tone la mafuta lililopatikana mkuu .
 
Ndugu bidding for wells is the industry norm ndio maana exploration ipo classified as high risk na ukipekuwa hakuna kampuni yenye mtaji tia maji tia maji inayoshiriki huko na isitoshe high percentage ya washiriki ni government sponsored companies. Sasa kama uwezi ku-bid kitalu cha dola laki tano tu mpaka million, unaweza kuchukua risk ya kutupa $500-$1B+ na usikute kitu.

Ebu nenda TPDC kawaulize mpaka sasa ni makampuni mangapi yameshapawe vitalu na kukuta hakuna commercial worthy reserves za kutosha kwenye kisima ikabidi waachane navyo na gharama walizotumia kufanya exploration ni kiasi. Hiyo meli tu inayotumika kufanya seismic studies kukodisha ni dollar millioni kwa siku sasa wewe unashangaa kitalu cha laki tano.

Kinachowavutia makampuni yanayoshiriki kwenye upstream ni high rewards unaweza tumia $1B kufanya exploration, ukifanikiwa unaenda kuuza kisima kwa mwingine kwa zaidi ya $5B+. Kama unafuatilia Oil and Gas utaona asilimia kubwa ya hayo makampuni yanayofanya exploration wakifanikiwa na wao wanauza visima kwa wengine ni wachache sana wanaoendelea navyo throughout the value chain.
 
Back
Top Bottom