Serikali kukataza wenye nyumba kukusanya kodi ya miezi 6, yasema inaumiza wengi

Mimi ata kama itakuaje sitapokea hizo pesa bora vyumba nikafugie nguruwe.Sitakubali kupangiwa chochote,ebooo
 
Ndiyo akili za CCM
Sidhani kama wabunge nao watakuwa vilaza wapitishe huu upupu!!
Mimi hiyo kodi nikichukua ya miezi 6 nafanya mambo yangu ya msingi halafu leo wanaongea "ushuzi" wa mwezi mwezi. mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. katika matamko yote ya serikali hili limenikera sana kwa kweli, watuache sisi.
:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(
 
Nazani biashara ni makubaliano so sioni haja ya serikali kuingilia hili otherwise iwe inatumika namna zote yaani mwezi 1 au 3 au 6 au mwaka kutegemeana na mtavyokubaliana
 
Waweke na muda maalumu wa kulipa hiyo kodi ya mwezi mmoja na sheria aeleze ni wakati gani mpangaji aondolewe kwenye nyumba kama akichelewesha kodi...maana wenye nyumba wengi hupenda kuchukua kodi ya miezi sita kwa sababu ya usumbufu wa malipo kwa wapangaji.
 
Kwanini wanipangie muda wa kuchukua kodi ya nyumba yangu? Kwani walinisaidia kujenga

Muda wa kulipa kodi ni makubaliano ya kimkataba kati ya mwenye nyumba na mpangaji.

Kwanini wanawashwawashwa?
 
Wanajifanya wanahuruma na raia wa nchi lakini kumbe hamna lolote, mbona yapo mengi tu yanayokera na kuwaudhi wananchi ambayo wanaweza kuyatolea matamko, na kuyawekea sheria, hili ndio wameona watusumbue sumbue.
 
real G

Wapangaji wengi watapata uvivu wa kujenga zao.

Halafu nadhani kutakuwa na kodi elekezi ambayo itakuwa na kodi ya Serikali ambayo itaenda kuiendesha Mamlaka hiyo.

Itapunguza kero za wenye nyumba kwa wapangaji ila itajenga uvivu wa kutukuka kwa wapangaji ili wasijenge zao kwani kodi ya kila mwezi mbona ni afueni
Wrong perception
 
naona ni mmoja tu kaongelea uanzishwaji wa wakala. hapo kutakuwa na makato ya asilimia fulani kwenda kwa huyo wakala kama ilivyo REA na EWURA kupitia mafuta, maji na umeme. mambo mengine wayaache tunajimudu wenyewe mtaani
 
Back
Top Bottom