Serikali Kujenga Flyover Saba katika jiji la Dar es Salaam

Serikali Kujenga Flyover Saba katika jiji la Dar es Salaam

yamindinda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
1,589
Reaction score
1,320
Mwaka huu serikali itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara saba za juu (flyover) ktk jiji la Dar es Salaam. Barabara hizo zitajengwa ktk maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Kamata, Magomeni na Tabata. -@TZ_MsemajiMkuu wa Serikali, Dk Abbasi.
DVfzC6_X0AAVtth.jpg:large
 
Shukrani za kipekee kwa World Bank kwa kuzuia bomoabomoa ya Ubungo-Kimara ambapo zaidi ya Nyumba 12,000 zilikuwa zibomolewe..

Kama sio World Bank kusema bomoabomoa hii ipo kinyume cha sheria na haki za binadamu MPAKA WATU WALIPWE FIDIA hivyo inasitisha fedha za ujenzi wa upanuzi wa Morogoro road, PEPO LA UHARIBIFU alilonalo mtu yule lingekuwa lipo kazini hivi sasa.

Note: Pepo la UHARIBIFU na Pepo la VISASI ni kama watoto mapacha wanaofanana ( identical twins), wakati wote wapo pamoja.
 
Shukrani za kipekee kwa World Bank kwa kuzuia bomoabomoa ya Ubungo-Kimara ambapo zaidi ya Nyumba 12,000 zilikuwa zibomolewe..

Kama sio World Bank kusema bomoabomoa hii ipo kinyume cha sheria na haki za binadamu mpaka watu walipwe fidia na hivyo inasitisha fedha za ujenzi wa upanuzi wa Morogoro road, PEPO LA UHARIBIFU alilonalo mtu yule lingekuwa lipo kazini hivi sasa.

Note: Pepo la UHARIBIFU na Pepo la VISASI ni kama wale watoto mapacha wanaofanana ( identical twins), wakati wote wapo pamoja.
Pepo la uharibifu likichanganyika na pepo la ngono linazaa pepo la kisasi.

Tutubu wajameni ...
 
Kwani watanzania tumesema tunataka kupita juu sisi tunataka
Maji Safi, salama na ya unakuja 24/7
Umeme wa uhakika 24/7
Elimu Bora na sio hii ngonjera tunazofundishwa sahivi
Ajira
Mazingira mazuri ya kujiajiri nasio hizo barabara za juu maana sisi za chini zinatutosha mkiweza ziweka katika good condition
 
...

Note: Pepo la UHARIBIFU na Pepo la VISASI ni kama wale watoto mapacha wanaofanana ( identical twins), wakati wote wapo pamoja.

Nchi gani waishi!

Mtawala gani wamhitaji?

Huyo pepo anaishi mkichwa chako, kiasi cha kukosa lugha staha ya kutumia kufikisha ujumbe!
 
Kwani watanzania tumesema tunataka kupita juu sisi tunataka
Maji Safi, salama na ya unakuja 24/7
Umeme wa uhakika 24/7
Elimu Bora na sio hii ngonjera tunazofundishwa sahivi
Ajira
Mazingira mazuri ya kujiajiri nasio hizo barabara za juu maana sisi za chini zinatutosha mkiweza ziweka katika good condition
Kuna Miradi ya maji inatekelezwa pia, Umeme kuna miradi inatelekezwa, kuna uboreshaji wa vituo vya afya...yote yanafanyika....lazima tutoe pongezi kwa serikali ya JPM
 
Kwani watanzania tumesema tunataka kupita juu sisi tunataka
Maji Safi, salama na ya unakuja 24/7
Umeme wa uhakika 24/7
Elimu Bora na sio hii ngonjera tunazofundishwa sahivi
Ajira
Mazingira mazuri ya kujiajiri nasio hizo barabara za juu maana sisi za chini zinatutosha mkiweza ziweka katika good condition
Wakazi wa Dar tunataka kupita juu tumechoka na foleni tena zijengwe kibaoooo

Jiongelee wewe usi generalize mjomba
 
Back
Top Bottom