Serikali ku-renew mkataba wa IPTL?

Litakuwa limeshatembeza rushwa ya kufa mtu linajua italipa tu.

Apo hadi secretary wa bosi kapewa tumilion twake kadhaa twa kumalizia ujenzi wa kamajengo,katulia Kama anajamba
 
Reactions: BAK
Wale Simba Trust wanaingiaje hapo maana nao wapo kwa IPTL kupitia Singa yule mjanja mwizi.....yaanii kumbe mkataba wao hadi 2022? Kazi ipo ccm ni ile ile serikali ni ile ile
 
Nenda ukasome maadhimio ya bunge juu ya IPTL.
Nenda ukasome ripoti za CAG juu ya IPTL.
Hapo sasa,au ndio maana yule jamaa alikuwa mkali mpaka akaruhusu watu kutembezewa kichapo mjengoni,nadhani kuna kitu,maana sio kwa hasira zile
 
Patamu hapo
 
The more they promise to change, the more they remain the same.
 
 

Ccm wameacha kukulipa?
 
waingie tu,halafu baadae waje kulialia kuhusu uzalendo.tutawapigia makofi.

Hata ile ya VX8 kwamba Serikali haitanunua magari ya kifahari Leo limepigiwa makofi ati watawala wanatakiwa wawe salama na magari salama ni VX 8 haya mengine hapana hadhi ya kupanda Watawala.

Tunapiga makofi meeeeeeeengi papapapa CCM hoyeeeeeeeeeee.Ole wenu nyie Wapinzani mkipinga tu tuna wapiga ban
 
Ccm wameacha kukulipa?

Akishasaini yule Mining Director atabadilika.Maana hata Waziri aliposema Mawaziri hawawezi kupanda Prado kwa kuwa hazina sifa Bali watanunua VX 8 wamepigwa makofi,na wengine wametuambia tunaopinga tuna wivu sababu hatuwezi kuwa Mawaziri kama wao.
 
Ndioooo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…