Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,026
- 51,247
Naam!Na kuondoa vile vi'service' roads vinavyochelewesha foleni
Naam!Na kuondoa vile vi'service' roads vinavyochelewesha foleni
mtalii wa Small Planet 🤪sasa nakujaga kama mtalii wa ndani
kweli kabisa,wale wachina walibuni kitu kizuri sanaWangejifunza tokea pale
HahahaKutoka matumbi hadi utoboe tazara ,niishawahi kukaa hicho kipande masaa matatu, nilitamani nizime gari niiache hapo
nashukuru nimehama hilo jiji, sasa nakujaga kama mtalii wa ndani