Waliostarabika kwa maoni ya wengi ni USA..lakini nenda GUANTANAMO uone wanavyowatesa raia wake ambao ni thriters kwa wamarekani ...Hii hutokea kule tu ambako jamii haijastaarabika!
Kama ulitarajia ni wewe au familia yako a alikuwa anaenda kugombea ubunge na watu dhaifu kama CUF,TLP,ACT na wengine imekula kwenu hii inchi siyo ya CCMKuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS).
Kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipas Lissu ya Uchochezi April 24,2025,zaidi ya Mawakili 45+ walikuja kumtetea Lissu!Je Watanzania mlijiuliza kwanini "members" wa TLS wamekuwa na maslahi makubwa na KESI hii?Huu ni mpango Mkakati Maalum wa Mawakili dhidi ya Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan!
Timu ya Tundu Lissu na "watu wake" walifika Ofisini kwa WAZIRI MKUU mmoja Mstaafu kwa malengo hayo hayo!
Timu hiyo ikaenda Nchini Kenya kwa Mzee RAILA Odinga kwa malengo hayo hayo na baadae Mwanasiasa kutoka Kenya Martha Karua akaja Tanzania kwa malengo hayo hayo!
Kukamatwa kwa ndugu Tundu Lissu na KESI ya Uhaini sio tu imekuwa ni "surprise" kwa kundi lake kiasi kwamba Waziri Mkuu Mstaafu sasa "anazurura" kutaka Suluhu ya Serikali baada ya mpango wao wa kufanya vurugu kutawanywa"distabilisation"!
MALENGO YA MPANGO YALIKUWA NI YAPI?👇🏿👇🏿
Katika andiko langu ya "CHADEMA Wanataka Kuwazidi "akili" CCM? nilikuja na "Theory" moja ya Provocation!
Nikawataka Watawala na Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Nchi vione mchezo ambao Chadema na "watu wake" walikuwa wanataka kuucheza!
Katika KITABU cha "Politics of Provocation😛articipation & Protest in Israel cha Gadi Wolffed mbinu za kufanya protest kwa malengo ya "kuachieve" "bargain" zimeelezwa bayana!Ndio hiki ambacho wanakifanya Chadema kupitia Tundu Antipas Lissu kwa sasa!
PROTESTS HIZI HAPA👇🏿👇🏿
I.Gomea Uchaguzi Mkuu (No Reforms No Election)
II.Gomea kusaini kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2025!Tayari🤣🤣
III.Gomea Mashitaka, kataa kushiriki KESI kwa njia ya Mtandao!Infact hata Mahakama ingeamua leo kuendesha KESI ile kwa njia ya kawaida bado Ndugu Lissu angeleta "vituko" tu!Kama tunabisha na iwe!
IV.Gomea Chakula kuanzia Jtatu🤣🤣Hivi Uliona wapi Mahabusu akigomea Chakula Wakili wake Peter Kibatala amekuja kuitisha Press Conference ili kutangaza tukio Hilo! Hii ni Cheap Publicity/Propaganda!Michezo ya KITOTO kabisa mbele ya Serikali hii!Why this?🤷🏻♂️🤷🏻♂️
NINI KINATAFUTWA HAPA?👇🏿👇🏿👇🏿
Hii ni "mind game" ambayo Mimi niliiona toka day one kwamba kinachotafutwa hapa ni kuingiza "king" Serikali ikurupuke kuja na mabadiliko kwa maslahi ya kundi lile!Mzee Joseph Warioba Jana anasema tunaweza kufanya mabadiliko ya kanuni bila hata Bunge kuhusika!Haiwezekani!
Akiwa kwenye mchezo huo wa kuwatafutia "njia " ya Bargain,Mzee Jaji Mstaafu Warioba Jana amesikika akimtaka Mh Rais Samia Suluhu Hassan kuwaita Chadema na CCM wakae mezani kujadili Reforms 🤣🤣🤣 kwa kisingizio cha amani kutoweka!
Waziri Mkuu Mstaafu anakamilisha kimbinu mpango huo mchafu wa Chadema kwa kuomba "bargain" ya ule mpango MZIMA wa No Reforms No Election!Dah!
Unajiuliza hivi yanayofanywa na hawa watu yangewekana wakati wa Hayati John Magufuli?Mzee Warioba Jana kaitaja wazi Timu ya kukusanya Maoni ya Mzee Profesa Mkandala sasa unashangaa kwamba Mzee anataka nini tena kama anakiri kuwa kuna reformation zimefanyika chini ya Profesa Mkandala?🤷🏻♂️🤷🏻♂️
Amani ya Nchi hii italindwa kwa "amani" na ikibidi kwa "nguvu" dhidi ya watu wachache ambao wengine hata familia zao hazipo Nchini Tanzania!
TANZANIA KWANZA!
KudosKuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS).

Hamtaki Haki?Amani kwanza...na yeyote anaevuruga amani anyooshwe..hatuwezi kuacha kuuza pweza na supu yake jioni kwenye watu wengi eti kisa mjinga mmoja ameharibu amani yetu..NEVER
Hivi mkuu unaamini duniani kuna haki?..Hamtaki Haki?
Unaandika uzi mreeefu kumbe takataka tupu.Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS).
Kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipas Lissu ya Uchochezi April 24,2025,zaidi ya Mawakili 45+ walikuja kumtetea Lissu!Je Watanzania mlijiuliza kwanini "members" wa TLS wamekuwa na maslahi makubwa na KESI hii?Huu ni mpango Mkakati Maalum wa Mawakili dhidi ya Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan!
Timu ya Tundu Lissu na "watu wake" walifika Ofisini kwa WAZIRI MKUU mmoja Mstaafu kwa malengo hayo hayo!
Timu hiyo ikaenda Nchini Kenya kwa Mzee RAILA Odinga kwa malengo hayo hayo na baadae Mwanasiasa kutoka Kenya Martha Karua akaja Tanzania kwa malengo hayo hayo!
Kukamatwa kwa ndugu Tundu Lissu na KESI ya Uhaini sio tu imekuwa ni "surprise" kwa kundi lake kiasi kwamba Waziri Mkuu Mstaafu sasa "anazurura" kutaka Suluhu ya Serikali baada ya mpango wao wa kufanya vurugu kutawanywa"distabilisation"!
MALENGO YA MPANGO YALIKUWA NI YAPI?👇🏿👇🏿
Katika andiko langu ya "CHADEMA Wanataka Kuwazidi "akili" CCM? nilikuja na "Theory" moja ya Provocation!
Nikawataka Watawala na Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Nchi vione mchezo ambao Chadema na "watu wake" walikuwa wanataka kuucheza!
Katika KITABU cha "Politics of Provocation😛articipation & Protest in Israel cha Gadi Wolffed mbinu za kufanya protest kwa malengo ya "kuachieve" "bargain" zimeelezwa bayana!Ndio hiki ambacho wanakifanya Chadema kupitia Tundu Antipas Lissu kwa sasa!
PROTESTS HIZI HAPA👇🏿👇🏿
I.Gomea Uchaguzi Mkuu (No Reforms No Election)
II.Gomea kusaini kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2025!Tayari🤣🤣
III.Gomea Mashitaka, kataa kushiriki KESI kwa njia ya Mtandao!Infact hata Mahakama ingeamua leo kuendesha KESI ile kwa njia ya kawaida bado Ndugu Lissu angeleta "vituko" tu!Kama tunabisha na iwe!
IV.Gomea Chakula kuanzia Jtatu🤣🤣Hivi Uliona wapi Mahabusu akigomea Chakula Wakili wake Peter Kibatala amekuja kuitisha Press Conference ili kutangaza tukio Hilo! Hii ni Cheap Publicity/Propaganda!Michezo ya KITOTO kabisa mbele ya Serikali hii!Why this?🤷🏻♂️🤷🏻♂️
NINI KINATAFUTWA HAPA?👇🏿👇🏿👇🏿
Hii ni "mind game" ambayo Mimi niliiona toka day one kwamba kinachotafutwa hapa ni kuingiza "king" Serikali ikurupuke kuja na mabadiliko kwa maslahi ya kundi lile!Mzee Joseph Warioba Jana anasema tunaweza kufanya mabadiliko ya kanuni bila hata Bunge kuhusika!Haiwezekani!
Akiwa kwenye mchezo huo wa kuwatafutia "njia " ya Bargain,Mzee Jaji Mstaafu Warioba Jana amesikika akimtaka Mh Rais Samia Suluhu Hassan kuwaita Chadema na CCM wakae mezani kujadili Reforms 🤣🤣🤣 kwa kisingizio cha amani kutoweka!
Waziri Mkuu Mstaafu anakamilisha kimbinu mpango huo mchafu wa Chadema kwa kuomba "bargain" ya ule mpango MZIMA wa No Reforms No Election!Dah!
Unajiuliza hivi yanayofanywa na hawa watu yangewekana wakati wa Hayati John Magufuli?Mzee Warioba Jana kaitaja wazi Timu ya kukusanya Maoni ya Mzee Profesa Mkandala sasa unashangaa kwamba Mzee anataka nini tena kama anakiri kuwa kuna reformation zimefanyika chini ya Profesa Mkandala?🤷🏻♂️🤷🏻♂️
Amani ya Nchi hii italindwa kwa "amani" na ikibidi kwa "nguvu" dhidi ya watu wachache ambao wengine hata familia zao hazipo Nchini Tanzania!
TANZANIA KWANZA!
Kwaiyo wenye nguvu ya kuoambania haki zao wakae kimya kama wewe?Hivi mkuu unaamini duniani kuna haki?..
Duniani hamna haki ..haki ni kwa Mungu tukifa ..
Wenyewe wapambane lakini they will never win!!Kwaiyo wenye nguvu ya kuoambania haki zao wakae kimya kama wewe?
Mwal Nyerere si aliwin kutafuta Haki ya Watanganyika? Basi acha na wao wanaomini kitu fulani ni haki yao waendelee kuitafuta haki yao, yani kuweka uchaguzi uwe wa haki na wazi leo unamwambia mwenzio hatuwezi kuwa na haki katika uchaguzi? Mbona mnatuonesha matatizo yenu kwa ukubwa sana? Sasa mnatofauti gani na vibaka (Panya road?)Wenyewe wapambane lakini they will never win!!
Ungetumia akili kidogo tu ungejua kua Mheshimiwa Lissu ni mwanachama wa TLS pia ni Rais mstaafu wa TLS.Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS).
Kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipas Lissu ya Uchochezi April 24,2025,zaidi ya Mawakili 45+ walikuja kumtetea Lissu!Je Watanzania mlijiuliza kwanini "members" wa TLS wamekuwa na maslahi makubwa na KESI hii?Huu ni mpango Mkakati Maalum wa Mawakili dhidi ya Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan!
Timu ya Tundu Lissu na "watu wake" walifika Ofisini kwa WAZIRI MKUU mmoja Mstaafu kwa malengo hayo hayo!
Timu hiyo ikaenda Nchini Kenya kwa Mzee RAILA Odinga kwa malengo hayo hayo na baadae Mwanasiasa kutoka Kenya Martha Karua akaja Tanzania kwa malengo hayo hayo!
Kukamatwa kwa ndugu Tundu Lissu na KESI ya Uhaini sio tu imekuwa ni "surprise" kwa kundi lake kiasi kwamba Waziri Mkuu Mstaafu sasa "anazurura" kutaka Suluhu ya Serikali baada ya mpango wao wa kufanya vurugu kutawanywa"distabilisation"!
MALENGO YA MPANGO YALIKUWA NI YAPI?👇🏿👇🏿
Katika andiko langu ya "CHADEMA Wanataka Kuwazidi "akili" CCM? nilikuja na "Theory" moja ya Provocation!
Nikawataka Watawala na Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Nchi vione mchezo ambao Chadema na "watu wake" walikuwa wanataka kuucheza!
Katika KITABU cha "Politics of Provocation😛articipation & Protest in Israel cha Gadi Wolffed mbinu za kufanya protest kwa malengo ya "kuachieve" "bargain" zimeelezwa bayana!Ndio hiki ambacho wanakifanya Chadema kupitia Tundu Antipas Lissu kwa sasa!
PROTESTS HIZI HAPA👇🏿👇🏿
I.Gomea Uchaguzi Mkuu (No Reforms No Election)
II.Gomea kusaini kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2025!Tayari🤣🤣
III.Gomea Mashitaka, kataa kushiriki KESI kwa njia ya Mtandao!Infact hata Mahakama ingeamua leo kuendesha KESI ile kwa njia ya kawaida bado Ndugu Lissu angeleta "vituko" tu!Kama tunabisha na iwe!
IV.Gomea Chakula kuanzia Jtatu🤣🤣Hivi Uliona wapi Mahabusu akigomea Chakula Wakili wake Peter Kibatala amekuja kuitisha Press Conference ili kutangaza tukio Hilo! Hii ni Cheap Publicity/Propaganda!Michezo ya KITOTO kabisa mbele ya Serikali hii!Why this?🤷🏻♂️🤷🏻♂️
NINI KINATAFUTWA HAPA?👇🏿👇🏿👇🏿
Hii ni "mind game" ambayo Mimi niliiona toka day one kwamba kinachotafutwa hapa ni kuingiza "king" Serikali ikurupuke kuja na mabadiliko kwa maslahi ya kundi lile!Mzee Joseph Warioba Jana anasema tunaweza kufanya mabadiliko ya kanuni bila hata Bunge kuhusika!Haiwezekani!
Akiwa kwenye mchezo huo wa kuwatafutia "njia " ya Bargain,Mzee Jaji Mstaafu Warioba Jana amesikika akimtaka Mh Rais Samia Suluhu Hassan kuwaita Chadema na CCM wakae mezani kujadili Reforms 🤣🤣🤣 kwa kisingizio cha amani kutoweka!
Waziri Mkuu Mstaafu anakamilisha kimbinu mpango huo mchafu wa Chadema kwa kuomba "bargain" ya ule mpango MZIMA wa No Reforms No Election!Dah!
Unajiuliza hivi yanayofanywa na hawa watu yangewekana wakati wa Hayati John Magufuli?Mzee Warioba Jana kaitaja wazi Timu ya kukusanya Maoni ya Mzee Profesa Mkandala sasa unashangaa kwamba Mzee anataka nini tena kama anakiri kuwa kuna reformation zimefanyika chini ya Profesa Mkandala?🤷🏻♂️🤷🏻♂️
Amani ya Nchi hii italindwa kwa "amani" na ikibidi kwa "nguvu" dhidi ya watu wachache ambao wengine hata familia zao hazipo Nchini Tanzania!
TANZANIA KWANZA!
Aisee! Hivi unaelewa unachoandika lakini? Duniani miongoni mwa nchi za mfano za waliostraarabika ni nchi za Scandinavia.Waliostarabika kwa maoni ya wengi ni USA..lakini nenda GUANTANAMO uone wanavyowatesa raia wake ambao ni thriters kwa wamarekani ...
Yaani wakati mwingine ni bora hata kukaa kimya. Ukizoea vya kunyonga vya kuchinja huviwezi. Watu wanadai HAKI kupitia reforms za Kikatiba, kisheria, kitaasisi na kikanuni ili kuwepo na uwanja sawa wa kufanyia siasa na chaguzi hapa nchini. Unaona alichokuwa anakifanya Magufuli ni sawa au kilikuwa kinakufurahisha? Hatutaki turudi huko ndiyo maana zinatakiwa reforms zifanyike kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Unaona jinsi wapinzani wanavyo enguliwa kwenye chaguzi, kukiwa na fair ground halafu wananchi wenyewe wakawanyima kura kuna shida gani!? Tuyaangalie haya mambo kwa umbali na undani wake tukiwa bado na amani, tusisubiri hali ije kuwa mbaya ndiyo tuanze kutafuta namna ya kukaa mezani hapana.Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS).
Kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipas Lissu ya Uchochezi April 24,2025,zaidi ya Mawakili 45+ walikuja kumtetea Lissu!Je Watanzania mlijiuliza kwanini "members" wa TLS wamekuwa na maslahi makubwa na KESI hii?Huu ni mpango Mkakati Maalum wa Mawakili dhidi ya Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan!
Timu ya Tundu Lissu na "watu wake" walifika Ofisini kwa WAZIRI MKUU mmoja Mstaafu kwa malengo hayo hayo!
Timu hiyo ikaenda Nchini Kenya kwa Mzee RAILA Odinga kwa malengo hayo hayo na baadae Mwanasiasa kutoka Kenya Martha Karua akaja Tanzania kwa malengo hayo hayo!
Kukamatwa kwa ndugu Tundu Lissu na KESI ya Uhaini sio tu imekuwa ni "surprise" kwa kundi lake kiasi kwamba Waziri Mkuu Mstaafu sasa "anazurura" kutaka Suluhu ya Serikali baada ya mpango wao wa kufanya vurugu kutawanywa"distabilisation"!
MALENGO YA MPANGO YALIKUWA NI YAPI?👇🏿👇🏿
Katika andiko langu ya "CHADEMA Wanataka Kuwazidi "akili" CCM? nilikuja na "Theory" moja ya Provocation!
Nikawataka Watawala na Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Nchi vione mchezo ambao Chadema na "watu wake" walikuwa wanataka kuucheza!
Katika KITABU cha "Politics of Provocation😛articipation & Protest in Israel cha Gadi Wolffed mbinu za kufanya protest kwa malengo ya "kuachieve" "bargain" zimeelezwa bayana!Ndio hiki ambacho wanakifanya Chadema kupitia Tundu Antipas Lissu kwa sasa!
PROTESTS HIZI HAPA👇🏿👇🏿
I.Gomea Uchaguzi Mkuu (No Reforms No Election)
II.Gomea kusaini kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2025!Tayari🤣🤣
III.Gomea Mashitaka, kataa kushiriki KESI kwa njia ya Mtandao!Infact hata Mahakama ingeamua leo kuendesha KESI ile kwa njia ya kawaida bado Ndugu Lissu angeleta "vituko" tu!Kama tunabisha na iwe!
IV.Gomea Chakula kuanzia Jtatu🤣🤣Hivi Uliona wapi Mahabusu akigomea Chakula Wakili wake Peter Kibatala amekuja kuitisha Press Conference ili kutangaza tukio Hilo! Hii ni Cheap Publicity/Propaganda!Michezo ya KITOTO kabisa mbele ya Serikali hii!Why this?🤷🏻♂️🤷🏻♂️
NINI KINATAFUTWA HAPA?👇🏿👇🏿👇🏿
Hii ni "mind game" ambayo Mimi niliiona toka day one kwamba kinachotafutwa hapa ni kuingiza "king" Serikali ikurupuke kuja na mabadiliko kwa maslahi ya kundi lile!Mzee Joseph Warioba Jana anasema tunaweza kufanya mabadiliko ya kanuni bila hata Bunge kuhusika!Haiwezekani!
Akiwa kwenye mchezo huo wa kuwatafutia "njia " ya Bargain,Mzee Jaji Mstaafu Warioba Jana amesikika akimtaka Mh Rais Samia Suluhu Hassan kuwaita Chadema na CCM wakae mezani kujadili Reforms 🤣🤣🤣 kwa kisingizio cha amani kutoweka!
Waziri Mkuu Mstaafu anakamilisha kimbinu mpango huo mchafu wa Chadema kwa kuomba "bargain" ya ule mpango MZIMA wa No Reforms No Election!Dah!
Unajiuliza hivi yanayofanywa na hawa watu yangewekana wakati wa Hayati John Magufuli?Mzee Warioba Jana kaitaja wazi Timu ya kukusanya Maoni ya Mzee Profesa Mkandala sasa unashangaa kwamba Mzee anataka nini tena kama anakiri kuwa kuna reformation zimefanyika chini ya Profesa Mkandala?🤷🏻♂️🤷🏻♂️
Amani ya Nchi hii italindwa kwa "amani" na ikibidi kwa "nguvu" dhidi ya watu wachache ambao wengine hata familia zao hazipo Nchini Tanzania!
TANZANIA KWANZA!
Natetea amani mkuu..na kupinga wanaovuruga amani..maana sisi wauza ubuyu na dagaa ndio tutataabika ila nyie wanasiasa tayar mambo yenu ni safi kwa at least vizazi 3 mbele hata msipo fanya KAZI maisha yenu yote..Aisee! Hivi unaelewa unachoandika lakini? Duniani miongoni mwa nchi za mfano za waliostraarabika ni nchi za Scandinavia.
Hao wamarekani wana uhuru wa kutoa maoni lakini si miongoni mwa nchi zinazoongoza Kwa ustaarabu.
Halafu hapa unatetea watu kutekwa kama alivyotekwa Mdude Nyangali, au kuuawa kama alivyouawa Ali Kibao?
Sasa nani anayetaka kuvuruga amani na anavurugaje?Natetea amani mkuu..na kupinga wanaovuruga amani...
Anayetangaza kufanya uasi..Sasa nani anayetaka kuvuruga amani na anavurugaje?