Serikali iwe macho sana na Lissu na watu wake

Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS).

Kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipas Lissu ya Uchochezi April 24,2025,zaidi ya Mawakili 45+ walikuja kumtetea Lissu!Je Watanzania mlijiuliza kwanini "members" wa TLS wamekuwa na maslahi makubwa na KESI hii?Huu ni mpango Mkakati Maalum wa Mawakili dhidi ya Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan!

Timu ya Tundu Lissu na "watu wake" walifika Ofisini kwa WAZIRI MKUU mmoja Mstaafu kwa malengo hayo hayo!

Timu hiyo ikaenda Nchini Kenya kwa Mzee RAILA Odinga kwa malengo hayo hayo na baadae Mwanasiasa kutoka Kenya Martha Karua akaja Tanzania kwa malengo hayo hayo!

Kukamatwa kwa ndugu Tundu Lissu na KESI ya Uhaini sio tu imekuwa ni "surprise" kwa kundi lake kiasi kwamba Waziri Mkuu Mstaafu sasa "anazurura" kutaka Suluhu ya Serikali baada ya mpango wao wa kufanya vurugu kutawanywa"distabilisation"!

MALENGO YA MPANGO YALIKUWA NI YAPI?👇🏿👇🏿
Katika andiko langu ya "CHADEMA Wanataka Kuwazidi "akili" CCM? nilikuja na "Theory" moja ya Provocation!

Nikawataka Watawala na Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Nchi vione mchezo ambao Chadema na "watu wake" walikuwa wanataka kuucheza!

Katika KITABU cha "Politics of Provocation😛articipation & Protest in Israel cha Gadi Wolffed mbinu za kufanya protest kwa malengo ya "kuachieve" "bargain" zimeelezwa bayana!Ndio hiki ambacho wanakifanya Chadema kupitia Tundu Antipas Lissu kwa sasa!

PROTESTS HIZI HAPA👇🏿👇🏿

I.Gomea Uchaguzi Mkuu (No Reforms No Election)

II.Gomea kusaini kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2025!Tayari🤣🤣

III.Gomea Mashitaka, kataa kushiriki KESI kwa njia ya Mtandao!Infact hata Mahakama ingeamua leo kuendesha KESI ile kwa njia ya kawaida bado Ndugu Lissu angeleta "vituko" tu!Kama tunabisha na iwe!

IV.Gomea Chakula kuanzia Jtatu🤣🤣Hivi Uliona wapi Mahabusu akigomea Chakula Wakili wake Peter Kibatala amekuja kuitisha Press Conference ili kutangaza tukio Hilo! Hii ni Cheap Publicity/Propaganda!Michezo ya KITOTO kabisa mbele ya Serikali hii!Why this?🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️

NINI KINATAFUTWA HAPA?👇🏿👇🏿👇🏿

Hii ni "mind game" ambayo Mimi niliiona toka day one kwamba kinachotafutwa hapa ni kuingiza "king" Serikali ikurupuke kuja na mabadiliko kwa maslahi ya kundi lile!Mzee Joseph Warioba Jana anasema tunaweza kufanya mabadiliko ya kanuni bila hata Bunge kuhusika!Haiwezekani!

Akiwa kwenye mchezo huo wa kuwatafutia "njia " ya Bargain,Mzee Jaji Mstaafu Warioba Jana amesikika akimtaka Mh Rais Samia Suluhu Hassan kuwaita Chadema na CCM wakae mezani kujadili Reforms 🤣🤣🤣 kwa kisingizio cha amani kutoweka!

Waziri Mkuu Mstaafu anakamilisha kimbinu mpango huo mchafu wa Chadema kwa kuomba "bargain" ya ule mpango MZIMA wa No Reforms No Election!Dah!

Unajiuliza hivi yanayofanywa na hawa watu yangewekana wakati wa Hayati John Magufuli?Mzee Warioba Jana kaitaja wazi Timu ya kukusanya Maoni ya Mzee Profesa Mkandala sasa unashangaa kwamba Mzee anataka nini tena kama anakiri kuwa kuna reformation zimefanyika chini ya Profesa Mkandala?🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️

Amani ya Nchi hii italindwa kwa "amani" na ikibidi kwa "nguvu" dhidi ya watu wachache ambao wengine hata familia zao hazipo Nchini Tanzania!

TANZANIA KWANZA!
Umeandika uharo mtupu. Njaa tu na ujinga vinakuandama
 
Hayo ndo maneno ya watu wa mitandaoni
Kwa hiyo ulitaka tufanyeje alipo kuja mzalendo JPM mkakufuru...allah kawaleteeni mjalaana SAMIA BUSHIRI mkafurahi sana na kutuita wenda kuzimu ....inamaana ulemsema wa AKATAAYE PEMA PABAYA PANAMWITA AMUUJUI
 
Anaye haribu uchaguzi ni yule asiye taka kuufanya uwe huru na wa haki , huyo lissu mnajichumia dhambi tuu! Kajitoa kuwasilisha mahitaji ya wananchi na na hilo lilionekana kwenye mwitikio wa wananchi katika mikutano yake, ndio maana hata idadi ya wapiga kura imeshuka kwa 56% hali inayo pelekea CCM kutumia walimu kujaza kura bandia kwenye masanduku na kutumia polisi kuhakikisha ulinzi.

Kituo wamejiandikisha watu 609 wanao jitokeza kupiga kura kihalali ni 133 na ndipo hapo zinajazwa kura bandia kufikia idadi ili baadae ionekane uchaguzi umeenda vyema na hiyo ya kura bandia ndiyo inayo sababishaga mawakala wa vyama vingine kutolewa kwa nguvu ndani ya vyumba vya uchaguzi ili kupata nafasi ya kulifanya hayo
Lissua hajawasilisha mahitaji ya wananchi bali ni mahitaji yake na ya chadema
 
Kwa hiyo ulitaka tufanyeje alipo kuja mzalendo JPM mkakufuru...allah kawaleteeni mjalaana SAMIA BUSHIRI mkafurahi sana na kutuita wenda kuzimu ....inamaana ulemsema wa AKATAAYE PEMA PABAYA PANAMWITA AMUUJUI
Sawa keyboard worriers, mtamtoa Samia kwa mitandao
 
Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS).

Kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipas Lissu ya Uchochezi April 24,2025,zaidi ya Mawakili 45+ walikuja kumtetea Lissu!Je Watanzania mlijiuliza kwanini "members" wa TLS wamekuwa na maslahi makubwa na KESI hii?Huu ni mpango Mkakati Maalum wa Mawakili dhidi ya Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan!

Timu ya Tundu Lissu na "watu wake" walifika Ofisini kwa WAZIRI MKUU mmoja Mstaafu kwa malengo hayo hayo!

Timu hiyo ikaenda Nchini Kenya kwa Mzee RAILA Odinga kwa malengo hayo hayo na baadae Mwanasiasa kutoka Kenya Martha Karua akaja Tanzania kwa malengo hayo hayo!

Kukamatwa kwa ndugu Tundu Lissu na KESI ya Uhaini sio tu imekuwa ni "surprise" kwa kundi lake kiasi kwamba Waziri Mkuu Mstaafu sasa "anazurura" kutaka Suluhu ya Serikali baada ya mpango wao wa kufanya vurugu kutawanywa"distabilisation"!

MALENGO YA MPANGO YALIKUWA NI YAPI?👇🏿👇🏿
Katika andiko langu ya "CHADEMA Wanataka Kuwazidi "akili" CCM? nilikuja na "Theory" moja ya Provocation!

Nikawataka Watawala na Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Nchi vione mchezo ambao Chadema na "watu wake" walikuwa wanataka kuucheza!

Katika KITABU cha "Politics of Provocation😛articipation & Protest in Israel cha Gadi Wolffed mbinu za kufanya protest kwa malengo ya "kuachieve" "bargain" zimeelezwa bayana!Ndio hiki ambacho wanakifanya Chadema kupitia Tundu Antipas Lissu kwa sasa!

PROTESTS HIZI HAPA👇🏿👇🏿

I.Gomea Uchaguzi Mkuu (No Reforms No Election)

II.Gomea kusaini kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2025!Tayari🤣🤣

III.Gomea Mashitaka, kataa kushiriki KESI kwa njia ya Mtandao!Infact hata Mahakama ingeamua leo kuendesha KESI ile kwa njia ya kawaida bado Ndugu Lissu angeleta "vituko" tu!Kama tunabisha na iwe!

IV.Gomea Chakula kuanzia Jtatu🤣🤣Hivi Uliona wapi Mahabusu akigomea Chakula Wakili wake Peter Kibatala amekuja kuitisha Press Conference ili kutangaza tukio Hilo! Hii ni Cheap Publicity/Propaganda!Michezo ya KITOTO kabisa mbele ya Serikali hii!Why this?🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️

NINI KINATAFUTWA HAPA?👇🏿👇🏿👇🏿

Hii ni "mind game" ambayo Mimi niliiona toka day one kwamba kinachotafutwa hapa ni kuingiza "king" Serikali ikurupuke kuja na mabadiliko kwa maslahi ya kundi lile!Mzee Joseph Warioba Jana anasema tunaweza kufanya mabadiliko ya kanuni bila hata Bunge kuhusika!Haiwezekani!

Akiwa kwenye mchezo huo wa kuwatafutia "njia " ya Bargain,Mzee Jaji Mstaafu Warioba Jana amesikika akimtaka Mh Rais Samia Suluhu Hassan kuwaita Chadema na CCM wakae mezani kujadili Reforms 🤣🤣🤣 kwa kisingizio cha amani kutoweka!

Waziri Mkuu Mstaafu anakamilisha kimbinu mpango huo mchafu wa Chadema kwa kuomba "bargain" ya ule mpango MZIMA wa No Reforms No Election!Dah!

Unajiuliza hivi yanayofanywa na hawa watu yangewekana wakati wa Hayati John Magufuli?Mzee Warioba Jana kaitaja wazi Timu ya kukusanya Maoni ya Mzee Profesa Mkandala sasa unashangaa kwamba Mzee anataka nini tena kama anakiri kuwa kuna reformation zimefanyika chini ya Profesa Mkandala?🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️

Amani ya Nchi hii italindwa kwa "amani" na ikibidi kwa "nguvu" dhidi ya watu wachache ambao wengine hata familia zao hazipo Nchini Tanzania!

TANZANIA KWANZA!

..amani ya Tanzania itadumishwa kwa kutenda HAKI.

..Ni rahisi zaidi kufanya Reforms kuliko kutuma maaskari kuteka, na kuuwa, wapinzani.
 
Umeona maandamano ya kule Ufaransa ,Uingereza na kwingineko kupinga hujuma dhidi ya Hujuma kwa Ibrahim Traore .

Dunia nzima kwa sasa wanajua tofauti kati ya haki na dhulma .

Mungu hajawahi kuwaumba watu waoga watupu .

Hata wanajeshi wapo kwa ajili ya kupigania nchi sio kupigania Malori ya Samia na tenda ya kuuza makaa ya mawe nje ya nchi ili abaki madarakani arudishe pesa zake kwa kufisidi rasilmali za nchi .

Kuna siku yatapaki bila kazi maana siku akiondoka madarakani yatakosa tenda labda ayapeleke Oman.

Lisu ni Mwanasiasa anayekubalika Afrika nzima kama mpigania haki na maendeleo ya wanyonge .

Wapo watu wanne tu Tanzania wenye uzalendo karne hii.
Tundu Antipas Lisu
John Wegesa Heche
Josephati Gwajima
Mh. Mpina.
Hawa ndio Wazalendo wa Tanzania na Afrika nzima waliotoka kwa Mungu .
Kuna Chawa mkuu wa watawala ndani ya CCM pekee na pandikizi la kipepo na kishetani yaani Jini lilokuwa ndani ya chupa . Hili linapambana na Gambo .
Hakuna mzalendo mwoga . Uoga ni dhambi maana unazaa hila na uongo na chuki . Shujaa kamwe hana roho mbaya . Ndio maana nyumba ikiungua moto mashujaa wasio na waga wanaokoa watu kwa kuhatarisha maisha yao . Ukiona watu wanaogopa kuwatetea na kuwapigania wengine ujue ni waoga na wana roho mbaya ya kujali nafsi zao na maisha yao peke yao.

Lisu ni Mzalendo wa Kiafrika sio huyo Mjukuu wa Sultani wa Oman ambaye hata kwao hawezi kupewa utawala juu ya dola.
Wamemuweka kwa maslahi yao .Huyu ndiye hatari sana kwa nchi maana ni muoga na mbinafsi na mwenye roho mbaya .
 
Warioba kasema reforms wanazotaka CDM kwa sasa ni ngumu. Ametaka warudi kwenye mazingira ya uchaguzi ya 2015 ambayo kwa kiasi kikubwa yalikuwa ya haki.
 
Lissu kawashika pabaya mabwanyenye. He has exposed all the lies.manipulations. etc
 
Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS).

Kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipas Lissu ya Uchochezi April 24,2025,zaidi ya Mawakili 45+ walikuja kumtetea Lissu!Je Watanzania mlijiuliza kwanini "members" wa TLS wamekuwa na maslahi makubwa na KESI hii?Huu ni mpango Mkakati Maalum wa Mawakili dhidi ya Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan!

Timu ya Tundu Lissu na "watu wake" walifika Ofisini kwa WAZIRI MKUU mmoja Mstaafu kwa malengo hayo hayo!

Timu hiyo ikaenda Nchini Kenya kwa Mzee RAILA Odinga kwa malengo hayo hayo na baadae Mwanasiasa kutoka Kenya Martha Karua akaja Tanzania kwa malengo hayo hayo!

Kukamatwa kwa ndugu Tundu Lissu na KESI ya Uhaini sio tu imekuwa ni "surprise" kwa kundi lake kiasi kwamba Waziri Mkuu Mstaafu sasa "anazurura" kutaka Suluhu ya Serikali baada ya mpango wao wa kufanya vurugu kutawanywa"distabilisation"!

MALENGO YA MPANGO YALIKUWA NI YAPI?👇🏿👇🏿
Katika andiko langu ya "CHADEMA Wanataka Kuwazidi "akili" CCM? nilikuja na "Theory" moja ya Provocation!

Nikawataka Watawala na Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Nchi vione mchezo ambao Chadema na "watu wake" walikuwa wanataka kuucheza!

Katika KITABU cha "Politics of Provocation😛articipation & Protest in Israel cha Gadi Wolffed mbinu za kufanya protest kwa malengo ya "kuachieve" "bargain" zimeelezwa bayana!Ndio hiki ambacho wanakifanya Chadema kupitia Tundu Antipas Lissu kwa sasa!

PROTESTS HIZI HAPA👇🏿👇🏿

I.Gomea Uchaguzi Mkuu (No Reforms No Election)

II.Gomea kusaini kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2025!Tayari🤣🤣

III.Gomea Mashitaka, kataa kushiriki KESI kwa njia ya Mtandao!Infact hata Mahakama ingeamua leo kuendesha KESI ile kwa njia ya kawaida bado Ndugu Lissu angeleta "vituko" tu!Kama tunabisha na iwe!

IV.Gomea Chakula kuanzia Jtatu🤣🤣Hivi Uliona wapi Mahabusu akigomea Chakula Wakili wake Peter Kibatala amekuja kuitisha Press Conference ili kutangaza tukio Hilo! Hii ni Cheap Publicity/Propaganda!Michezo ya KITOTO kabisa mbele ya Serikali hii!Why this?🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️

NINI KINATAFUTWA HAPA?👇🏿👇🏿👇🏿

Hii ni "mind game" ambayo Mimi niliiona toka day one kwamba kinachotafutwa hapa ni kuingiza "king" Serikali ikurupuke kuja na mabadiliko kwa maslahi ya kundi lile!Mzee Joseph Warioba Jana anasema tunaweza kufanya mabadiliko ya kanuni bila hata Bunge kuhusika!Haiwezekani!

Akiwa kwenye mchezo huo wa kuwatafutia "njia " ya Bargain,Mzee Jaji Mstaafu Warioba Jana amesikika akimtaka Mh Rais Samia Suluhu Hassan kuwaita Chadema na CCM wakae mezani kujadili Reforms 🤣🤣🤣 kwa kisingizio cha amani kutoweka!

Waziri Mkuu Mstaafu anakamilisha kimbinu mpango huo mchafu wa Chadema kwa kuomba "bargain" ya ule mpango MZIMA wa No Reforms No Election!Dah!

Unajiuliza hivi yanayofanywa na hawa watu yangewekana wakati wa Hayati John Magufuli?Mzee Warioba Jana kaitaja wazi Timu ya kukusanya Maoni ya Mzee Profesa Mkandala sasa unashangaa kwamba Mzee anataka nini tena kama anakiri kuwa kuna reformation zimefanyika chini ya Profesa Mkandala?🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️

Amani ya Nchi hii italindwa kwa "amani" na ikibidi kwa "nguvu" dhidi ya watu wachache ambao wengine hata familia zao hazipo Nchini Tanzania!

TANZANIA KWANZA!
Gentleman,
there is no room for those political bandits to manipulate citizens in any way, and ofcoz there is no escape roots for puppet's to penetrate or escape from this very beautiful gavorned land 🐒
 
Kimoyomoyo nilikuwa nawaza hata huyo pm mstaafu alitakiwa kuhojiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom