William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
-
- #61
Haaa haaa ulikuwa unaendesha malori ukipata fedha unaandaa parties mwisho wa siku ukarudi bongo na jeans ukitegemea Baba yako atakuwa Rais Mzee Kifimbo hakamzuia ikabidi uingie mwenyewe front ukagombea ubunge wa EA ukashindwa kujieleza ukaangukia pua,ukasubiri fadhila za JK akakutosa siku hizi unakimbizana na udalali wa kuuza viwanja,nyumba za urithi.......
Najua unanyemelea jimbo la Mtera kule yupo mropokaji sijui kama utafurukuta jamaa kajichimbia sana yaani kila kitu kinaelekea kwenda kombo.
Kwa hiyo ulitaka Diamond apite bila kupigiwa kura?Basi anzisha tuzo zako.Le mutuz Tuzo,nenda Basata ,Brela uanzishe tuzo.ili uwe unachagua wasanii wako mwenyewe unaowapenda mwenyewe peke yako.Hizi tuzo za watu haziko kama unavyotaka wewe iwe- Diamond hana mpinzani Tanzania na kazi zake haizwezi kuhukumiwa kwa kura, sio kosa la Diamond kwamba ana kipaji kinachowaacha wenziwe maili 20 nyuma, Ali Kiba bado hawezi kupiga Show ya Shillingi Millioni 3 Meza moja na zikaisha please, Diamond haiwezekani ahangaike kutafuta kura kipaji chake kinatakiwa kuhukumiwa kwa matokeo ya kazi zake pole sana ila huna hoja na hujui unachotetea zaidi ya Yanga na Simba ambayo sio nia na madhumuni yangu hapa!!
Le Mutuz
Bro thread nzuri ila wote tunafahamu hasira zote hizi ni kwa sababu Ali Kiba alimbwaga Diamond kwenye Tuzo za Watu. Nilitegemea msomi kama wewe unaelewa tuzo zinazoendeshwa kwa mfumo huu kura za mashabiki ndio zinaamua mshindi kwa 100%, tafadhali pitia kwa waanzilishi wa Marekani People's Choice Awards: Fan Favorites in Movies, Music & TV - PeoplesChoice.com uangalie utaratibu wao kisha linganisha Tanzania People Choice Awards hakuna tofauti, popular vote ndio inaamua mshindi.
Tuzo kama Kili ndio zinahusisha majaji kwa sababu toka hatua za awali zinahusisha Academy kwa hiyo kunahitajika majaji watakaohakiki. Kitu pekee ninachoweza kukwambia umshauri rafiki yako Diamond na team yake ni kuwa waache kudharau hizi tuzo za ndani. Majina yalipotangazwa Ali Kiba alipost Instagram na Facebook kuomba kura kwa mashabiki na team yake ilikuwa mstari wa mbele kupiga kampeni Instagram ikiwatumia watu wengine maarufu kumuombea kura. Upande mwingine Diamond hakuwa na time kabisa,
ndio kwanza akaanza kuziponda tuzo za Kili mara baada ya Wema na Jokate kuanza kumpigia debe Kiba. Bado wiki mbili upande wa Kili kura zifungwe na ninakuhakikishia kuna kila dalili ya Diamond kuangukia pua kwa mara nyingine kama ataendelea na kiburi cha kutegemea eti kwa kuwa ni maarufu au ndiye mwanamuziki anaetambulika kuliko wote kwa sasa kwamba basi atapewa tuzo. Akamuulize Fid Q ambaye alikuwa na mentality hiyo hadi aliposhtuka mwaka jana baada ya kina Fella na Babu Tale kuendesha kampeni ya kumuombea kura na akapata tuzo mbili.
Kuhusu website maarufu, tambua kwamba Jamii Forums walikuwa wadhamini wa tuzo na hiyo moja kwa moja ilikuwa inawaondoa katika kinyang'anyiro. Na kama ulikuwa hujui website zenye traffic kubwa kwa sasa Tanzania ni Jamii Forums, Millard Ayo, Issa Michuzi, Global Publishers na Raha Tupu (ile ya ngono). Pamoja na hayo kura ndio ilikuwa inaamua kama wapenzi wa website tajwa hapo juu ukitoa JF na Millard hawakupiga kura kwa wingi usitegemee wataingizwa kwa kuwa tu ni "mafaza".
Miss Tanzania sifahamu sana, ila ninavyoelewa inaendeshwa na kampuni iliyopewa leseni na Miss World kwa hiyo BASATA hawana uwezo wa kuwaambia jamaa wawanyang'anye leseni ni sawa na Wizara ya Michezo isivyokuwa na uwezo wa kuwaambia CAF au FIFA wamtimue Malinzi.
Nani akuchague mbunge wewe?halafu siku ya tuzo za watu ulibaniwa interview kwenye red capert,halafu hakuna hata mbeby alietaka kupiga picha na wewe,ndo maana una hasira.Pole- Hapana nimerudi na Elimu kubwa sana ndio maana hapa bongo wamerudi wengi toka majuu wameshindwa mimi nipo mpaka leo na ninasomeka na mpaka na wewe ambaye sio siri unayafuatiilia sana maisha yangu Mwanaume mzima hahahah, nia na madhumuni ya kugombea ubunge wa EAC ilikuwa ni pamoja na kujiweka sawa na Viongozi maana kura zote zilipigwa na Viongozi ambao wengi sasa hivi ninashirikiana nao kwenye mambo mengi sana ya jamii so nisingegombea nisingewajua, hahahaha, ubunge sijasema nagombea ila najua unaniogopa sana the way unavyoniongelea inaonyesha unajua hii ngoma ni nzito na imejaa, so relax mkuuu hjahahahahahahaha
Le Mutuz
- Diamond hana mpinzani Tanzania na kazi zake haizwezi kuhukumiwa kwa kura, sio kosa la Diamond kwamba ana kipaji kinachowaacha wenziwe maili 20 nyuma, Ali Kiba bado hawezi kupiga Show ya Shillingi Millioni 3 Meza moja na zikaisha please, Diamond haiwezekani ahangaike kutafuta kura kipaji chake kinatakiwa kuhukumiwa kwa matokeo ya kazi zake pole sana ila huna hoja na hujui unachotetea zaidi ya Yanga na Simba ambayo sio nia na madhumuni yangu hapa!!
Le Mutuz
- Hapana nimerudi na Elimu kubwa sana ndio maana hapa bongo wamerudi wengi toka majuu wameshindwa mimi nipo mpaka leo na ninasomeka na mpaka na wewe ambaye sio siri unayafuatiilia sana maisha yangu Mwanaume mzima hahahah, nia na madhumuni ya kugombea ubunge wa EAC ilikuwa ni pamoja na kujiweka sawa na Viongozi maana kura zote zilipigwa na Viongozi ambao wengi sasa hivi ninashirikiana nao kwenye mambo mengi sana ya jamii so nisingegombea nisingewajua, hahahaha, ubunge sijasema nagombea ila najua unaniogopa sana the way unavyoniongelea inaonyesha unajua hii ngoma ni nzito na imejaa, so relax mkuuu hjahahahahahahaha
Le Mutuz
cha ajabu kamuweka miriam odembale mutuz; Umemsahau na wema sepetu;
Bro thread nzuri ila wote tunafahamu hasira zote hizi ni kwa sababu Ali Kiba alimbwaga Diamond kwenye Tuzo za Watu. Nilitegemea msomi kama wewe unaelewa tuzo zinazoendeshwa kwa mfumo huu kura za mashabiki ndio zinaamua mshindi kwa 100%, tafadhali pitia kwa waanzilishi wa Marekani People's Choice Awards: Fan Favorites in Movies, Music & TV - PeoplesChoice.com uangalie utaratibu wao kisha linganisha Tanzania People Choice Awards hakuna tofauti, popular vote ndio inaamua mshindi. Tuzo kama Kili ndio zinahusisha majaji kwa sababu toka hatua za awali zinahusisha Academy kwa hiyo kunahitajika majaji watakaohakiki. Kitu pekee ninachoweza kukwambia umshauri rafiki yako Diamond na team yake ni kuwa waache kudharau hizi tuzo za ndani. Majina yalipotangazwa Ali Kiba alipost Instagram na Facebook kuomba kura kwa mashabiki na team yake ilikuwa mstari wa mbele kupiga kampeni Instagram ikiwatumia watu wengine maarufu kumuombea kura. Upande mwingine Diamond hakuwa na time kabisa, ndio kwanza akaanza kuziponda tuzo za Kili mara baada ya Wema na Jokate kuanza kumpigia debe Kiba. Bado wiki mbili upande wa Kili kura zifungwe na ninakuhakikishia kuna kila dalili ya Diamond kuangukia pua kwa mara nyingine kama ataendelea na kiburi cha kutegemea eti kwa kuwa ni maarufu au ndiye mwanamuziki anaetambulika kuliko wote kwa sasa kwamba basi atapewa tuzo. Akamuulize Fid Q ambaye alikuwa na mentality hiyo hadi aliposhtuka mwaka jana baada ya kina Fella na Babu Tale kuendesha kampeni ya kumuombea kura na akapata tuzo mbili.
Kuhusu website maarufu, tambua kwamba Jamii Forums walikuwa wadhamini wa tuzo na hiyo moja kwa moja ilikuwa inawaondoa katika kinyang'anyiro. Na kama ulikuwa hujui website zenye traffic kubwa kwa sasa Tanzania ni Jamii Forums, Millard Ayo, Issa Michuzi, Global Publishers na Raha Tupu (ile ya ngono). Pamoja na hayo kura ndio ilikuwa inaamua kama wapenzi wa website tajwa hapo juu ukitoa JF na Millard hawakupiga kura kwa wingi usitegemee wataingizwa kwa kuwa tu ni "mafaza".
Miss Tanzania sifahamu sana, ila ninavyoelewa inaendeshwa na kampuni iliyopewa leseni na Miss World kwa hiyo BASATA hawana uwezo wa kuwaambia jamaa wawanyang'anye leseni ni sawa na Wizara ya Michezo isivyokuwa na uwezo wa kuwaambia CAF au FIFA wamtimue Malinzi.
Kwa hiyo ulitaka Diamond apite bila kupigiwa kura?Basi anzisha tuzo zako.Le mutuz Tuzo,nenda Basata ,Brela uanzishe tuzo.ili uwe unachagua wasanii wako mwenyewe unaowapenda mwenyewe peke yako.Hizi tuzo za watu haziko kama unavyotaka wewe iwe
Nani akuchague mbunge wewe?halafu siku ya tuzo za watu ulibaniwa interview kwenye red capert,halafu hakuna hata mbeby alietaka kupiga picha na wewe,ndo maana una hasira.Pole
Mambo ya kitoto hayo achana nayo haya Je alikiba akichukua tuzo za kili June utasemaje
Mambo ya kitoto hayo achana nayo haya Je alikiba akichukua tuzo za kili June utasemaje
Haaa haaa mbona ulishindwa kujieleza kwenye uchaguzi wa EA ulikuwa unaishiwa pumzi utadhani una HBP,usomi ni pamoja na uwezo wa kutawala jukwaa kama lile sasa tukikwambia nenda kuhutubie hata hapo Kenya si ndio utakimbia kuliko Filbert Bayi .Ulimwona mwenzako Makongoro Nyerere kaingia bila wasiwasi kajieleza vizuri watu wakacheka mwisho wa siku kawa mbunge wewe bado unaangaika hapa mjini na miss Tanzania & Diamond katika umri huu.
Lusinde alimwngusha Baba yako na wewe ukitia pua pale Mtera utakwenda na maji haaa haaaa haaaa.
Huyu lemutuz naye ni mtoto kakuwa mwili tu na kichwa lakini akili ni zeroooooooo....
Kura ndio zilizoamua kuwa nani awe mshindi kama kuhusu colabo alikiba amefanya colabo ya kimataifa kabla huyo diamond ajawa diamond pia alikiba ndio alimsaidia diamond kurecord bure kwenye studio yao yeye na Bob junior sasa kama wewe ujui Ali kiba kama anapendwa na watu kura ndio zimekujulisha tambua alikiba ndo Msanii Wa kiume anayependwa zaidi na push mobile awawezi kupindisha matokeo ya kura Kwa huyo kura zimeamua
- Labda ufungue thread inayonihusu maana naona upo nje kabisa ya mada mkuu hahahahahahaha
Le Mutuz