sijaona mtu aliyeuliza kabla ya 1992, hizo hospitali zinazosimamiwa na kanisa zilikua zinatoza kiasi gani?? .
Mimi ni muislam lakini mama yangu alilazwa KCMC mwanzoni mwa miaka ya 70 alifanyiwa upasuaji na kwa technogy ya kipindi kile alilazwa zaidi ya mwezi mmoja,hakulipa fedha yoyote na huduma zote zilikua ni bure pamoja na chakula na uniform za wagonjwa.
Malipo yalianza pale serikali ilipotangaza malipo ya huduma za afya mwanzoni mwa miaka ya 90.