Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,372
- 28,042
Heee!!!!Hivi Bashite huwa anampa nini mkulu?
UsinipangieHuu mjadala si wa kisiasa. Mkuu (Mh. Rais) alisema wenye vyeti feki waachie ofisi ifikapo May 15, 2017. Huu ulikuwa msamaha na wote watakao kaidi wafungwe miaka 7. Sasa Gwajima askofu kafafanua kila kitu ila serikali haikanushi wala kutoa tamko kuhusu ukweli wa Daud Abert Bashite.
Naomba kama kweli kutoka Kolomije s/msingi ni Daudi bashite, Pamba secondary ni Daudi Bashite (zero kama anavyosema Gwajima na mjue Gwajima yuko youtube live na dunia yote mwenye internet anamwona na kumsikia). Ni aibu kwa nchi kutangazwa vibaya kwa mteule wa rais.
Toeni tamko kama gwajima, kolomije na Pamba Sec ni waongo au wakweli ila rais aamue kulingana na madaraka yake kuhusu DAB.
Ramadhani Kareem.
TigoHivi Bashite huwa anampa nini mkulu?
Heee!!!!
hilo halitowezekana mkuuHuu mjadala si wa kisiasa. Mkuu (Mh. Rais) alisema wenye vyeti feki waachie ofisi ifikapo May 15, 2017. Huu ulikuwa msamaha na wote watakao kaidi wafungwe miaka 7. Sasa Gwajima askofu kafafanua kila kitu ila serikali haikanushi wala kutoa tamko kuhusu ukweli wa Daud Abert Bashite.
Naomba kama kweli kutoka Kolomije s/msingi ni Daudi bashite, Pamba secondary ni Daudi Bashite (zero kama anavyosema Gwajima na mjue Gwajima yuko youtube live na dunia yote mwenye internet anamwona na kumsikia). Ni aibu kwa nchi kutangazwa vibaya kwa mteule wa rais.
Toeni tamko kama gwajima, kolomije na Pamba Sec ni waongo au wakweli ila rais aamue kulingana na madaraka yake kuhusu DAB.
Ramadhani Kareem.
Huyu jamaa kuna kitu siyo bure. Muhongo katumbuliwa, nape pia!! Huyu ana niniBashite huwa anampa nini mkulu?
Sina swali jingine. Nina ombi kwa mh rais, amteuwe Daud Albert Bashite kuwa mkuu wa mkoa.Hata ingelikuwa ni nani lakini twajua kuwa, huyu ndiye aliye wahalalishia utulivu wa moyo, Wabunge kama Kibajaji na wenzake kina Shoza pamoja na wateule wote wa rais kuwa hawana haja ya kwenda nunua ubin huko na huko ili kuhalalisha vyeti. Unachotakiwa ni ushindi wa udahili (Interview) kama utaweza kusoma maneno mawili tu ya kiswahili nayo ni, " Ka' "Ta". Ukiweza kuyasoma hayo maneno mawili tu, wewe unastahili ofisi ya Mkoa, Wilaya na Ubunge hadi Uwaziri. Haya, swali jingine???