#COVID19 Serikali itangaze mikutano ya Waziri Mwigulu sio hatarishi na COVID-19


Hii ni mikusanyiko ya lazima ukizingatia kwamba Corona inajua kwamba huyu ni Waziri anayehusika na fedha. Corona inajua hawa waliokusanyika wameitwa na Waziri kwa hiyo Corona itafanya process kisayansi inaitwa Kwepability. Hata taratibu za kujikinga na Corona zimesema tusikusanyike bila ulazima isipokuwa kwa mikutano ya Mwigulu.

Sasa kuondoa usumbufu na maswali serikali itangaze kwamba hii mikutano sio hatarishi kabisa na Corona. Halafu pia anatukusanya kutuambia kuache kukusanyika kujikinga na Corona.

Ni hayo tu
Napata picha kuwa mwigulu ana uhusiano wa "kipekee" na bibi kizee na huenda ndiye anayeongoza nchi, na yuko nyuma ya kesi ya mbowe. Huyu jamaa ni aina ya kina Magufuli
 
Back
Top Bottom