Serikali isiyotokana na ridhaa ya wananchi ni hatari kwa Usalama wa Taifa

Serikali isiyotokana na ridhaa ya wananchi ni hatari kwa Usalama wa Taifa

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
16,818
Reaction score
62,027
Tumeshuhudia yaliyotokea nchini, kilichotokea pale siyo uchaguzi ni uchafuzi. Ni kikundi cha watu wachache kikilindwa na vyombo vya ulinzi kikafanya mapinduzi dhidi ya Jamhuri. kwa kujitwalia madaraka bila ridhaa ya wananchi. Idadi ya walipiga kura ni feki, idadi ya kura zilizotangazwa ni feki, na hata mchakato mzima wa uchaguzi uligubikwa na rafu nyingi. Kwa hiyo ni sahihi kusema kuwa SERIKALI ILIYOJIPACHIKA MADARAKANI SIYO SIYO SERIKALI YA WATU, INAYOTOKANA NA WATU NA KWA AJILI YA WATU. Ni serikali feki.
Zipo athari kadha wa kadha za kuwa na serikali isiyotokana na ridhaa za wananchi ambazo ni hatari mno kwa usalama wa Taifa nitazitaja.

1. Serikali isiyotokana na wanachi haina uhalali wa kuingia mikataba kwa niaba ya wananchi
Tunafahamu, moja ya kazi za serikali ni kuingia mikataba mbalimbali na taasisi tofautitofauti duniani au nchi mbalimbali duniani.Mikataba hii inaweza kuwa ya mashirikiano, ya kiuchumi na hata ya kiulinzi. Mikataba hii huwa ni kwa niaba ya wananchi. Sasa inapotokea kikundi cha watu wachache kikapoka madaraka bila ridhaa ya wananchi kinakosa uhalali wa kuingia mikataba hiyo kwa niaba yao. Uhalali huo unakosekana kwa sababu kwanza hakijapewa dhamana ya kufanya hivyo lakini pili ni vigumu kikundi hicho kuweka mbele maslahi ya wananchi ambao kimsingi hakiwaheshimu

2. Serikali isiyotokana na ridhaa ya wananchi haina uwezo wa kupigana vita na adui wa nje ikashinda
Kama wananchi wameikataa serikali husika, hawajampa ridhaa rais aliyeko madarakani, basi nchi hiyo ikivamiwa tegemea nchi hiyo kupata shida mno katika hiyo vita. Asijidanganye mtu kuwa eti lipo jeshi litaenda kupigana, Iko hivi Engine ya Ulinzi wa Taifa lolote ni wananchi, Hata sisi nchini mwetu, wakati wa vita vya Kagera, Majority ya askari waliokwenda msitari wa mbele ni wananchi wa kawaida waliopewa mafunzo maalumu ya muda mfupi. Inakadiriwa kulikuwa na wapiganaji rasmi wa Jeshi 15000, huku raia walipoewa mafunzo ya muda mfupi wakikadiriwa kuwa ni 25000 ambao jumla waliunda jeshi strong la watu 40000. Amiri Jeshi mkuu asiyetokana na ridhaa ya wananchi hawezi kuliongoza Taifa kikamilifu kukabiliana na adui wa nje, maana wananchi hawana radhi naye.

3. Serikali isiyotokana na ridhaa za watu huongoza nchi kwa hofu na hivyo kujikuta inafanya uharibifu mkubwa wa misingi ya Taifa
Ili serikali hiyo iweze kusurvive lazima ivuruge mahakama ili wale watu inaowaonea wasichomoke kupitia huko, huvuruga bunge ili hoja yoyote ya kuitikisa isipite huko, huvunja katiba bila hofu maana uwepo wake wenyewe madarakani kimsingi ni kinyume cha katiba, itateka watu, itapoteza watu. Kwa hiyo itajikuta inafnya mambo mengi ya ajabuajabu ya kuharibu misingi ya Taifa matokeo yake Taifa litakuwa si taifa la haki, na hii itazidisha chuki na hasira za umma kitu kiachoweza kupelekea vurugu na umwagaji damu wa kutisha. Kiufupi Serikali isiyotokana na wananchi ni mbegu kuu ya vurugu na uvunjifu wa amani.

4. Serikali isiyotokana na ridhaa za wananchi ni serikali dhaifu, ni rahisi kufanya chochote hata kuuza rasilimali za nchi ili iweze kusurvive
Serikali isiyo na ridhaa ya wananchi ni serikali dhaifu, ni very vulnerable ni rahisi sana kuiblackmail ili iweze kusurvive. Ili ijaribu kutafuta legitimacy, itajaribu kufanya vitu ambavyo inaamini vitawatuliza wananchi, itajaribu kutafuta fedha kwa ajili ya miradi mbalimbali lakini kwa kuwa wakubwa wa dunia wanajua kuwa serikali hiyo haikubaliki watawapa terms ngumu ambazo wakizitekeleza watapatiwa fedha. Na terms zenyewe zinaweza ni kuuza rasilimali kwa bei chee, au hata kuweka rehani ardhi, maji au hata anga ya nchi ilimradi tu kuwaridhisha wakubwa wa dunia waipatie fedha au wasiwachukulie hatua kutokana na uhalifu wao.

5. Serikali isiyotokana na ridhaa ya wananchi haina moral authority ya kusimamia nidhamu
Wewe kama umeiba kura ili uingie madarakani una uhalali gani kusimamia nidhamu serikalini?. Unawezaje kuwashughulika wezi wa fedha za umma wakati na wewe mwenyewe umeiba dhamana ya uongozi ambao wananchi hawakukupatia kwa ridhaa zao?. Utawashughulikiaje majangili wakati wale askari utakaowatuma wafanye kazi hiyo wanajua kuwa wewe uliiba kura kuwa hapo na upo hapo madarakani kwa ridhaa ya mitutu yao?. Utalaani vipi walimu wanaovujisha mitihani wakati walimu hao wanajua kuwa wewe mwenyewe upo hapo kwa sababu walimu hao walikusaidia kutiki pale wananchi walipogoma kujitokeza kwa wingi kupiga kura?.

6, Serikali isiyo na ridhaa ya watu, basi watu hao huwa hawaitumikii kwa mioyo yao yote na akili zao zote na nguvu zao zote
Mara nyingi kukiwa na serikali isiyotokana na watu, wananchi hujiweka katika survival mode, wale watumishi wa serikali hufanya mambo kwa kuangalia survival yao zaidi, hufanya "vichache" huwa hawafanyi "vingi". Wananchi huamua kuwa watazamaji, shuguli maofisini huenda taratibu, rushwa hutamalaki, "unanijua mimi nani" huinua kichwa chake. Kiufupi ule uharamu wa juu husambaa mpaka chini.

7. Seriklai isiyo na ridhaa ya wananchi inakaribisha migongano endelevu na wananchi
Watu watairesist kijamii, kisiasa na kiuchumi. Migomo ya wafanyakazi, Wananchi wanaweza kufanya mbinu nyingi kukwepa kulipa kodi kwa dhana ya HUWEZI KULIPA KODI BILA UWAKILISHI, watu wanaweza kususia biashara kadha wa kadha ili kuinyima serikali mapato. Kiufupi serikali isiyo na ridhaa ya umma ni hatari mno kwa ustawi wa Taifa.

MWISHO
Hakuna future ya maana nchi inaweza kupata kama serikali iliyoko madarakani haina radhi za wananchi. hata huko katika nchi za kifalme, ambazo ni tajiri, japo hakuna kupiga kura lakini mara nyingi unakuta zile falme zina ridhaa za watu kwa asilimia kubwa. Ridhaa ikikosekana falme hizo huanza kuyumba mpaka kuanguka.
Ni hatari mno kuwa na uongozi usiokubaliwa na wananchi, hii ni kweli kuchumi, na hata kiulinzi na usalama, maana adui anaweza kutumia mianya hiyo ya "dissatisfaction" kufanya ujasusi dhidi ya nchi husika
 
Tutashuhudia ufisadi wa kila aina ikiwemo rushwa, uuzaji wa rasiliamali za taifa kiholela, mikataba ya hovyo na pia watu watazidi kupotezwa wakipaza sauti kupinga mambo haya mwovu kwa taifa letu.
 
Hivi huyu mama ana legitimacy ya kuingia mkataba wowote na Malawi juu ya Ziwa Nyasa?
Anao uwezo wa kumobilize wananchi kupigana na Malawi kama wakileta chokochoko katika ziwa Nyasa?
 
Wewe ni muathorika wa anal abuse uliyofanyiwa utotoni tafuta msaada wa mwanasaikolojia atakusaidia sana
Kama unamtuhumu Tundulisu kuwa ni member wa ushoga basi kama wewe sio shoga Tuonyeshe marinda yako tafadhar usilete maneno mingi
 
Kama unamtuhumu Tundulisu kuwa ni member wa ushoga basi kama wewe sio shoga Tuonyeshe marinda yako tafadhar usilete maneno mingi
Wapo madaktari pale mirembe watakusaidia sana ...inaeleweka hukuwa na namna ya kupambana na aliyekuzidi umri
 
aondoke jamani hatujamchagua na hatumtaki mlio karibu nae mwambie ni aondoke ikulu
 
Kauli ya mbiu ya kikundi cha mtandao "Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania"
 

Attachments

  • The Shadow President and Force Steering Tanzania.mp4
    51.7 MB
Maza katuganda balaa sjui tunachomokaje huku mtaani hali si hali kabisa
 
Pia sehemu kubwa ya rasilimali za nchi zitatumika tu kuhonga wakuu wa vyombo ili wasimbadilikie lakini pia mtu anayejua hammpendi na anasimamia rasilimali zenu msitegemee atawaletea maendeleo yoyote maana hata yeye anajua kuwa hapendwi so mwisho wa siku atakachokifanya ni kupora rasilimali za nchi kwa manufaa yake mwenyewe na watu au makundi anayohisi yanampa faraja.

Jambo la muhimu kwa faida ya taifa ni kumweka pembeni, hakuna zaidi ya hilo.
 
Pia sehemu kubwa ya rasilimali za nchi zitatumika tu kuhonga wakuu wa vyombo ili wasimbadilikie lakini pia mtu anayejua hammpendi na anasimamia rasilimali zenu msitegemee atawaletea maendeleo yoyote maana hata yeye anajua kuwa hapendwi so mwisho wa siku atakachokifanya ni kupora rasilimali za nchi kwa manufaa yake mwenyewe na watu au makundi anayohisi yanampa faraja.

Jambo la muhimu kwa faida ya taifa ni kumweka pembeni, hakuna zaidi ya hilo.
Point.
 
Hivi huyu mama ana [R]legitimacy ya kuingia mkataba wowote na Malawi juu ya Ziwa Nyasa?[/R]
Anao uwezo wa [Y]kumobilize wananchi kupigana na Malawi kama wakileta chokochoko katika ziwa Nyasa?[/Y]
This is gangsters government, it has no legitimacy to enter any state contract for the public benefits and any contractual agreement that will be signed by this government is for benefits of very few individuals.

If malawian government is smart can take advantage of this systematic inadequacy to reclaim the whole of Nyasa water body.

Hilo la kumobilize wanaichi wasaidiane na jeshi dhidi ya adui ndio hasau kabisa, sana sana sisi wanainchi ndio tutasaidizana na maadui kuishambulia serikali hii haramu.

Yaani leo hata M23 wakija hapa nchini wakaonesha nia ya kuiondoa kabisa serikali hii ya shetwan Samiya sio tu tutawaoneasha wapi pakushambulia, bali tutawapa mpaka hifadhi na chakula, kama ambavyo waganda walikuwa wanawapa chakula mashujaa wetu kipindi wanamuondoa Nduli huko Uganda.

Huwezi kutengeneza chuki na raia wanaongoza halafu ukategemea kuwa salama, madikteta wenye akili huwa wanatafuta upendo kwanza kwa raia wao hata kwa manipulation hili iwe rahisi hata wanainchi wakw kusiamama na yeye kwenye hali ngumu...

...sasa huyu kilaza wa KUZIMU-kazi ameumiza familia zetu na wala hajali, anategemea jeshi la akina Mkundu na Mafwele ndio linampa usalama kwa miaka yote mitano, ngoja tumuone.
 
Back
Top Bottom