Serikali isitishe hili zoezi la bomoabomoa

Serikali isitishe hili zoezi la bomoabomoa

watu mbona mnajisahaulisha?.kwani kuhusu kutojenga maeneo hatari kama hayo imeanza kusemwa Rais alivyoingia madarakani? shida ni ubishi wa sisi wananchi na serikali kuwachekelea, then maafa yakitokea serikali ndio inalalamikiwa,..sasa imagine kama El-Nino ingeshuka, mnafikiri wange-survive?!..zoezi liendelee kwa maeneo yote nchini ambayo yamejengwa pale ambapo hapakustahili kujengwa
 
Tunapaswa kutiii sheria Bila SHURUTI haiwezekani wala haifai kujenga nyumba sehemu ambazo haziruhusiwi au sehemu ambazo ni hatari kwa usalama wetu; Elimu imeshatolewa sana ila sisi wananchi tumekuwa wabishi na wakaidi, sasa tusilaumu mamlaka inapotekeleza jukumu lake
 
Si Mlijifanya Kumuunga Mkono Yule Mpuuzi Wenu Sasa Mtaisoma Namba KISAWASAWA Hadi MTANYOOKA Tu. Na Bahati Nzuri Hata SHERIA Itawamaliza Tu Hivyo TIINI Tu Maamuzi Ya MAMLAKA au Kama Vipi Mwambieni Huyo Mtu Wenu Kuwa Hizo HELA au Hiyo Bajeti Anayotaka Kuitumia Kuzunguka Nchi Nzima Kuwashukuru NYUMBU Angeimega Tu Kidogo Ili Awapeni Mjenge Nyumba ILA Kwa Upande Wetu Mziki Ni Ule Ule Tu Wa HAPA KAZI TU!
wewe nyau nyamaza tu nendeni kubadili katiba yenu mchague viongozi wa milele tuache na tanzania yetu ujue nyie wanyarwanda wajinaga sana.
 
Haya maswali serikali huwa inakwepa kujibu.Sijawahi kuona yakijibiwa.Nalirudia tena;hivi serikali inakuwa wapi hadi watu wanajenga maeneo yasiyoruhusiwa?kwa nini mnasubiri kuwatia watu hasara badala ya kuwazuia kabla?kwa nini watu wanajenga maeneo hatarishi?miundombinu ya maji na umeme imefikaje huko kama ni makazi haramu?
 
Tatizo ni kwamba watu wa dar tunajifanya tunajua kila kitu.serikali imeshatoa onyo mara kadhaa wanaishi maeneo ya mabondeni muhame.sheria iko wazi wale mliovamia maeneo ya wazi muhame na mlishapewa notes .ila kwa ujeuri na kiburi chenu mkakaidi .sasa wacha yawafike .serikali hii si goigoi kama mlivyozoea miaka ya nyuma
 
Kama kweli tunataka kuishi kwenye dunia ya ustaarabu, kwenye miji iliyopangiliwa nk ni wazi inatubidi kuondoa vizuizi vya ustaarabu na kuondoa waliozuia hiyo mipanglio. Kwa maana hiyo bomoa bomoa ni lazima na kama ingelifanyika au kusimamiwa tangia enzi za Mzee Mwinyi (awamu ya pili) waathirika wangelikuwa ni chini ya 15% lakini sababu ya kulea lea hili tatizo leo hii waathirika wanaweza kuwa zaidi ya 75%.
Kibaya zaidi linatugusa wengi maana hata anayeishi palipopimwa jamaa zake wanaishi pasipopimwa!
 
Beware of the way you consider yourself someone in the ruling class, hakuna dhuluma inayochekesha.

Believe me ignorant boy, mkurugenzi wa manispaa ya nyumba zinakovunjwa was once proud than you feel now.

Kwa namna yako ya maongezi, you are nothing more a stupid pathetic fool on the street, nyumba hazivunjwi sbb ya watu kuunga mkono upinzani, zilipaswa kuvunjwa long time ago ila wewe kwa upumbavu wako unaona ni wkt wa kuchochea hisia mbaya kwenye mioyo ya watu.

Umelelewa vibaya sana wewe

Huyu jamaa inatakiwa atafutwe tu hakuna namna,ni mchochezi hatar sana na anajifanya Mtanzania, Ebu check coment yake hapa chin kuusu Burundi:_


Burundi Wamalize Mambo Yao Wenyewe Na Kamwe Wasituhusishe Sisi WANYARWANDA Kwa UPUUZI Wao. Kila Taifa Lililopo Tu Karibu Na Rwanda Likikumbwa Na Matatizo Lawama Zao Ni Kwetu Tu. Tena Wakome! Mbona Hayo MATAIFA Wanavyokuja Kuwatorosha Na Kuwaoa Wanawake Wetu Wa KINYARWANDA Huwa Hawatusifii Kuwa Tuna WANAWAKE Warembo Na Wenye Akili Za KUTUKUKA? Tangia Lini MHUTU Akawa Na Uwezo Wa Kuongoza? Waburundi Haya Yanayowatokeeni Mmeyataka Wenyewe Kwani Mngechagua Viongozi Wa KITUTSI Tokea Zamani Leo Mngekuwa Mbali Kama Sisi Jirani Zenu WANYARWANDA. Na Mkizidi Kutuchokonoa Tutawafyekeni Tena Halafu Mkimbilie Huko Tanzania MUTABIRA Camp Mkajipange Upya. Tangia Lini Mpiga DILI Mitaa Ya Msasani Enzi Hizo Pierre Nkuruzinza Akawa Rais Na Nchi Ikaenda? Wahutu Ndiyo Mlitusababishia Matatizo Ya KIMBARI Ya 1994 Na Tuna MACHUNGU Mazito Na Makubwa Na Nyie.
 
Sheria ni msumeno.ukifanya makosa inatumika sheria!
Wananchi wengi,hufikiri sheria ni kwa watumishi tu,kumbe hata kwa mwananchi wa kawaida anatakiwa kufuata kanuni,sheria na taratibu!
Ushauri:Serikali ihakikishe sheria za mipango miji zinafuatwa na Mamlaka za miji na majiji.
Wananchi wajulishwr kuwa unapoishi mjini lazima wafuate taratibu za ujenzi(kuomba vibali vya ujenzi).
Na suala la upimaji viwanja liondolewe kwenye Halmashauri kwani kila siku wanadai hakuna fedha ya upimaji viwanja.Badala yake iundwe AGENCY Y A ARDHI ili kuondoa siasa na ukiritimba wa madiwani na watendaji wa Halmashauri.!
 
Watanzania bwana
Mlimuona Jk ----- sasa mmepata Kamanda Wa kweli
 
Bahati mbaya sana wakati Tanzania inasherehekea miaka 54 ya uhuru , ardhi iliyopimwa hadi leo hii ni asilimia 10 pekeyake .
kwa lugha nyingie 90% ya ardhi yetu ni makazi holela.Matokeo yake ndiyo kama hivi. Iwapo tutaendelea kwa mtindo huu itatuchukua miaka 540 ili kukamilisha nchi yote. Yaani hadi mwaka 2555.
Serikali ihusishe sekta binafsi katika zoezi la upimaji ili kuondoa kadhia ii
 
Si waliwapigia kura ukawa wezi, ccm ya sasa hapindishi sheria, pole zao.

Sidhani kama Mh. Magufuli atafurahia ushabiki wa aina hii ilhali yeye angependa kuonekana kuwa anawajibika kwa wananchi wote kwa HAKI. Hebu basi tafuta kauli muruwa za kumuunga mkono Mh. Rais.
 
Beware of the way you consider yourself someone in the ruling class, hakuna dhuluma inayochekesha.

Believe me ignorant boy, mkurugenzi wa manispaa ya nyumba zinakovunjwa was once proud than you feel now.

Kwa namna yako ya maongezi, you are nothing more a stupid pathetic fool on the street, nyumba hazivunjwi sbb ya watu kuunga mkono upinzani, zilipaswa kuvunjwa long time ago ila wewe kwa upumbavu wako unaona ni wkt wa kuchochea hisia mbaya kwenye mioyo ya watu.

Umelelewa vibaya sana wewe

ID Yako Inanizuia Mimi Kubishana au Kujibizana Na Wewe Kwani Inaonekana Dhahiri Kuwa Ulitokea Ule Mlango Mwingine Baada Ya Wa Mbeleni Kujazana Pori La IHEFU Lililoziba Njia.
 
Cjakuelewa unataka kutuaminisha kuwa utawala wa magufuri ni wakulipa kisasi kwa wale wasio mpigia kura??????? Usimtwishe dhambi magufuri si mtu wa mawazo kama yako, madhan usiaminishe watu hisia zako potofu.

Ukitaka Kumuua Nyani.................................Malizia Hapo Mwenyewe POPOMA Weye!
 
Tunapaswa kutiii sheria Bila SHURUTI haiwezekani wala haifai kujenga nyumba sehemu ambazo haziruhusiwi au sehemu ambazo ni hatari kwa usalama wetu; Elimu imeshatolewa sana ila sisi wananchi tumekuwa wabishi na wakaidi, sasa tusilaumu mamlaka inapotekeleza jukumu lake

Imethibitishwa pasipo shaka kuwa hakuna sehemu ambayo ni salama kuishi hapa duniani.

Kama hamna akili ya kupambana na vimaji vya mvua mnawezaje kujidai kuwa mna akili mbele ya jamii ya walimwengu??!

hivi ingekuwaje kama mngekumbana na maporomoko ya theluji ambayo huua watu wengi wala vimafuriko vyenu havina nafasi ya kunyima habari nyingine kwenye vyombo vya habari kutokana na wepesi wake.

TATIZO NAMBA MOJA LINALOTUKABILI KAMA TAIFA NI UCHUMI MBOVU.

BEI YA MAFUTA GHAFI IMESHUKA SANA HADI KUFIKA $ 34.4 LAKINI SISI TUNAUZIWA MAFUTA KWA BEI INAKARIBIANA KAMA SII KULINALINGANA NA WAKATI MAFUTA YAKIUZWA $ 100.

MNATUAMBUKIZA UJINGA.
 
Nchi nyingi zina ujenzi holela... Mfano SA...lakini busara ni muhimu kwenye kusafisha jiji
 
AISEE NIMEANGALIA JANA kwenye taarifa ya habari ya saa mbili, INATIA HURUMA KWAKWELI
 
Back
Top Bottom