Serikali isipochukua hatua juu ya Makanisa kuna siku yatatokea ya Shinzo Abe

Kama wamekubali kuamini wenyewe hakuna shida kabisa wajipige na kibiriti kabisa, kupunguza msongamano watoto wapate madawati ya kutosha.
 
Haya mambo ni magumu sana kwa serikali kuingilia inayodhaniwa ni imani ya mtu binafsi, Tatizo linakuja kwamba, unamkataza huyo mchungaji au nabii feki asiabudu kwa mfumo huo unaouona wewe haufai, atakuuliza ni mfumo gani wa imani unatakiwa kufuatwa?
Hakuna ugumu wowote na hakuna mtu anazuia watu kuwa waumini wa dhehebu lolote. Tunachotaka serikali ifanye ni kudhibiti utapeli. Tunaitaka serikali iwadhibiti hao mitume kujinufaisha Kupitia Hao waumini wao. Serikali iweke ukomo wa matoleo na hata km mtumishi anataka kujenga Kanisa asichangishe bila kibali cha serikali. Hivi unajua hata ukiwa mgonjwa km unataka Msaada wa kuomba kuchangiwa na watu ni lazima upate kibali cha mkuu wa wilaya yako!?

Kama mgonjwa anaomba kibali, Kwa nini hawa wahuni wanachukua pesa za watu bila kuwekewa udhibiti!?
 
Ndugu yangu nimeupenda sana mchango wako, ila naomba nikusahihishe jambo moja, Serikali haiwezi kuingilia mifumo ya uendeshaji wa ibada iwe kanisani au msikitini. Kuingilia mfumo ni sawa na kumfundika mhusika afanye unavyotaka. Hakuna anayeshikiwa mtutu ili atoe sadaka, labda ungesema serikali ishughulike na wale wasio na vibali vya kuendesha nyumba za ibada.
 
The most stupid creatures are found in the third world countries. They believe in order to understand rather than to understand in order to believe.
 
Buddy, If you approach an open dialogue as a Christian/Muslim, don't ask someone a question nor judge that assumes there's a singular God. That's your belief, but someone who practices Hinduism believes in many gods.
 
Wanajamvi
Salaam,

Nchi yetu haina Dini na kila mtu ana uhuru wa kuabudu dini yoyote kama tu havunji sheria. Yaani Kwa Tanzania ukisajili taasisi ya dini, hata ukiwalisha waumini wako mijusi hakuna shida Kwa sababu ni uhuru wao.

Ukiangalia nchi yetu Kwa sasa ina utitiri wa Makanisa ya kiroho, ambayo yanashindana kufanya kile wanachoita miujiza ili kuvutia watu.

Ukifanya uchunguzi hata kidogo tu, utabaini kwamba ile inayoitwa miujiza ni utapeli wa wazi. Wale wanaotumika kutoa ushuhuda ni watu ambao wanapangwa Kwa ustadi na wanalipwa pesa na viongozi wa hayo Makanisa.

Karibu Makanisa yote Haya yanayojiita ya kiroho, yana lengo moja tu la kukusanya pesa kutoka Kwa watu masikini na wale wa daraja la kati. Watu wanafilisika Sana Kwa kutoa kila kitu kuwapelekea hao watumishi wa Mungu ambao kwangu mm ni matapeli.

Kule Japan kilichomkuta waziri mkuu wa zamani Shinzo abe ni matokeo ya dhuruma za watumishi wa Mungu. Shinzo abe Kwa kushirikiana na jamaa zake walikuwa na dhehebu kiroho, kijana aliyempiga risasi alimpiga risasi Kwa sababu, mama wa huyo kijana alikuwa muumini wa Kanisa lao ambaye alichukua pesa zote na kupeleka katika dhehebu la kina Shinzo Abe.

Baada ya kufilisika na familia kuanza Kupitia dhiki, Yule kijana akajawa na Hasira akaanza kujitengenezea bunduki yake ambayo Ndo alikuja kumwadhibu nayo Shinzo abe.

Nakushauri serikali ichukue hatua Kwa Haya Makanisa. Kwanza ifanye research kuthibitisha hiki ninachokiandika hapa. Serikali inaweza isiyafungie Lkn iweke ukomo wa waumini kutoa pesa kanisani.

Kama mchungaji anataka kujenga Kanisa apeleke mchoro serikalini na serikali ielekeze jinsi ya kuwachangisha waumini wake. Ni ujinga tena wa hatari kuendelea kuwaacha hawa matapeli wakiendelea kupora pesa za wanyonge.

Watu wana matatizo mengi sana ya kisaikolojia, na wachungaji wanatumia udhaifu huo kuwachukulia hata akiba zao za kujikimu. Magufuli alisema hakuna uhuru usio ni mipaka. Uchunguzi wa bbc umeonyesha hata marehemu Tb Joshua alikuwa mbakaji na tapeli.

Serikali imeweka sheria nyingi tu za kukusanya kodi, kodi ambayo kimsingi inawarudia wananchi Kwa kufanyia shughuli za maendeleo. Kwa nini serikali iache hizi pesa zichukuliwe tu na hawa wahuni Kwa kigezo cha dini!? Kama lengo lao ni kuwasaidia watu kuacha dhambi na wao ni watu wa Mungu hizo pesa wanazotumia kufanya anasa ni za nini!? Serikali chukueni hatua haraka.

Nawasilisha.
08/01/2024.

Yuko wapi panya mwenye uthubutu wa kumfunga paka kengele? Mbona baadhi ya wanaofanya haya mazingaombwe wako mbele mbele kuwabariki wanaotafuta miujiza na mambo mengine?
 
Ukiona mtu anadanganya watu kuwa anafufua wafu, na serikali inakaa kimya unategemea nini?

Acha dose nikuombee utapona, huo sio upuuzi?

Ni kwa nini serikali isimchukulie hatua huyo mtu?
Mambo ya kiroho haya kufufua watu ni agizo la Yesu sio wao.
Mbona hata waganga wanaouwezo wa kufufua mtu sembuse watu wa Mungu ni ishu za sayansi ya kiroho tu.
Zipo aina nyingi za vifo
 
Haya mambo ni magumu sana kwa serikali kuingilia inayodhaniwa ni imani ya mtu binafsi, Tatizo linakuja kwamba, unamkataza huyo mchungaji au nabii feki asiabudu kwa mfumo huo unaouona wewe haufai, atakuuliza ni mfumo gani wa imani unatakiwa kufuatwa? 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
Wakati huo huo waganga wa kienyeji ndio uwaweka viongozi bungeni
 
Kama wanafanya unyanyasaji na utapeli wa wazi kwanini serikali inakaa kimya? Ukiona mtu anaibiwa hicho kidogo alichonacho , je huwezi kumsaidia kwa kumkamata huyo mwizi ?
Kama katoa kwa hiari yake wizi unatoka wapi
 
Mitume na manabii wa uongo na viongozi wa serikali boss wao ni mmoja malkia wa kuzimu au malikia wa pwani akae kwenye dimbwi la damu kuzimu ndogo members wananielewa ambae ukutana nae kila alhamisi usiku chini ya bahari wakiwa na wasanii wakubwa plus waganga
So wote ni serikali moja chini ya missioni Moja.
 
Wanajamvi
Salaam,

Nchi yetu haina Dini na kila mtu ana uhuru wa kuabudu dini yoyote kama tu havunji sheria. Yaani Kwa Tanzania ukisajili taasisi ya dini, hata ukiwalisha waumini wako mijusi hakuna shida Kwa sababu ni uhuru wao.

Ukiangalia nchi yetu Kwa sasa ina utitiri wa Makanisa ya kiroho, ambayo yanashindana kufanya kile wanachoita miujiza ili kuvutia watu.

Ukifanya uchunguzi hata kidogo tu, utabaini kwamba ile inayoitwa miujiza ni utapeli wa wazi. Wale wanaotumika kutoa ushuhuda ni watu ambao wanapangwa Kwa ustadi na wanalipwa pesa na viongozi wa hayo Makanisa.

Karibu Makanisa yote Haya yanayojiita ya kiroho, yana lengo moja tu la kukusanya pesa kutoka Kwa watu masikini na wale wa daraja la kati. Watu wanafilisika Sana Kwa kutoa kila kitu kuwapelekea hao watumishi wa Mungu ambao kwangu mm ni matapeli.

Kule Japan kilichomkuta waziri mkuu wa zamani Shinzo abe ni matokeo ya dhuruma za watumishi wa Mungu. Shinzo abe Kwa kushirikiana na jamaa zake walikuwa na dhehebu kiroho, kijana aliyempiga risasi alimpiga risasi Kwa sababu, mama wa huyo kijana alikuwa muumini wa Kanisa lao ambaye alichukua pesa zote na kupeleka katika dhehebu la kina Shinzo Abe.

Baada ya kufilisika na familia kuanza Kupitia dhiki, Yule kijana akajawa na Hasira akaanza kujitengenezea bunduki yake ambayo Ndo alikuja kumwadhibu nayo Shinzo abe.

Nakushauri serikali ichukue hatua Kwa Haya Makanisa. Kwanza ifanye research kuthibitisha hiki ninachokiandika hapa. Serikali inaweza isiyafungie Lkn iweke ukomo wa waumini kutoa pesa kanisani.

Kama mchungaji anataka kujenga Kanisa apeleke mchoro serikalini na serikali ielekeze jinsi ya kuwachangisha waumini wake. Ni ujinga tena wa hatari kuendelea kuwaacha hawa matapeli wakiendelea kupora pesa za wanyonge.

Watu wana matatizo mengi sana ya kisaikolojia, na wachungaji wanatumia udhaifu huo kuwachukulia hata akiba zao za kujikimu. Magufuli alisema hakuna uhuru usio ni mipaka. Uchunguzi wa bbc umeonyesha hata marehemu Tb Joshua alikuwa mbakaji na tapeli.

Serikali imeweka sheria nyingi tu za kukusanya kodi, kodi ambayo kimsingi inawarudia wananchi Kwa kufanyia shughuli za maendeleo. Kwa nini serikali iache hizi pesa zichukuliwe tu na hawa wahuni Kwa kigezo cha dini!? Kama lengo lao ni kuwasaidia watu kuacha dhambi na wao ni watu wa Mungu hizo pesa wanazotumia kufanya anasa ni za nini!? Serikali chukueni hatua haraka.

Nawasilisha.
08/01/2024.
da!! udongo wa buza wanasema umetoka ISRAIL,kijiko shilingi 1000,kumwona daktari pale muhimbili shilingi elf 20,lakini kumwona nabii flan chap kwa haraka shilingi 300,000{kuhani]
 
Hivi karibuni kuna manabii kadhaa wamechezea shaba
Huko South africa na juzi juzi tu huko Uganda kuna mtu kachezea

Ova
Mpaka kitakapotokea hapa nchini Labda Ndo watakuja kushtukia huu utapeli.
 
Back
Top Bottom