Serikali ipo tayari kununua Mashangingi kwa bilioni 190 ila mabasi ya Mwendokasi hela hawana

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,167
11,220
Hii nchi ndio mjue kila kiongozi anaangalia maslahi yake hakuna mtu serious wa kuangalia naslahi ya mtu.

Mtu anapitisha bajeti kununua Ma V8 kwaajili ya kiongozi mmoja mmoja halafu yapo magari mazima wanayaharibu makusudi yanakuja kuuzwa mnada kwa milioni 8 ili zinunuliwe mpya!

Ila Mwendokasi hela ya kununua gari mpya hawana! Aloo hii nchi!

==

Pia soma:

Serikali kutumia Tsh. Bilioni 190.57 kununua V8 mpya za Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Ujenzi wa Makazi na Utawala

Waziri Mchengerwa: Nilipewa bajeti ya dola laki 5 ili kununua basi moja la mwendokasi
 
Naona baada ya spanner kuzidi wameona aibu sasa kutuliza upepo wanaona waseme uongo kitu ambacho hawawezi kukifanya.
Screenshot_20240417_174527_X.jpg
 
Back
Top Bottom