Serikali ipige marufuku matamasha ya fiesta

uliyoongea ni kweli, ilq hilo haliwezekani!!
Kama ndio hivo waambie wafunge na club zote mijini
 
Naona kuna vita kati ya wapenda burudani na wacha Mungu, kwa upande wangu naona burudani ni sehemu ya maisha,bila burudani tungekua vichaa na maisha yenyee haya yalivo magumu,
Mbona makanisani kuna mikesha?? Kumbuka wakati wewe unapata raha mkeshani kuna mwenzio anapata raha disco msiforce tufanane kila mtu alikuja duniani kivyake[emoji41]samahani lakini[emoji120][emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kaa mbali na huyu kijana, ewe pepo mchafu
 
*SERIKALI IPIGE MARUFUKU MATAMASHA YA FIESTA NA MATAMASHA MENGINE YOTE YANAYOZIDI KUMOMONYOA MAADILI YA VIJANA WA KITANZANIA KWA KUENEZA, KUHALARISHA NA KURASIMISHA UHUNI NCHINI*

Na Emphraim Makamba

Kwa hakika Muheshimiwa angejua mambo ambayo huwa yanatokea kwenye matamasha ya Fiesta, ninaamini angeomba siku zirudi nyuma ili abadilishe maneno yake aliyoyaongea kwenye mkutano wake na waandishi wa habari ikulu.

SABABU kuu ya mimi kuandika waraka huu ni hofu kubwa inayo niandama baada ya kuona matamasha haya yameachiwa kuendelea kutamalaki nchi nzima kwa kuvuka mipaka ya majiji na sasa kuanza kuzitafuna mpaka halmashauri za miji midogo midogo ya Tanzania. Kwa hakika majiji kama Dar es salaam, Mwanza, Arusha na Mbeya, mambo ya kihuni na ya hovyo hovyo imekuwa sasa ni kama moja ya mambo muhimu katika maisha ya watu wahuni ila sasa ninapoona uhuni huu unapelekwa mpaka vijijini siwezi kuendelea kuwa mnafki na kunyamaza kimya. Ninaomba mnisaidie kupaza sauti yangu iwafikie wale wenye mamlaka waliopo kule juu.

Fiesta ni tamasha kubwa la KIHUNI nchini. Mahali popote ambapo tamasha hili linapokuwa likifanyika ni wazi kabisa mambo mbali mbali ya kihuni huwa yanakuwa yakifanyika sambamba na tamasha hilo kabla, wakati na baada ya tamasha.

NUSU UCHI ndio namna ya kuvaa mavazi kwa dada zetu na binti zetu wakati tamasha hili linapofanyika. UKAHABA na UFUSKA ndio mahala pake na hufanyika wazi wazi katika viwanja hivyo na biashara ya ukahaba na madawa ya kulevya hufanyika kupendezesha matamasha haya. Wasanii wanaoimba MATUSI MATUSI katika nyimbo zao ndio hupata nafasi kubwa ya kusherehesha matamasha haya na husafirishwa kwenda kusambaza UCHAFU huo mpaka mikoa ambayo haina hatia na uchafu wa mijini. Fiesta Rukwa, Tabora, Singida, Lindi, Manyara na mikoa midogo midogo mingi mpaka kufikia hali ya kusikitisha sana. Wasanii kama Snura wa chura, ManFongo wa hainaga ushemeji, Shilore na Kanga moko na wasanii wengine wengi wanaosifika kwa mashairi ya kihuni kihuni na kutumbwiza kwa kucheza nusu uchi ndio hupata nafasi kubwa sana ya kusafiri kwenda kusambaza huu UPUUZI katika mikoa yote midogo midogo nchini.

Mwaka 2005 baada ya Rais wa awamu ya nne ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete kuingia madarakani kwa mara ya kwanza kama mkuu wa nchi, nilipata nafasi ya kukutana na Chief of Staff kwa chakula cha mchana na alitaka kujua nini maoni yangu kuhusu swala la vijana hasa hasa nyanja za utamaduni na maadili. Tuliongea mengi ila nilimwambia kitu kimoja ambacho nilimuomba akichukue kama dira. Nilimwambia kwamba:

*Erick Shigongo* na *Joseph Kusaga* ni vijana wawili nchini wanaotakiwa kudhibitiwa haraka sana kupitia vyombo vyao vya habari vya Global Publishers Limited na Clouds Media Group kabla ya janga kuu la mmomonyoko wa maadili utakaoikumba taifa hili na isipatikane tiba ya haraka kwa muda mrefu. Wote tumeshuhudia namna magazeti ya udaku ya Global publishers yanavyoharibu kwa kasi jamii yetu. Wote tumeshuhudia na tunaendelea kuwa mashahidi wa namna jinsi CLOUDS MEDIA GROUP kupitia vyombo vyake vya habari vya Clouds Fm na Clouds TV vinavyojitahidi kila siku kubomoa kizazi hiki cha vijana wetu wa kitanzania kwa namna mbali mbali mpaka kufikia kuanza kuhamasisha USHOGA kwa kufanya mahojiano na shoga kupitia televisheni hiyo ambayo vijana wengi wanaiangalia na kuipenda. Juhudi na ushauri wangu uligonga mwamba baada ya kuona mkuu ndio kwanza anashikamana na hawa ambao kwangu mimi ninawaita Prime Suspects wa chanzo kikubwa cha kasi ya mmomonyoko wa maadili ya vijana wetu hapa nchini.

Wito wangu kwa serikali ni kwamba, *IT IS NOW OR NEVER* Kama tunataka kuokoa taifa hili la vijana wetu basi tuchukue hatua sasa lasivyo ifafikia mahali tutashindwa kuzuia upuuzi huu kama vile ilivyo kwa mataifa mengi ambayo ni wahanga wa upuuzi huu. Wazazi tutajitahidi kadri ya uwezo wetu kuwatunza na kuwalea vijana wetu katika maadili safi na bora ya kumcha mwenyezi Mungu lakini pia serikali nayo itusaidie kwa maswala ya kiujumla. Tusikubali UHUNI kuwa sehemu ya utamaduni wetu.

_Mungu ibariki Tanzania, Mungu bariki vijana wetu wote nchini._
Kama mwenge wa Uhuru tu....
 
Umeandika Pumba kwa Fikra zenye Mashudu [emoji124] [emoji124]
 
Ulichokisema ni kwa hisani ya AKILI FUPI... Wengine sisi humu ni FIKRA PEVU

Ha ha haaa fikra pevu my .... na bado unani quote ei mie mwenye akili fupi zisizo kupita zako.

Lia ulie wivu tu umekujaa kea kuleta uzi huu, au unataka kukatiwa pesa zinazoingia sema tu, omba omba utapewa piga kelele lia

Mfwyuuuuu
 
INA UWEZO YA KUPIGA MARUFUKU BUNGE LIVE NA MIKUTANO YA WAPINZANI LKN SIO KWA UPUMBAVU HUO
 
Mleta mada uko sahihi kabisa, tunaua taifa kwa kujenga kizazi cha watoto wahuni wasio na maadili. Humo humo utegemee upate vijana wanaojielewa na wasomi kwa ajili ya kufikiri kuhusu maendeleo ya taifa. Ni vizuri serikali ikaangalia namna inavyoweza kulinda maadili ya vijana kwa ajili ya kizazi cha kesho
 
Mada yako ina maana kubwa sana lakini fahamu kwamba "It is too late". Isitoshe fiesta inafanyika mara moja tu kwa mwaka, na hao vijana unaowazungumzia walishaharibika siku nyingi sana kabla hata ya fiesta kuja. Labda ungesema serikali ipige marufuku mitandao yote ya kijamii yenye uchafu na websites zote zenye maudhui machafu, labda ingesaidia kidogo.
Kwa mtazamo wangu mimi, hakuna Serikali duniani inayoweza kulinda maadili ya vijana wake na ikafanikiwa kwa 100%. Serikali pekee itakayoweza kusimamia maadili duniani ni Serikali moja tu ya Baba MUNGU itakayoongozwa na mwanawe mpendwa Bwana YESU KRISTO.
Cha kufanya sasa hivi kama una watoto, basi wafundishe maadili mema ili na wao wasijeharibika kama hao uliowaona huko kwenye fiesta. By the way, wewe ulifuata nini huko kwenye Fiesta???
 
Aliyeandika hii makala ni mpumbavu anacheza na biashara ya watu.

Namshauri hapo kwenye fiesta afute aweke "mwenge"
 
Hata mwalimu nyerere alisema ubunifu ni ule wenye tija kwa jamii sio ubunifu wa kuisambaratisha jamii. Fiesta inasambaratisha maadili ya vijana wa kitanzania.
Yani unataka kusema watu labda wa Igunga walikua ni watakatifu kama bikira maria ila baada ya fiesta kufika hapo kwao ndiyo wamekua wahuni??

How old are you ?
 
Ha ha haaa fikra pevu my .... na bado unani quote ei mie mwenye akili fupi zisizo kupita zako.

Lia ulie wivu tu umekujaa kea kuleta uzi huu, au unataka kukatiwa pesa zinazoingia sema tu, omba omba utapewa piga kelele lia

Mfwyuuuuu
Sitaki uongee na mimi tena.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
kufutwa ndo solution mkuu au elimu is more important?

Mkuu naona hoja ya mleta mada ni sahihi...inatakiwa iundwe tume ya kijasusi ichunguze haya matamasha walete evidence ya videos na audios ya kinachofanyika humo..

Pia whatever the case,kwa walio na watoto teenagers hasa wa kike,aisee haya matamasha na media za Shigongo na Clouds hazifai kabisa....kwa wote wenye watoto,kwa uchungu uliopo wa malezi haya matamasha na hizi media ni za kufuta kabisa...

Zimeharibu akili za watoto 100%,kila mtoto anaabudu hawa watu na haya matamasha,hii ni hatari,mind control ni kubwa
 
Back
Top Bottom