Kila mtu anasema Dodoma shida, lakini hamsemi shida gani. Acheni kuishi kwa mazoea. Mikoa mingi iko vizuri sana kuliko Dar. Ni kutofahamu tu. Hakuna mkoa wenye standard ya chini ya maisha kwa sasa kama Dar.Thread Ya Ajabu Sana Hii
Yaani Inachoma Kama Pasi Ya Mkaa, Nimesoma Ujumbe Wake Na Michango Ya Wadau Ukweli Mtupu.
Dodoma Ni Shida, Ganda La Muwa La Jana Chungu Kaona Kivuno.
Kinachonisikitisha ni kuoana hata MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU naye ametudanganya. Mwanzo alisema hahamii mpaka mamake apone. Ghafla tukaona mapicha picha kuwa amehamia huko. Jioni hiyo hiyo tayari yuko Dar. Jamani mbona mnachosha kwa mbwe mbwe zisizokuwa na mashiko?Kila siku mambo muhimu ya kiserikali yanafanyika Dar es Salaam, lakini tumeambiwa na kutangaziwa kuwa serikali na bwana mkubwa Rais wamehamia rasmi Dodoma.
Mawaziri wanaapishiwa Dar
Mabalozi wanaapishiwa Dar
Mabalozi wa kigeni wanawasilisha hati zao za viapo Dar
Rais muda wote yupo Dar
Mkataba wa Barrick a.k.a Acacia na Serikali/Twiga umesainiwa Ikulu Dar
Makamu wa Rais muda wote yupo Dar
Jaji Mkuu na viongozi wa vyombo vya usalama muda wote wapo Dar
Waziri Zungu karipoti Dar kwa ofisi ya Makamu wa Rais
Waziri Jafo naye yupo Dar
Mimi naomba kueleweshwa Dodoma wamehamia kina nani? Ni serikali ipi imehamia Dodoma?
hii nchi inaaman, escape roots za nn?Hivyo nchi ambazo hazina bahari marais wao hawana escape route nyingine, sio?
Hayo maswali yanahitaji logical explanations? Kila kitu wanasiasa wali centralize Dar es Salaam kwa miaka mingi, tuseme toka Uhuru, zamani hata ukitaka results slip lazima uende Dar es salaam, ukitaka kazi lazima uende Dar, Hakuna kipya huo mji, Kama Dubai pia tumefika, ingekuwa ujinga Ku compare Dar es Salaam na Dubai, ukweli ni kwamba kwa watu wapumbavu wasiiona madhara ya Ku centralize economic and physical infrastructure sehemu moja ya nchi ndio hawataona umuhimu wa expand opportunities somewhere else, hakuna nchi duniani ina uchumi wa kati wana mji mmoja tu umeshikiria uchumi, ndio maana unaona influx ya watu Dar es salaam ni kubwa, sio kwa kupenda but the pooling factors are so strong, MTU umesoma utafute kazi wapi?Sawa lakin kwa Tanzania Daslama mwisho wa matatizo yan tusidanganyane kila kitu kikubwa kiko dar ? kwan sehemu gani hakuna squatters ? ...Lusaka sasa ndio kuna nini ? Yan Lusaka nayo ni yakuisema na Dubai utasemaje ? Mkuu sasa nkwambie kitu kweli tunaweza kuwa tunatokea bush na vitu kama ivyo ila tunajua miji mikubwa duniani, narudia tena Mangufuli akihamia dodoma nami nakuja, .. Maswali ya msingi Pamoja na joto lote na uchafu wote ulosema upo dar, kwanini mji kila siku watu wanaongezeka ? wanapenda huo uchafu na skuata ? kwanini ndio sehemu yenye watu wengi kuliko sehemu nyingine yoyote Tanzania ? dont take things personal mkuu Dar es Salaam kwa Tanzania Hakuna.....
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pole ndg, kwani nani hajui kuwa hao wako huko tangu awamu ya kwanza. Hata hivyo hao sio serikali.Ndugai na bunge wako Dodoma!
Hayo maswali yanahitaji logical explanations? Kila kitu wanasiasa wali centralize Dar es Salaam kwa miaka mingi, tuseme toka Uhuru, zamani hata ukitaka results slip lazima uende Dar es salaam, ukitaka kazi lazima uende Dar, Hakuna kipya huo mji, Kama Dubai pia tumefika, ingekuwa ujinga Ku compare Dar es Salaam na Dubai, ukweli ni kwamba kwa watu wapumbavu wasiiona madhara ya Ku centralize economic and physical infrastructure sehemu moja ya nchi ndio hawataona umuhimu wa expand opportunities somewhere else, hakuna nchi duniani ina uchumi wa kati wana mji mmoja tu umeshikiria uchumi, ndio maana unaona influx ya watu Dar es salaam ni kubwa, sio kwa kupenda but the pooling factors are so strong, MTU umesoma utafute kazi wapi?
But matter of fact is, huo sio mji ni takataka na mkusanyiko wa watu wengi just to survive. Any reasonable person anaeishi maeneo tofauti na masaki, oysterbay, mbezi beach, mikocheni and the likes hawezi furahi kuishi mji kama huo.
Jiji gani unanunua maji kwenye dumu? Once I got an opportunity to move out, I was delighted!!
Sawa, nimekuelewa, enjoy, uzuru hamna mtu amezuiwa kuishi hapo!Sasa kama unakaa tandale it has to be like that ? Me binafsi sinunuag maji kwa dumu kwanza kama hujui sehemu nyingi za Dar zinamaji toka ile project ya wachina ipite, sisi hatuhami na huko mlipo we will come, alafu kuhusu dubai naendaga pia kununua spea so sio ishue, I also have been to Sydney kwahiyo sio ishue yan hapa nasema ivi Dar huwez fananisha na mkoa wowote TZ, alafu unaongelea kinondoni tu mbona kuna sehemu zingine ilala na temeke zipo poa sana, wote hawawez kaa kinondoni mkuu, na mwisho wa siku ni hela tu ndio pull factor kubwa sasa unataka watu waende wapi ? dodoma hiyo apo mbona kina magufuli hawaji wamewatanguliza ninyi ? wake zenu wanatusumbua huku mjini you guys have to do something about it...Usipachukie dar hivyo mkuu sio poa, kwan we upo mkoa gani ? me Tanzania sijafika labda mikoa miwili tu so I have a glimpse of almost every region in Tanzania...we uko wapi ??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unaoneka mshamba tu ndio unaweza wake za watu wanakusumbua, who says that? Yani ulipotoka kwenu kijijini huko umesoma Dar umepata kazi basi bonge LA mjanja!Sasa kama unakaa tandale it has to be like that ? Me binafsi sinunuag maji kwa dumu kwanza kama hujui sehemu nyingi za Dar zinamaji toka ile project ya wachina ipite, sisi hatuhami na huko mlipo we will come, alafu kuhusu dubai naendaga pia kununua spea so sio ishue, I also have been to Sydney kwahiyo sio ishue yan hapa nasema ivi Dar huwez fananisha na mkoa wowote TZ, alafu unaongelea kinondoni tu mbona kuna sehemu zingine ilala na temeke zipo poa sana, wote hawawez kaa kinondoni mkuu, na mwisho wa siku ni hela tu ndio pull factor kubwa sasa unataka watu waende wapi ? dodoma hiyo apo mbona kina magufuli hawaji wamewatanguliza ninyi ? wake zenu wanatusumbua huku mjini you guys have to do something about it...Usipachukie dar hivyo mkuu sio poa, kwan we upo mkoa gani ? me Tanzania sijafika labda mikoa miwili tu so I have a glimpse of almost every region in Tanzania...we uko wapi ??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unaoneka mshamba tu ndio unaweza wake za watu wanakusumbua, who says that? Yani ulipotoka kwenu kijijini huko umesoma Dar umepata kazi basi bonge LA mjanja!
Sawa, nimekuelewa, enjoy, uzuru hamna mtu amezuiwa kuishi hapo!
hahaaha, haya bwana, may be you're right, shouldn't take this personal, what I can agree with you, Dar es Salaam holds a unique place in Tanzania, I guess no one can deny that fact.Ndio mana nimesema usichukulie vitu personal mkuu, me nasema ukweli we unaniatak na ushamba wangu, sawa wewe mjanja ila facts ni kwamba walikosea toka zamani ndio ikatokea dar kuwa superior, should that be my mistake ? I am not a politician wala sio afisa maendeleo jamii. Kwan nikiwa mshamba ninisema ukweli kuna tatizo ? Mkuu hata mimi mshamba naweza kukwambia wewe mjanja ukweli...Alafu kukubali ukweli na yenyewe ni ujanja...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unaoneka mshamba tu ndio unaweza wake za watu wanakusumbua, who says that? Yani ulipotoka kwenu kijijini huko umesoma Dar umepata kazi basi bonge LA mjanja!
hahaaha, haya bwana, may be you're right, shouldn't take this personal, what I can agree with you, Dar es Salaam holds a unique place in Tanzania, I guess no one can deny that fact.