- Thread starter
- #21
Na wewe kilaza mbila ni njaa tu inakutesa Sio kingine ila ole wako uthukumiwa kwa kiwango cha uelewa wako
Sijakuelewa! Kwa ulichokiandika tu bila shaka sio wa weledi unaolingana na mimi. Discuss issues ili uelewe sio kushambulia personalities. Unawajua watu wote wanaopita kwenye mitandao? au unafanya kwa mazoea!!!!