REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,252
- 11,480
Hizo tarifa ukienda masomoni upandi tadara ni porojo kwa sababu kinachoenda utumishi na hazina ni tarifa zako za kiutumishi ambazo zinatoka kwenye idara yako nakwenda kwa afisa utumishi nakuziwasilisha zinapoitajikaUkimaliza kusoma inabidi utumikie miaka 3 ili upande daraja. Labda jamaa kabla ya miaka 3 akachomoka kwenda shule aliporudi kabla ya mitatu akachomoka tena ongeza miaka ya uhakiki, ongeza miaka ya mapito 2014-2021
Binafsi nimeumia sana kwasababu ya kutopanda daraja kutokana na elimu yake lakini kuhusu nafasi yake katika kazi sijaona ubaya.
Labda nikupe mfano “ Nina mdogo wangu yupo ujerumani alipata chance kipindi cha Corona kutibu wagonjwa katika nchi ya ujerumani, yeye kajiongeze na kuendelea kujiendeleza kimasomo. Nikiwa nawasiliana nae ananiambia walimu wa awali katika nchi ya hiyo ni watu wenye elimu kubwa tu na tofauti na hapa Tanzania “
Binafsi natamani walimu wa awali wawe na elimu ya juu ili kuwapa knowledge kubwa vijana wetu.
Kuna watu wanaitwa TSC wana roho mbaya kuliko shetani na ndio wanaohusika na upandishaji vyeo kwa walimu. Wakiona tu barua ya release ya masomoni kwenye file wanakuweka pembeniHizo tarifa ukienda masomoni upandi tadara ni porojo kwa sababu kinachoenda utumishi na hazina ni tarifa zako za kiutumishi ambazo zinatoka kwenye idara yako nakwenda kwa afisa utumishi nakuziwasilisha zinapoitajika
Kwaiyo hata ukienda masomoni hawawezi kuchomoa kwa sababu upandishaji unazinfatia mwaka wako wa ajir mafano afisa utumishi anatumiwa tarifa tunaomba orodha ya watumishi walioajiliwa mwaka X so majina yote yanatumwa so hata ukienda masomoni daraja unapanda tu
Aisee inauma sana. Natamani kupata Academic History ya DED (Mwajiri wake), niilinganishe na huyu mtumishi. Kwa kweli jamaa anastahili sio tu pongezi na kufidiwa alivyopunjwa bali pia kwa uvumilivu mkubwa alionao. Hii fani ya Ualimu kwa kweli ni mateso mengi na hakuna msemaji wa kweli kwa sasa.Baada ya kuelezea 'scenario' ya jana rafiki yangu mmoja amenitafuta. Ni rafiki yangu wa muda mrefu, lakini sikuwahi kujua sana kuhusu upande wa pili wa maisha yake.
Yeye ni firstborn kwenye familia. Baba yake alifariki akiwa kidato cha 3, hivyo alipomaliza kidato cha 4 aliamua kusomea ualimu (grade III) ili asaidie wadogo zake. Pamoja na kufaulu vizuri lakini kwenda form five angeshindwa kulea wadogo zake.
Akasomea ualimu na kuhitimu. Akapangiwa shule ya kufundisha mkoani Arusha. Akaweza kujikimu na kusaidia wadogo zake kusoma. Baadae akaamua kujiendeleza kidato cha 5&6 kama Private Candidate. Akafanya mtihani na kupata division 2 ya points 10. Yani alama moja tu apatae division 1.
Akapata udahili chuo kikuu. Akaomba ruhusa kwa mwajiri wake akapewa. Akasoma shahada ya kwanza ya ualimu. Enzi hizo walimu wa shahada hawakua wengi kama sasa. Lakini aliporudi kwa mwajiri (DED) hakumpandisha daraja wala kumuongezea mshahara. Akaendelea kufundisha shule ya msingi na degree yake, kwa mshahara uleule wa mwalimu wa certificate.
Hakuvunjika moyo. Baada ya muda akajiunga tena chuo kikuu kusoma shahada ya uzamili ya usimamizi wa elimu (Master of Education - Planing &Administration). Akahitimu kwa ufaulu mzuri. Akarudi kwa mwajiri lakini hakumuongezea mshahara wala kumbadilisha daraja.
Wakati huo mambo ya uhakiki yalikua yakiendelea. Uhakiki ukamalizika lakini hakupandishwa daraja wala kuongezewa mshahara. Akaendelea kufundisha shule ya msingi kwa mshahara uleule wa "certificate" bila kujali elimu yake ya "masters degree"
Baadae akapata ufadhili chuo kimoja nje nchi, kusoma Stashahada ya uzamili ya Elimu maalumu (Postgraduate Diploma in Special Education). Akapewa ruhusa ya kwenda kusoma. Akahitimu na kurudi kwa mwajiri wake. Akarudishwa kulekule shule ya msingi, bila kubadilishwa daraja wala kuongezewa mshahara.
Kwahiyo nchi hii ina mwalimu wa shule ya msingi mwenye Certificate ya Ualimu, Bachelor Degree ya Ualimu, PGD ya elimu maalumu na Masters Degree ya usimamizi wa Elimu. Lakini serikali imeamua kumtumia kuimba "mabata madogo madogo" na watoto wa darasa la 3B. Just imagine.!
Halafu akipata kazi nje ya nchi mnasema si mzalendo. Au akipata kazi sekta binafsi akaondoka serikalini mnasema amekimbia sababu ya maslahi, mnaagiza akamatwe na huko alikoenda hiyo taasisi ifungiwe. Hivi serikali ikoje? Yani nyie mmeshindwa kumtumia na hamtaki wengine wamtumie. Roho ya kichawi hii.!
Mtu kama huyu alitakiwa awe mahali ambapo ataweza kutumia elimu, uzoefu na vipawa vyake kwa manufaa ya taifa, sio kufundisha MAGAZIJUTO darasa la 3B. Lakini amehangaika sana kupandishwa daraja bila mafanikio. Mbaya zaidi analipwa mshahara uleule kama mwalimu mwenye certificate.
Kinachoumiza zaidi ni analipwa mshahara wa cerificate halafu HESLB wanamkata 18% ya mshahara huo kufidia mkopo waliompa wakati akisoma Degree, wakati degree yenyewe haijamsaidia. Mlipeni basi mshahara wa degree ili mkimkata mkopo kuwe na logic. Sio mnamlipa mshahara wa certificate halafu manamkata mkoko wa degree. Ilogical.!
Naomba Mhe.Silinde Ernest David ulione hili na kulifanyia kazi ukiwa kama Naibu Waziri mwenye dhamana. Hali hii inavunja sana moyo watumishi. Mchukueni kijana huyu mtafutie mahali panapomfaa kulingana na elimu na uzoefu wake.
Kama mlikua hamtaki kutumia elimu yake kwanini mlikua mnampa ruhusa ya kwenda kusoma? Mmempa na mkopo ambao anateseka kuulipa lakini elimu aliyochukulia mkopo hamtaki kuitumia. Jamaa yuko very frustruted, kwa sababu ana familia inamtegemea na kipato hakitoshelezi. Tumuombee asije kufanya maamuzi magumu kama yule wa Pugu.
Mwalimu mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya 15, msomi Cert, BA, MA, PGD mmeshindwa kabisa kumtumia kwa tija? Mpelekeni basi hata vyuo vya kati akafundishe, na mumlipe kwa hadhi ya elimu yake. Kumuacha shule ya msingi ni matumizi mabaya ya rasilimali, na kuendelea kumlipa mshahara wa Certificate ni UONEVU usiovumilika. Si ajabu amewazidi hata "maboss" zake elimu na uzoefu.
Tafadhali lifanyie kazi hili litakupa heshima wewe na serikali yenu. Weka alama kwenye maisha ya huyu Mwalimu. Wasiliana nami kwa maelezo zaidi. Namba yangu ni ileile, naamini ulipohama 'chama' hukuifuta.!
Malisa GJ
Hujamuelewa. Ameajiriwa kwa Ngazi ya Mshahara wa Mwalimu wa Certificate, kwa sasa ana Masters lakini mshahara wake ni wa Ngazi ya Cheti. Kumbuka Ngaz ya Cheti, Diploma, Degree vina ngazi tofauti za kuanzia Mshahara, pia vina Ukomo tofauti wa daraja. Kwa mfano Kama wewe ni Mwalimu wa Cheti hutafika Mshahara wa daraja 'G' wakati yule wa Degree ananzia D hadi I.Malisa acha uongo haiwezekani mwalimu ana miaka zaidi ya miaka kumi na tano akalipwa mshahara ule ule alioajiliwa nao
Watu ambao wanalipwa mishahara ilel ile kwa walimu ni kundi la ajira mwaka 2014 chini ya hapo hakuna hiyo moja
Pili serialini hakuna mshahara wa masters kuna mshahara wa degree hizo masters ni weredi upatapa maslahi yake endapo utapata position yenye posho ya ukuu wa hicho kitengo mfano masters yake nk inauwezo wakumpa nafasi ya uafisa elimu,
USHAURI
Kama ana phd na bado yupo darasani mwambie andike barua kwa katibu mkuu wizara ya elimu akijielezea wasifu wake na aombe nafasi anayoona anastahili kwa kusema anatuma maombi yake ikiwa nafasi itatokea basi yeye yupo
DOUBT
Uyo mwalimu achunguzwe atakuwa ana sifa ya elimu ila sifa ya kimaadili kama mtumishi wa umma anayestahili kupewa promition hana yani watu wa veting wakimpitia wanaona kasoro
ndio maana anasoma akimini kusoma kutamsaidia hawazi madili ya utumishi wa umma je anafaa
Kwa sababu kita halmashauri kila mwaka huwa zinachukua tarifa za watumishi kuhusu elimu nk tarifa hizo hzikai halmashauri tu zinaenda mpaka utumishi kwaiyo kwa elimu yake na mda aliokaa kazini lazima wangemuona wangeuliza uyu mtu tunamuitaji so mwambieni ajichunguze atakuwa na tatizo tusishie kulaaumu tu
Ila tatizo mshaharaBinafsi nimeumia sana kwasababu ya kutopanda daraja kutokana na elimu yake lakini kuhusu nafasi yake katika kazi sijaona ubaya.
Labda nikupe mfano “ Nina mdogo wangu yupo ujerumani alipata chance kipindi cha Corona kutibu wagonjwa katika nchi ya ujerumani, yeye kajiongeze na kuendelea kujiendeleza kimasomo. Nikiwa nawasiliana nae ananiambia walimu wa awali katika nchi ya hiyo ni watu wenye elimu kubwa tu na tofauti na hapa Tanzania “
Binafsi natamani walimu wa awali wawe na elimu ya juu ili kuwapa knowledge kubwa vijana wetu.
Bad enough katika taratibu za utumishi wa umma wanahesabu muda uliotumikia kazini ili upande daraja muda ambao utakua masomoni hauhesabiwi kwa sababu mwajiri akikupa ruhusa ya kwenda kujiendeleza alafu akaendelea kukulipa msharahara anaichukulia iyo Kama ni favour kwako kwaio watakaopanda daraja ni wale tu waliokuwepo kazini muda utakapofika wakupanda daraja.lkn utakapo rudi kutoka masomoni unabadilishwa cheo endapo vitakaliwa vikao vya tume ya utumishi wa walimu( TSC) kukujadili na kuona unafaa au unastahili kubadilishiwa cheo Note: kwenda kusoma na kupanda madaraka ni vitu viwili tofautiBaada ya kuelezea 'scenario' ya jana rafiki yangu mmoja amenitafuta. Ni rafiki yangu wa muda mrefu, lakini sikuwahi kujua sana kuhusu upande wa pili wa maisha yake.
Yeye ni firstborn kwenye familia. Baba yake alifariki akiwa kidato cha 3, hivyo alipomaliza kidato cha 4 aliamua kusomea ualimu (grade III) ili asaidie wadogo zake. Pamoja na kufaulu vizuri lakini kwenda form five angeshindwa kulea wadogo zake.
Akasomea ualimu na kuhitimu. Akapangiwa shule ya kufundisha mkoani Arusha. Akaweza kujikimu na kusaidia wadogo zake kusoma. Baadae akaamua kujiendeleza kidato cha 5&6 kama Private Candidate. Akafanya mtihani na kupata division 2 ya points 10. Yani alama moja tu apatae division 1.
Akapata udahili chuo kikuu. Akaomba ruhusa kwa mwajiri wake akapewa. Akasoma shahada ya kwanza ya ualimu. Enzi hizo walimu wa shahada hawakua wengi kama sasa. Lakini aliporudi kwa mwajiri (DED) hakumpandisha daraja wala kumuongezea mshahara. Akaendelea kufundisha shule ya msingi na degree yake, kwa mshahara uleule wa mwalimu wa certificate.
Hakuvunjika moyo. Baada ya muda akajiunga tena chuo kikuu kusoma shahada ya uzamili ya usimamizi wa elimu (Master of Education - Planing &Administration). Akahitimu kwa ufaulu mzuri. Akarudi kwa mwajiri lakini hakumuongezea mshahara wala kumbadilisha daraja.
Wakati huo mambo ya uhakiki yalikua yakiendelea. Uhakiki ukamalizika lakini hakupandishwa daraja wala kuongezewa mshahara. Akaendelea kufundisha shule ya msingi kwa mshahara uleule wa "certificate" bila kujali elimu yake ya "masters degree"
Baadae akapata ufadhili chuo kimoja nje nchi, kusoma Stashahada ya uzamili ya Elimu maalumu (Postgraduate Diploma in Special Education). Akapewa ruhusa ya kwenda kusoma. Akahitimu na kurudi kwa mwajiri wake. Akarudishwa kulekule shule ya msingi, bila kubadilishwa daraja wala kuongezewa mshahara.
Kwahiyo nchi hii ina mwalimu wa shule ya msingi mwenye Certificate ya Ualimu, Bachelor Degree ya Ualimu, PGD ya elimu maalumu na Masters Degree ya usimamizi wa Elimu. Lakini serikali imeamua kumtumia kuimba "mabata madogo madogo" na watoto wa darasa la 3B. Just imagine.!
Halafu akipata kazi nje ya nchi mnasema si mzalendo. Au akipata kazi sekta binafsi akaondoka serikalini mnasema amekimbia sababu ya maslahi, mnaagiza akamatwe na huko alikoenda hiyo taasisi ifungiwe. Hivi serikali ikoje? Yani nyie mmeshindwa kumtumia na hamtaki wengine wamtumie. Roho ya kichawi hii.!
Mtu kama huyu alitakiwa awe mahali ambapo ataweza kutumia elimu, uzoefu na vipawa vyake kwa manufaa ya taifa, sio kufundisha MAGAZIJUTO darasa la 3B. Lakini amehangaika sana kupandishwa daraja bila mafanikio. Mbaya zaidi analipwa mshahara uleule kama mwalimu mwenye certificate.
Kinachoumiza zaidi ni analipwa mshahara wa cerificate halafu HESLB wanamkata 18% ya mshahara huo kufidia mkopo waliompa wakati akisoma Degree, wakati degree yenyewe haijamsaidia. Mlipeni basi mshahara wa degree ili mkimkata mkopo kuwe na logic. Sio mnamlipa mshahara wa certificate halafu manamkata mkoko wa degree. Ilogical.!
Naomba Mhe.Silinde Ernest David ulione hili na kulifanyia kazi ukiwa kama Naibu Waziri mwenye dhamana. Hali hii inavunja sana moyo watumishi. Mchukueni kijana huyu mtafutie mahali panapomfaa kulingana na elimu na uzoefu wake.
Kama mlikua hamtaki kutumia elimu yake kwanini mlikua mnampa ruhusa ya kwenda kusoma? Mmempa na mkopo ambao anateseka kuulipa lakini elimu aliyochukulia mkopo hamtaki kuitumia. Jamaa yuko very frustruted, kwa sababu ana familia inamtegemea na kipato hakitoshelezi. Tumuombee asije kufanya maamuzi magumu kama yule wa Pugu.
Mwalimu mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya 15, msomi Cert, BA, MA, PGD mmeshindwa kabisa kumtumia kwa tija? Mpelekeni basi hata vyuo vya kati akafundishe, na mumlipe kwa hadhi ya elimu yake. Kumuacha shule ya msingi ni matumizi mabaya ya rasilimali, na kuendelea kumlipa mshahara wa Certificate ni UONEVU usiovumilika. Si ajabu amewazidi hata "maboss" zake elimu na uzoefu.
Tafadhali lifanyie kazi hili litakupa heshima wewe na serikali yenu. Weka alama kwenye maisha ya huyu Mwalimu. Wasiliana nami kwa maelezo zaidi. Namba yangu ni ileile, naamini ulipohama 'chama' hukuifuta.!
Malisa GJ
Bad enough katika taratibu za utumishi wa umma wanahesabu muda uliotumikia kazini ili upande daraja muda ambao utakua masomoni hauhesabiwi kwa sababu mwajiri akikupa ruhusa ya kwenda kujiendeleza alafu akaendelea kukulipa msharahara anaichukulia iyo Kama ni favour kwako kwaio watakaopanda daraja ni wale tu waliokuwepo kazini muda utakapofika wakupanda daraja.lkn utakapo rudi kutoka masomoni unabadilishwa cheo endapo vitakaliwa vikao vya tume ya utumishi wa walimu( TSC) kukujadili na kuona unafaa au unastahili kubadilishiwa cheo Note: kwenda kusoma na kupanda madaraka ni vitu viwili tofauti
Mshahara wa certificate na amefanya kazi miaka 15 ni uongo, au yeye ndiye mwenye matatizo. Kuwa na phd au masters hakuna uhusiano na majukumu aliyonayo Sasa, kufundieha shule ya msingi na ukiwa na elimu kubwa wala hakuna shida apo, utaratibu wa kiutumisho unajulikana ndani ya miaka iyo aliyo kaa kazi I alipaswaswa kuwa daraja la mshahara F keenye mshahara wa 1.2M , kama hajawahi kupanda wakati wote huoninawezekana muda wa yeye kuwa kazini alikua masomoni tena Bila ruhusa, maana kuna watu ni wasumbufu Sana serikalini hawafati utaratibu yakiwageukia wanajidai wamesoma Sana. Hii stori tu hamna ukweli apo porojo tupu.Baada ya kuelezea 'scenario' ya jana rafiki yangu mmoja amenitafuta. Ni rafiki yangu wa muda mrefu, lakini sikuwahi kujua sana kuhusu upande wa pili wa maisha yake.
Yeye ni firstborn kwenye familia. Baba yake alifariki akiwa kidato cha 3, hivyo alipomaliza kidato cha 4 aliamua kusomea ualimu (grade III) ili asaidie wadogo zake. Pamoja na kufaulu vizuri lakini kwenda form five angeshindwa kulea wadogo zake.
Akasomea ualimu na kuhitimu. Akapangiwa shule ya kufundisha mkoani Arusha. Akaweza kujikimu na kusaidia wadogo zake kusoma. Baadae akaamua kujiendeleza kidato cha 5&6 kama Private Candidate. Akafanya mtihani na kupata division 2 ya points 10. Yani alama moja tu apatae division 1.
Akapata udahili chuo kikuu. Akaomba ruhusa kwa mwajiri wake akapewa. Akasoma shahada ya kwanza ya ualimu. Enzi hizo walimu wa shahada hawakua wengi kama sasa. Lakini aliporudi kwa mwajiri (DED) hakumpandisha daraja wala kumuongezea mshahara. Akaendelea kufundisha shule ya msingi na degree yake, kwa mshahara uleule wa mwalimu wa certificate.
Hakuvunjika moyo. Baada ya muda akajiunga tena chuo kikuu kusoma shahada ya uzamili ya usimamizi wa elimu (Master of Education - Planing &Administration). Akahitimu kwa ufaulu mzuri. Akarudi kwa mwajiri lakini hakumuongezea mshahara wala kumbadilisha daraja.
Wakati huo mambo ya uhakiki yalikua yakiendelea. Uhakiki ukamalizika lakini hakupandishwa daraja wala kuongezewa mshahara. Akaendelea kufundisha shule ya msingi kwa mshahara uleule wa "certificate" bila kujali elimu yake ya "masters degree"
Baadae akapata ufadhili chuo kimoja nje nchi, kusoma Stashahada ya uzamili ya Elimu maalumu (Postgraduate Diploma in Special Education). Akapewa ruhusa ya kwenda kusoma. Akahitimu na kurudi kwa mwajiri wake. Akarudishwa kulekule shule ya msingi, bila kubadilishwa daraja wala kuongezewa mshahara.
Kwahiyo nchi hii ina mwalimu wa shule ya msingi mwenye Certificate ya Ualimu, Bachelor Degree ya Ualimu, PGD ya elimu maalumu na Masters Degree ya usimamizi wa Elimu. Lakini serikali imeamua kumtumia kuimba "mabata madogo madogo" na watoto wa darasa la 3B. Just imagine.!
Halafu akipata kazi nje ya nchi mnasema si mzalendo. Au akipata kazi sekta binafsi akaondoka serikalini mnasema amekimbia sababu ya maslahi, mnaagiza akamatwe na huko alikoenda hiyo taasisi ifungiwe. Hivi serikali ikoje? Yani nyie mmeshindwa kumtumia na hamtaki wengine wamtumie. Roho ya kichawi hii.!
Mtu kama huyu alitakiwa awe mahali ambapo ataweza kutumia elimu, uzoefu na vipawa vyake kwa manufaa ya taifa, sio kufundisha MAGAZIJUTO darasa la 3B. Lakini amehangaika sana kupandishwa daraja bila mafanikio. Mbaya zaidi analipwa mshahara uleule kama mwalimu mwenye certificate.
Kinachoumiza zaidi ni analipwa mshahara wa cerificate halafu HESLB wanamkata 18% ya mshahara huo kufidia mkopo waliompa wakati akisoma Degree, wakati degree yenyewe haijamsaidia. Mlipeni basi mshahara wa degree ili mkimkata mkopo kuwe na logic. Sio mnamlipa mshahara wa certificate halafu manamkata mkoko wa degree. Ilogical.!
Naomba Mhe.Silinde Ernest David ulione hili na kulifanyia kazi ukiwa kama Naibu Waziri mwenye dhamana. Hali hii inavunja sana moyo watumishi. Mchukueni kijana huyu mtafutie mahali panapomfaa kulingana na elimu na uzoefu wake.
Kama mlikua hamtaki kutumia elimu yake kwanini mlikua mnampa ruhusa ya kwenda kusoma? Mmempa na mkopo ambao anateseka kuulipa lakini elimu aliyochukulia mkopo hamtaki kuitumia. Jamaa yuko very frustruted, kwa sababu ana familia inamtegemea na kipato hakitoshelezi. Tumuombee asije kufanya maamuzi magumu kama yule wa Pugu.
Mwalimu mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya 15, msomi Cert, BA, MA, PGD mmeshindwa kabisa kumtumia kwa tija? Mpelekeni basi hata vyuo vya kati akafundishe, na mumlipe kwa hadhi ya elimu yake. Kumuacha shule ya msingi ni matumizi mabaya ya rasilimali, na kuendelea kumlipa mshahara wa Certificate ni UONEVU usiovumilika. Si ajabu amewazidi hata "maboss" zake elimu na uzoefu.
Tafadhali lifanyie kazi hili litakupa heshima wewe na serikali yenu. Weka alama kwenye maisha ya huyu Mwalimu. Wasiliana nami kwa maelezo zaidi. Namba yangu ni ileile, naamini ulipohama 'chama' hukuifuta.!
Malisa GJ
Mshahara wa certificate na amefanya kazi miaka 15 ni uongo, au yeye ndiye mwenye matatizo. Kuwa na phd au masters hakuna uhusiano na majukumu aliyonayo Sasa, kufundieha shule ya msingi na ukiwa na elimu kubwa wala hakuna shida apo, utaratibu wa kiutumisho unajulikana ndani ya miaka iyo aliyo kaa kazi I alipaswaswa kuwa daraja la mshahara F keenye mshahara wa 1.2M , kama hajawahi kupanda wakati wote huoninawezekana muda wa yeye kuwa kazini alikua masomoni tena Bila ruhusa, maana kuna watu ni wasumbufu Sana serikalini hawafati utaratibu yakiwageukia wanajidai wamesoma Sana. Hii stori tu hamna ukweli apo porojo tupu.
Ndiyo matatizo yenu mtu kaja na yanayomsibu unadai ni uongo!!!! Hii nchi imejaa uonevu wa hali ya juu. Wafanyakazi huu mwaka wa sita sasa hawana nyongeza ya mishahara pamoja na kuwa waliahidiwa baada ya uhakiki wa vyeti na kwa huu uchumi wa kati sitashangaa miaka 10 ikikatika bila nyongeza, lakini hata hii miaka sita ya bila nyongeza utasema ni uongo!!!
Nikijuacho na alichokiandika hapo haviendani. Ndio maana nimesema kama ndivyo ilivyo Basi huyo mwl atakua na shida binafsi...maana ninarafiki anainshu kama hii ila tatizo kulikua lake yeye mwenyewe baada ya kwenda masomoni Bila ruhusa.Ndiyo matatizo yenu mtu kaja na yanayomsibu unadai ni uongo!!!! Hii nchi imejaa uonevu wa hali ya juu. Wafanyakazi huu mwaka wa sita sasa hawana nyongeza ya mishahara pamoja na kuwa waliahidiwa baada ya uhakiki wa vyeti na kwa huu uchumi wa kati sitashangaa miaka 10 ikikatika bila nyongeza, lakini hata hii miaka sita ya bila nyongeza utasema ni uongo!!!
Mkuuu umeeeleza Vzuri sana! Lkn pia Mleta mada usitudanganye sisi siyo Watoto wa Nursery.Malisa acha uongo haiwezekani mwalimu ana miaka zaidi ya miaka kumi na tano akalipwa mshahara ule ule alioajiliwa nao
Watu ambao wanalipwa mishahara ilel ile kwa walimu ni kundi la ajira mwaka 2014 chini ya hapo hakuna hiyo moja
Pili serialini hakuna mshahara wa masters kuna mshahara wa degree hizo masters ni weredi upatapa maslahi yake endapo utapata position yenye posho ya ukuu wa hicho kitengo mfano masters yake nk inauwezo wakumpa nafasi ya uafisa elimu,
USHAURI
Kama ana phd na bado yupo darasani mwambie andike barua kwa katibu mkuu wizara ya elimu akijielezea wasifu wake na aombe nafasi anayoona anastahili kwa kusema anatuma maombi yake ikiwa nafasi itatokea basi yeye yupo
DOUBT
Uyo mwalimu achunguzwe atakuwa ana sifa ya elimu ila sifa ya kimaadili kama mtumishi wa umma anayestahili kupewa promition hana yani watu wa veting wakimpitia wanaona kasoro
ndio maana anasoma akimini kusoma kutamsaidia hawazi madili ya utumishi wa umma je anafaa
Kwa sababu kita halmashauri kila mwaka huwa zinachukua tarifa za watumishi kuhusu elimu nk tarifa hizo hzikai halmashauri tu zinaenda mpaka utumishi kwaiyo kwa elimu yake na mda aliokaa kazini lazima wangemuona wangeuliza uyu mtu tunamuitaji so mwambieni ajichunguze atakuwa na tatizo tusishie kulaaumu tu
Mimi pia NAKAZIA SIKUBALIANI NA HIYO HOJA NI UONGO othewise awe na miaka zaidi ya 20 kazini nitakubali. Narudia tena kuna upotoshaji na Uongo kwenye bandiko lako ulilopaste pasipo kuangalia uhalisia. Kama kweli yupo kuna watu hawakutenda haki kwa mujibu wa SheriaNdiyo matatizo yenu mtu kaja na yanayomsibu unadai ni uongo!!!! Hii nchi imejaa uonevu wa hali ya juu. Wafanyakazi huu mwaka wa sita sasa hawana nyongeza ya mishahara pamoja na kuwa waliahidiwa baada ya uhakiki wa vyeti na kwa huu uchumi wa kati sitashangaa miaka 10 ikikatika bila nyongeza, lakini hata hii miaka sita ya bila nyongeza utasema ni uongo!!!
Nikijuacho na alichokiandika hapo haviendani. Ndio maana nimesema kama ndivyo ilivyo Basi huyo mwl atakua na shida binafsi...maana ninarafiki anainshu kama hii ila tatizo kulikua lake yeye mwenyewe baada ya kwenda masomoni Bila ruhusa.
Hapo kwenye aya ya pili nakupinga mkuu, kuna halmashauri ya ngara huko mkoani kagera kuna walimu wa 2012 na 2013 aidha kwa kuajiriwa au kwa kupanda madaraja mara ya mwisho kwa miaka niliyoitaja hapo juuMalisa acha uongo haiwezekani mwalimu ana miaka zaidi ya miaka kumi na tano akalipwa mshahara ule ule alioajiliwa nao
Watu ambao wanalipwa mishahara ilel ile kwa walimu ni kundi la ajira mwaka 2014 chini ya hapo hakuna hiyo moja
Pili serialini hakuna mshahara wa masters kuna mshahara wa degree hizo masters ni weredi upatapa maslahi yake endapo utapata position yenye posho ya ukuu wa hicho kitengo mfano masters yake nk inauwezo wakumpa nafasi ya uafisa elimu,
USHAURI
Kama ana phd na bado yupo darasani mwambie andike barua kwa katibu mkuu wizara ya elimu akijielezea wasifu wake na aombe nafasi anayoona anastahili kwa kusema anatuma maombi yake ikiwa nafasi itatokea basi yeye yupo
DOUBT
Uyo mwalimu achunguzwe atakuwa ana sifa ya elimu ila sifa ya kimaadili kama mtumishi wa umma anayestahili kupewa promition hana yani watu wa veting wakimpitia wanaona kasoro
ndio maana anasoma akimini kusoma kutamsaidia hawazi madili ya utumishi wa umma je anafaa
Kwa sababu kita halmashauri kila mwaka huwa zinachukua tarifa za watumishi kuhusu elimu nk tarifa hizo hzikai halmashauri tu zinaenda mpaka utumishi kwaiyo kwa elimu yake na mda aliokaa kazini lazima wangemuona wangeuliza uyu mtu tunamuitaji so mwambieni ajichunguze atakuwa na tatizo tusishie kulaaumu tu
Mimi pia NAKAZIA SIKUBALIANI NA HIYO HOJA NI UONGO othewise awe na miaka zaidi ya 20 kazini nitakubali. Narudia tena kuna upotoshaji na Uongo kwenye bandiko lako ulilopaste pasipo kuangalia uhalisia. Kama kweli yupo kuna watu hawakutenda haki kwa mujibu wa Sheria
Tunajadili hojja ya mwalimu wako kwanza usiruke ruke kama dagaa kaona Karabai.Hata wafanyakazi wa Serikali ambao hawajaongezewa mishahara kwa miaka sita pamoja na Serikali kujitapa kuhusu uchumi wa kati ni UONGO!!!
Hawa tatizo ni afisa utumishi katika halmashauri yao sio muungwana kwaio hakufanya kazi yake vizuri sometimes Kuna baadhi ya maafisa ngazi za halmashauri wamepewa dhamana lkn hawawajibiki kwaio wanaigombanisha serikali na watumishi.Hapo kwenye aya ya pili nakupinga mkuu, kuna halmashauri ya ngara huko mkoani kagera kuna walimu wa 2012 na 2013 aidha kwa kuajiriwa au kwa kupanda madaraja mara ya mwisho kwa miaka niliyoitaja hapo juu
Yaani kwa kifupi wanakula mishahara ya miaka hiyo ya 2012 na 2013