ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,628
- 4,970
Ni kuuliza tu si kwa ubaya.
Serikali kama imamu na sisi wananchi kama mamuma tuna wajibu wa kuifuatisha katika jambo lolote linaloona si jema kwetu.
Kuufungia mitandao wa x ni wazi kua wamebaini kua mtandao huo si salama kwa matumizi hapa nchini.
Ajabu ni kwamba serikali hiyohiyo iliyoifungia mtandao huo bado wanautumia mtandao huo kupasha habari.
Je wakitwit hua wanawalenga kuwapasha habari kina nani?.
Raia wa nchi za nje?
Ilipaswa waoneshe mfano kwa wao kutotumia mtandao huo ili kumuaminisha raia kua si haki kuendelea kutumia.
Hapo ni sawa na shekhe aseme nguruwe haramu afu yeye unamkuta na sahani ya kiti moto.