Serikali inamuogopa Lissu?

Serikali inamuogopa Lissu?

Sidhani kama kuna mtu anaogopwa na serikali ila ninachodhani kwa wataalam wa sheria wanacheza nazo wakijua wapi pakutokea. Hivyo hata T.A. Lisu anajua nini anachokifanya.
 
Imuogope kwani ye nani hasa..?

Avunje sheria aone...
Lkni mkuu mi naona wsmefanya la maana, Lema bdo yuko kule ndani wangemkamata ns huyu, watu wangeona wapinzani wanaandamwa sana. Aliyewapa ushauri wasimkamate alitumia akili ya ziada.
 
..huyo hakimu inaelekea ni mkereketwa wa chama.

..suala la msingi ni kuwa Tundu Lissu amefika mahakamani.

..kwamba amefikishwa mahakamani na polisi au kwa hiari yake mwenyewe siyo hoja ya msingi.
Kumbuka Mahakama ilitoa amri Lissu akamatwe.
 
Hivi mnazijua serikali za nchi za Africa?

Eti serikali inamuoga Lissu.

Kumbe serikali inapompuuza mnadhani inamuoga?

Lissu hajakatiza kwenye utepe unaitwa red line ndiyo maana mnadhani serikali inamuogopa. Siku akikatiza ndio mtapata jibu sahihi.

Ninachompongeza Lissu ni kufahamu vizuri wapi kuna red line na kwa kufanya hivyo anacheza pembeni pembeni bila kukatiza.
Kwani Lema kavuka hiyo Red line au ni Ubabe tu wa serikali!!?
 
Mada zingine muangalie mahali pa kuandika.

Serikali yoyote Duniani huwa haimuogopi yoyote yule akiwa amevunja sheria.

Avunje sheria aone Serikali mnayosema inamuogopa itakapo mshughulikia
Siyo kwamba ilitakiwa wahusika wa RICHMOND, IPTL, ESCROW, LUGUMI nk 'waone' kwa sababu walikiuka na kuvunja sheria? Kwa nini tuwe na matazamio hewa eti Lissu avunje sheria aone wakati wapo wavunja sheria kibao hawaguswi?!
 
Back
Top Bottom