Serikali inamuogopa Lissu?

Serikali inamuogopa Lissu?

Nadhani wanahofia kuweka rumande wapibzani 2 maarufu, Lema na Lisu, kwa wakati mmoja. Itawachafua kwenye anga za kisiasa kimataifa
 
Hivi mnazijua serikali za nchi za Africa?

Eti serikali inamuoga Lissu.

Kumbe serikali inapompuuza mnadhani inamuoga?

Lissu hajakatiza kwenye utepe unaitwa red line ndiyo maana mnadhani serikali inamuogopa. Siku akikatiza ndio mtapata jibu sahihi.

Ninachompongeza Lissu ni kufahamu vizuri wapi kuna red line na kwa kufanya hivyo anacheza pembeni pembeni bila kukatiza.

Watanzania bwana, kwahiyo hiyo redline ni zaidi ya watu kuhujumu uchumi na kusafirisha nyara za taifa? au redline hiyo ni zaidi ya kuua uku ukiwa na maafisa polisi pamoja? au redline mpaka ikitokea umeua rais? au redline hiyo mpaka ukanyage kapet nyekundu ya rais?
 
Back
Top Bottom