Serikali inamuogopa Lissu?

Serikali inamuogopa Lissu?

Mada zingine muangalie mahali pa kuandika.

Serikali yoyote Duniani huwa haimuogopi yoyote yule akiwa amevunja sheria.

Avunje sheria aone Serikali mnayosema inamuogopa itakapo mshughulikia
Mbona sizonje anaivunja na kuikanyaga
 
Kesi inaweza kuendelea bila ya yeye kuwepo km karuka dhamana,lkn pia kua km hati ya kumkamata Lisu haijafika mikononi mwa baada ya Wakili wa Serikali kuipata,polisi watakua bado hawana mamlaka ya kumkamata.
 
Lissu namwelewa sana huyu jamaa......

Polisi elimu za mwendokasi lazima wamkimbie.......

Utawala Wa fyokofyoko unaitaji watu kama Lussu na Lema........
Upotoshaji huo,una hakika hati ya kumkamata Lisu ishafika Polisi na wameshindwa kumkamata?
 
..huyo hakimu inaelekea ni mkereketwa wa chama.

..suala la msingi ni kuwa Tundu Lissu amefika mahakamani.

..kwamba amefikishwa mahakamani na polisi au kwa hiari yake mwenyewe siyo hoja ya msingi.
Aweza kuwa hakimu wa mwendokasi nini?
 
Ni ujinga na upuuzi mtupu, eti Serikali kumuogopa Lissu,!!, Lisu ni nani ktk Taifa hili hadi ijishughulishe na ka lisu tu? Iache kushughulika na masuala muhimu yanagusa mstakabali wa maisha ya watanzania. Kujadili habari za Lisu ni sawa na kujadili tabia za mwendawazimu kushinda jalalani.
 
Mada zingine muangalie mahali pa kuandika.

Serikali yoyote Duniani huwa haimuogopi yoyote yule akiwa amevunja sheria.

Avunje sheria aone Serikali mnayosema inamuogopa itakapo mshughulikia
Kweli kabisa. Wale wanaosema Serikali inamwogopa ndo hao hao wanasema Serikali ya kidkiteta.
 
Ni ujinga na upuuzi mtupu, eti Serikali kumuogopa Lissu,!!, Lisu ni nani ktk Taifa hili hadi ijishughulishe na ka lisu tu? Iache kushughulika na masuala muhimu yanagusa mstakabali wa maisha ya watanzania. Kujadili habari za Lisu ni sawa na kujadili tabia za mwendawazimu kushinda jalalani.
Utakuwa umevurugwa wewe!!
 
Kwa hakika aliyevurugwa na akavurugika ni wewe ambaye unahangaika na kajitu kadogo kama lisu. Mtu ambaye hata sifa za kutumbuliwa hana, kiboko yake ni Tulia Ackson tu.
 
Hizi ni akili za kitoto sana eti serikali inamuogopa Lisu. Kweli vijana siasa zinawauwa kufikiri na sasa sio tena great thinkers maybe mmekuwa stupid thinkers. Leteni hoja za msingi hizi za kipuuzi wanazungumza watu amboa sio great thinkers.
Sasa mkuu ukishaona hoja ni ya kipuuzi na wewe unaipuuza tu. Au ukiamua kuijadili, basi ijadili kipuuzi kama ilivyo.
 
Mada zingine muangalie mahali pa kuandika.

Serikali yoyote Duniani huwa haimuogopi yoyote yule akiwa amevunja sheria.

Avunje sheria aone Serikali mnayosema inamuogopa itakapo mshughulikia
Lugumi hajavunja Sheria ?
 
Hivi mnazijua serikali za nchi za Africa?

Eti serikali inamuoga Lissu.

Kumbe serikali inapompuuza mnadhani inamuoga?

Lissu hajakatiza kwenye utepe unaitwa red line ndiyo maana mnadhani serikali inamuogopa. Siku akikatiza ndio mtapata jibu sahihi.

Ninachompongeza Lissu ni kufahamu vizuri wapi kuna red line na kwa kufanya hivyo anacheza pembeni pembeni bila kukatiza.
Lugumi hakukatiza kwenye Red Line ?
Vp wale wahujumu uchumi walipatiwa dhamana ma juzi ?
 
Kwa hakika aliyevurugwa na akavurugika ni wewe ambaye unahangaika na kajitu kadogo kama lisu. Mtu ambaye hata sifa za kutumbuliwa hana, kiboko yake ni Tulia Ackson tu.
Mkuu Lisu sio kajitu kadogo. Kangekuwa kadogo kama unavyokaona wewe, wala usingeangaika kusoma habari zake na kujibizana na watu humu. Ungekapuuza tu, lakini maadam unatumia muda wako kukajadili hako kajitu kadogo, basi sio kajitu kadogo. Ni JITU KUBWAAA kama tembo vile....!!
 
Lugumi hakukatiza kwenye Red Line ?
Vp wale wahujumu uchumi walipatiwa dhamana ma juzi ?
Swali lako la kwanza, kawaulize wabunge.

Swali lako la pili, kaiulize mahakama iliyotoa dhamana.

Au wewe hupigi kelele kuhusu utawala bora na Rais kuingilia mihimili mingine ya dola?
 
Mada zingine muangalie mahali pa kuandika.

Serikali yoyote Duniani huwa haimuogopi yoyote yule akiwa amevunja sheria.

Avunje sheria aone Serikali mnayosema inamuogopa itakapo mshughulikia
Lissu ni sheria na sheria ni Lissu! Nani avunje nini sasa?
 
Back
Top Bottom