Kwani nani anavunja sheria kati ya Magufuli na Lissu?Imuogope kwani ye nani hasa..?
Avunje sheria aone...
Unaongea na sisi au unaongea na simu?Hivi mnazijua serikali za nchi za Africa?
Eti serikali inamuoga Lissu.
Kumbe serikali inapompuuza mnadhani inamuoga?
Lissu hajakatiza kwenye utepe unaitwa red line ndiyo maana mnadhani serikali inamuogopa. Siku akikatiza ndio mtapata jibu sahihi.
Ninachompongeza Lissu ni kufahamu vizuri wapi kuna red line na kwa kufanya hivyo anacheza pembeni pembeni bila kukatiza.
Magufuli yuko juu ya sheriahayupo aliye juu ya sheria,kutojua sheria isiwe sababu ya kuvunja sheria..T.A.Lissu anaifahamu sheria hadi sheria ikamfahamu,na anafanya hivyo kwa sababu anajua anacheza na watu wa aina ga..kwa kifupi,hao wanamuhaha mshikaji..watamwanzia wap?
Magufuli is fire ....kwa kuvunja anakaribia kumaliza vyombo kabatini..Kwani nani anavunja sheria kati ya Magufuli na Lissu?
Hizi ni akili za kitoto sana eti serikali inamuogopa Lisu. Kweli vijana siasa zinawauwa kufikiri na sasa sio tena great thinkers maybe mmekuwa stupid thinkers. Leteni hoja za msingi hizi za kipuuzi wanazungumza watu amboa sio great thinkers.Kutokamatwa kwa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu na kufikishwa kortini, kumemtia hofu Hakimu Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Thomas Simba, kwamba serikali inamuogopa.
Hakimu Simba ameielezea hofu hiyo leo mchana wakati akiendelea kusikiliza kesi inayomkabili Lissu na mmiliki na mhariri mtendaji wa gazeti la Mawio, Simon Mkina, mhariri wake Jabir Idrissa na mchapishaji wa gazeti hilo Ismail Mahbood.
"Hivi Lissu hapa ameletwa chini ya Polisi au kajileta mwenyewe? Mbona hamjamkamata au mnataka mie nitoe uamuzi wa kumfutia dhamana wakati hamjatekeleza wajibu wenu? Simfutii," alisema Hakimu Simba.
Serikali, kupitia Polisi haikumkamata Lissu kama ilivyokuwa imeamuriwa na mahakama baada ya kusindwa kufika mahakamani hapo kwa kesi inayomkabili.
Akaongeza, mahakama kamwe haimuogopi Lissu, lakini inaonekana serikali inamuogopo mbunge huyo na mwanasheria mkuu wa Chadema.
Lissu, Mkina na wenzake wanakabiliwa na kesi ya uchochezi ambayo ilifunguliwa na serikali tangu Juni, mwaka huu. Gazeti la Mawio lilifutwa na serikali kwa tamko la waziri wenye dhamana ya habari, Nape Nnauye, Januari, mwaka huu, baada ya 'kuchongewa' kwa muda mrefu na aliyekuwa mkurugenzi wa idara ya habari, Maelezo, Assah Mwambene.
Avunje mara ngapiiImuogope kwani ye nani hasa..?
Avunje sheria aone...
aiseeeee....Imuogope kwani ye nani hasa..?
Avunje sheria aone...
LissuKwani nani anavunja sheria kati ya Magufuli na Lissu?
Serikali na watawala na wenye mamlaka wanaogopa kifo walivyo wajinga. Werevu wana Muogopa mwenye haki tu.nashangaa wajinga kusema hakuna alive juu ya sheria.Mwenye HAKI yupo juu ya sheria zaidi hata ya Rais na wafalme.Hizi ni akili za kitoto sana eti serikali inamuogopa Lisu. Kweli vijana siasa zinawauwa kufikiri na sasa sio tena great thinkers maybe mmekuwa stupid thinkers. Leteni hoja za msingi hizi za kipuuzi wanazungumza watu amboa sio great thinkers.
Sasa hilo povu si ukamtolee hakimu Aliyesema hayo?Mada zingine muangalie mahali pa kuandika.
Serikali yoyote Duniani huwa haimuogopi yoyote yule akiwa amevunja sheria.
Avunje sheria aone Serikali mnayosema inamuogopa itakapo mshughulikia