iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,927
Naona kuna mrundikano wa miradi jijini Dar es salaam kama vile mikoa mingine haina uhitaji wa maendeleo na miundombinu
-ujenzi wa barabara za ghorofa ubungo
-ujenzi wa barabara za ghorofa Tazara
-Daraja la kigamboni
-SGR imeanzia DSM
-pembeni ya SGR kuna barabara kubwa kabisa itajengwa nadhani inaitwa Chalinze Expressway
-Daraja la kupita kule sijui Coco beach likivuka bahari, amabalo mimi sioni umuhimu wake
-Mwendokasi awamu ya kwanza
-mwendokasi ujenzi awamu ya pili
-mwendokasi ujenzi awamu ya tatu
Gesi inatolewa mtwara mpaka ubungo na kinyerezi izalishe umeme japo hiyo mitambo ingejengwa huko mtwara umeme ungezalishwa vile vile
Hatuoni uzinduzi wala mipango ya kujenga miundombinu na kupanua majiji mengine ya Mwanza,Arusha na Mbeya,Tanga
Huu si mgawanyo sawa wa raslimali za Taifa
Kodi zinalipwa na watanzania wote,