Serikali inaihujumu NSSF?

Kwa hili namuunga mkono waziri wa usiku. Badala ya NSSF kujikita kwenye kuboresha mafao ya wastaafu wao wamekuwa wakiingia kwenye miradi ya kisiasa ili kupata sifa toka kwa wanasiasa.
Mafao hakuna faida miradi ndio yenyewe
 
NSSF wamejipanga vizuri sana yahitaji tuwape moyo, nafikiri hayo makosa ni madogo sana ulinganisha na juhudi kubwa walizofanya katika ujenzi wa jamii.
Wanahitaji kuwekeza kwenye mabenki na taasisi nyingine kama hizo na kwenye real estate kuwekeza kwenye power generation wanatafuta sifa tu na hawatazipata
 
NSSF ilikuwa wainunue Kiwira kwa shilingi 1 toka serikalini ..waziri wa Usiku aka NGELEJA akaamua kuwapa wa China

NSSF waliandaa business plan ya kupanua pipeline mpya ya gesi toka Songosongo...leo tunasoma kuwa waziri wa usiku kaamua wapewe waChina

sasa inaonekana NSSF kazi yao kuandika business plans kisha waziri wa usiku anatuma watu kwenda pale kwa akina Kidula na kisha wanazipeleka huko Uchina

naona hii ni nchi pekee duniani isiyotaka wazalendo wafanye kazi yoyote ile

Tenda za constrction zote sasa hizi serikali inawapa wa China kuanzia barabara mpaka majengo...ma contractor wazalendo wanafunga makampuni

I wouldnt be surprised kuskia leseni za uvuvi zote zinapewa exclusively wachina
Naamini kabisa NSSf hawana.Bussiness plan yoyote ya kuzalisha umeme wanatawaliwa na tamaa zaidi
 
Watuonyeshe Bussiness plan yoyote walionayo kuhusu umeme , hawa ni mahiri wa kudandia mipango ya biashara ya mashirika mengine kutokana na kimbelembele chao wanakuwa wa kwanza kwenda kwenye vyombo vya habari ohh tunataka kuwekeza eneo fulani,hawana lolote
 
NSSF ilikuwa wainunue Kiwira kwa shilingi 1 toka serikalini ..waziri wa Usiku aka NGELEJA akaamua kuwapa wa China

NSSF waliandaa business plan ya kupanua pipeline mpya ya gesi toka Songosongo...leo tunasoma kuwa waziri wa usiku kaamua wapewe waChina

sasa inaonekana NSSF kazi yao kuandika business plans kisha waziri wa usiku anatuma watu kwenda pale kwa akina Kidula na kisha wanazipeleka huko Uchina

naona hii ni nchi pekee duniani isiyotaka wazalendo wafanye kazi yoyote ile

Tenda za constrction zote sasa hizi serikali inawapa wa China kuanzia barabara mpaka majengo...ma contractor wazalendo wanafunga makampuni

I wouldnt be surprised kuskia leseni za uvuvi zote zinapewa exclusively wachina

naona kuna kitu unachanganya serikali haijwapa umiliki wa mradi huo wachina bali wamewapa kandarasi ya ujenzi wachina kutokana na serikali ya china kutoa mkopo juu ya mradi huu

pia wote tunafahamu thamani ya mradi huu kwa vyovyote vile ungewazidi NSSF au ungesababisha kupunguza mzunguko wake wa fedha kwa kipindi fulani kwani si mchezo kuwekeza zaidi y shs trion moja nakuwa stable

Kwa uakika ata kama NSSF wangeendelea na mpango wa Mradi huu bado wacina wangeewa kandarasi hii

note
NSSF si wakandarasi,,,,wachina ndio wakandarasi kwahiyo hakunamgongao wa maslahi kati ya wachina na NSSF
 
mnazungumzia nssf ya bibi titi na moro road? kwani hawa na ttcl wanatofauti yeyote..........
 
naona kuna kitu unachanganya serikali haijwapa umiliki wa mradi huo wachina bali wamewapa kandarasi ya ujenzi wachina kutokana na serikali ya china kutoa mkopo juu ya mradi huu

pia wote tunafahamu thamani ya mradi huu kwa vyovyote vile ungewazidi nssf au ungesababisha kupunguza mzunguko wake wa fedha kwa kipindi fulani kwani si mchezo kuwekeza zaidi y shs trion moja nakuwa stable

kwa uakika ata kama nssf wangeendelea na mpango wa mradi huu bado wacina wangeewa kandarasi hii

note
nssf si wakandarasi,,,,wachina ndio wakandarasi kwahiyo hakunamgongao wa maslahi kati ya wachina na nssf

whats the point ya kuwa na public procurement act?
 
Back
Top Bottom