Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,041
- 13,473
Tena ukitaja wajinga nchi hii hata ukitaja wawili na yeye yumo
Kama shevchenko kipindi kile fainali uefa ac milan na liver hakuuwawa basi bahanuzi mtakua mnamuonea
Bahati mbaya sisi mashabiki wa Yanga hatupo hivyo.
amenisikitisha sana!
Kisingiziooo tu!! MTAIWEZA aL-Ahly.... YANGA ILIANZA MECHI NA KUWA WANA GOLI MOJA MKONONI....SASA NINI VURUGU HAPO ?!!Jamani TUACHE UTANI KWENYE MAMBO YA MUHIMU. KUNA WATU WANAHASIRA NA BAHANUZI BALAA KWA KUKOSA PENALTY JANA.WANAWEZA KUMDHURU JAMAA KWA HIYO SERIKALI INA JUKUMU LA KULINDA WANANCHI WAKE!! NATOA HOJA.
asamoah alikosa,terry alikosa tena wote katika mechi muhimu.Mawazo mgando hayo..bahanuzi sio wa kwanza kukosa penalti muhimu.
R.baggio alishakosa world cup, na hakuna aliyemdhuru, huo ni mpira tu.